Dai hata akinya wanasema .. afu wanategemea anguko lake hahahaha daimondi anawachezea sana kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafiki ni wewe mkuu, hayo ya mimba kuwa ya diamond/ kutokuwa ya diamond umeyajulia wapi wakati kipindi wanafanya hukuwepo!Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond katika mahusiano yake na Target ni kumuumiza ZARI
Kama ZARI Atakubali kutikiswa na Wanafiki kupitia HAMISSA mobeto basi atakuwa amejishushia heshima sana.....Mimi Zari mbali ya kumkubali kama mwanamke mtafutaji na mkubali pia kama mwanamke anae pitia challenge nyingi sana tena na kubwa kubwa.....wakati wa Mimba ya TIFFAH alisemwa sanaa hadi nikajiuliza huyu mtoto atakae zaliwa atakuwaje? Lakini Mungu si Mwanadamu....kapitia misiba 2 mikubwa hivyo hizi kelele za kuwa HAMISSA ana Mtoto wa Diamond Sio za kushangaza sanaaaa!!!
Watu wameanza kumjua HAMISSA na DIAMOND baada ya Wimbo wa Salome na Ile birthday lakini ukweli ni kwamba HAMISSA na diamond Wameanza urafiki kabla hata diamond hajawa na Wema Sepetu hivyo kama diamond angemuhitaji Hamissa alikuwa anampata toka kitambo!! ASINGEENDA KWA PENNY......
Hamissa Kaoneka Kwenye video ya Diamond ya MAWAZO wimbo ulitoka 2012 sijui 2013 kitambo hichoooooo HAMISSA walikuwa washkaji na Diamond kabla ya wema na penny
Ndio maana nasema Kuwa Wanafiki ndio wanao eneza story za Diamond na HAMISSA ........Hamissa hajaanza kupenda kazi za diamond leo! Sasa hizo story za kuwa Hamissa ana Mimba Ya diamond sijui ana mtoto wa Diamond hizo story za KUOKOTWA .....Ila Diamond atachelewa kupotea kwenye Game sababu ni kama hizii anaongelewa kuliko msanii yeyote yulee
Hili nalo litapitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujinga wang in magufuli voice, je wewe uliina wap au ndo ulikua unapiga chabo maana wazee wa doski nyny hatari!? Au pengine wewe ulikua unashika mguu au pia ulikuwa sperm ukamwagika nje maana sio kwa uhakika huo.Acha ubbwege wewe unnachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?
Acha ubbwege wewe unnachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Kichupi kunuka
Yani Zari angeka kimya tuu. Sema naye kwa kupenda drama yule bi mdashi. Angeendeleea kukaa kimya tuu.Zari kusemwa anayataka mwenyewe! Hivi yeye anawachokoza wazaramo anategemea nini kama si kusema mpaka apotee njia?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Koment moja tu ya zari jana ika nreak internet kile kijiharakati cha stop posting zari kikatupiliwa kuleeee. Zari kiboko yao
Zari kazaa watoto wenye nyota za baraka.. watu wanamuonea wivu hadi wanagombania au kulazimisha watoto wao wawe ndugu wa watoto wake. Yaani hamisa anatamani na kutumia haters kugombania udungu. Mwingine ambaye hajielewi ni dada wa Diamond amejaa pumba na mnafiki mwenye wivu pia, niliona kwa Millard kaandika ujinga na kideo cha kijinga sana kurusha na family ya mdogo wake.
Mnafiki nambari uno niMange jamni!! Huyu mama sijui Zari alimkosea nini!! Huwa anatafuta kijisababu chochote amdhalilishe au kumfedhehesha Zari. Leo kamnaaaanga Zari wa watu huko insta kisa zati kasema wasimtag mtoto wake kwenye nyuzi za misa.
Zari naye angekaa kimya tuu, kwani kimya ni jibu la mjinga.
Wema is super cool, seems kesha move on. Ila dada ake wa kuchovya Mange naona atafanya sherehe siku mondi na Zari wakiachana, utadhani yee atafaidika. Roho ya huyu dada chibokooo
Ndo maana hananukaribu mzuri na zari,ka wifi kanafiki kale
[emoji3] [emoji3] [emoji3] difenetely...Huyo ni mpiga chabo labda
Wote hapo hakuna mke wa halali mkuu( ndoa)tatizo ni diamond bado hajakua kiakili hajui anafamilia kubwa ya kusimamia iyo inshu ya diamond kutoka na hamisa ni ukweli njoo mbezi beach jogoo mitaa ya africana msikitini utamwona diamond kila siku kwa hamisa ni vile tu watu wa huku hatuna uswahili ila diamond anatakiwa akue ajitambue hawa wasichana wa pembeni ni tishio kwa kazi na pia familia yake....
Sent using Jamii Forums mobile app