Sakata la Diamond na Hamissa: Wanafiki ndio wapo kazini


Huku domo anamsifia zari


Huku hamisa anamwita mwanae baby dee

Ngoja tuone hii movie itaishia wapi maana hakuna mwanzo uso na mwisho ila naona kama zari anachezewa akili vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo majungu tu Siku zote.
 
Aaah Bongo bana, acha tu yaan ukiwa celeb bora u keep low profile aisee maana utaish kwa shida,sana. Enzi zangu wakati naigiza muvi ya shamba kubwa haya mambo hayakuepo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wivu ameona age mate wake anamaendeleo makubwa south na Uganda na kiserengeti boy juu tena anapesa nyingi mpaka kanunuliwa nyumba wakati yeye kadanga wazungu lakini hana hata banda la mbwa anaringia mali za urithi
 
Ndo vichupi kunuka hivo diamond anavisema
 
Wenye wivu au nyongo na maisha ya Zari wapambane na hali zao, ila wakati wanapambana wasisumbue hali ya Zari maana watachelewa kuyanya yao..
 
Acha kutulaghai....Watu walianza kumjua Hamisa kipindi aliposhiriki miss tanzania....


Pili Domo kama mwanaume bachela wa kitanzania /kiafrika (baadhi) kuzaa na Hamisa wala sio kitu cha ajabu wala cha kishangaza...... ukizingatia domo hajaoa anaweza kanyaga popote pale akazaa hata watoto 20 kwa mama tofautitofauti

Halafu wote 3 wangekuwa wanafanya mahusiano yao ya kimapenzi kuwa siri haya yote yasingetokea......... ndio gharama za umaarufu na kupenda kuwa midomoni mwa watu

Anyway

Acha wapambane na hali zao
 
Hamisa tuonyeshe hata mdomo tu wambie muwasho upoe.
 
Watu kama nyinyi ndio mliomuharibia Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…