Sakata la Diamond na Hamissa: Wanafiki ndio wapo kazini

Mnafiki ni wewe mkuu, hayo ya mimba kuwa ya diamond/ kutokuwa ya diamond umeyajulia wapi wakati kipindi wanafanya hukuwepo!

brain is the beautiful part of the body.
 
Acha ubbwege wewe unnachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?
Kwa ujinga wang in magufuli voice, je wewe uliina wap au ndo ulikua unapiga chabo maana wazee wa doski nyny hatari!? Au pengine wewe ulikua unashika mguu au pia ulikuwa sperm ukamwagika nje maana sio kwa uhakika huo.
 
Acha ubbwege wewe unnachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?

Huyo ni mpiga chabo labda
 
Zari kusemwa anayataka mwenyewe! Hivi yeye anawachokoza wazaramo anategemea nini kama si kusema mpaka apotee njia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Zari angeka kimya tuu. Sema naye kwa kupenda drama yule bi mdashi. Angeendeleea kukaa kimya tuu.
Watz sijui dada wa watu aliwakosea nini. Stress zao zote wanazimaliziaga kwa Zari. Umaskini mbaya sana
 
Zari kazaa watoto wenye nyota za baraka.. watu wanamuonea wivu hadi wanagombania au kulazimisha watoto wao wawe ndugu wa watoto wake. Yaani hamisa anatamani na kutumia haters kugombania udungu. Mwingine ambaye hajielewi ni dada wa Diamond amejaa pumba na mnafiki mwenye wivu pia, niliona kwa Millard kaandika ujinga na kideo cha kijinga sana kurusha na family ya mdogo wake.
 
Koment moja tu ya zari jana ika nreak internet kile kijiharakati cha stop posting zari kikatupiliwa kuleeee. Zari kiboko yao

Kweli kiboko yao, na kwa yeye pesa zitazidi kuingia. Wao hakuna kitu
 
tatizo ni diamond bado hajakua kiakili hajui anafamilia kubwa ya kusimamia iyo inshu ya diamond kutoka na hamisa ni ukweli njoo mbezi beach jogoo mitaa ya africana msikitini utamwona diamond kila siku kwa hamisa ni vile tu watu wa huku hatuna uswahili ila diamond anatakiwa akue ajitambue hawa wasichana wa pembeni ni tishio kwa kazi na pia familia yake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana hana ukaribu mzuri na zari,ka wifi kanafiki kale
 

Alimuanza kwasababu ya Diamond kuwa nae after Wema. Ila kubwa ikaja alipomsema vibaya juu ya kuachana na marehemu Ivan utafikiri aliishi nao.. sasa kilipomkuta yeye mama msaka pesa akatupa dongo baada ya yeye kuachika na inajulikana kafuliaaaa sio kama enzi za ndoa na blog yake. hilo limemkaba M hadi leo hawezi kutotaka kumuharibia mahusiano na Naseeb.
Ndo maana hananukaribu mzuri na zari,ka wifi kanafiki kale

Kanifiki haswa kamejaa wivu juu ya maisha mazuri aliyowekewa na Zari kuanzia makazi kuwa class ya juu hadi kutamani awe na u biss lady ila ndio hivyo mchakaramu mchakaramu. Amshukuru Zari milele kwa kumuonyesha jinsi ya kuvaa na kujiweka vizuri hata kumshauri aanzishe biz ya juuza uza vitu. Yake hakukoma kabisa alivyokimbiwa na mume na wenzake kumpatia eanawake wa kuserebuka... jinga sana hilo limwanamke.
 
mie na changai tuh hili ingawa wote sio ma fan wangu, ila na kuunga mkono unachosema naona uko sawa tuh kuna ka harufu cha roho mbaya yani maadau wazari na madui wa dai aka kiba team ndo wana chochea kunia ila wapi, na hamissa ana wachezea akili saana mama da,de,di,do na du. hio yote ana wachezea wajinga wajinga akili 😀 achen story za kutengeneza
 
Wote hapo hakuna mke wa halali mkuu( ndoa)
Kama huyo unaemtetea alimwacha/aliachwa na mzazi mwenzie wa awali itakuwaje shida kuachana na huyu...halafu ukizingatia wanaitikadi za kiislamu( ndoa za mitala ni ruksa)

brain is the beautiful part of the body.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…