Sakata la DP World: Kamati ya Bunge Yaahirisha Kupokea Maoni ya Marekebisho ya Sheria za Maliasili ikitaka Ufafanuzi wa Serikali

Sakata la DP World: Kamati ya Bunge Yaahirisha Kupokea Maoni ya Marekebisho ya Sheria za Maliasili ikitaka Ufafanuzi wa Serikali

Dr. Joseph Kizito Mhagama (Mb) - mwenyekiti

2022 - 0Bachelor DegreeOpen University of TanzaniaBachelor of Laws (On going)
2018 - 2021PhDUniversity of DodomaDoctor of Philosophy
1983 - 1989Primary SchoolTanga Primary SchoolCPEE
2004 - 2005Postgraduate DiplomaDiplo Foundation, MaltaPost Graduate Course in Language and Diplomacy
2001 - 2003CertificateSt. Augustine's Major SeminaryCertificate of Philosophical Studies
2004 - 2008Bachelor DegreeUniversity of Fribourg-SwitzerlandBachelor of Theology
2013 - 2016Masters DegreeUniversity of DodomaMasters Degree in Business Administration
2004 - 2006Advanced DiplomaUniversity of Fribourg KV Zurich, SwitzerlandAdvanced Diploma in French Language (DALF C1)
1995 - 1997Secondary SchoolKasita Seminary Secondary SchoolACSEE
1998 - 2001Bachelor DegreeUniversity of Madras-IndiaBachelor of Science in Chemistry
1991 - 1994Secondary SchoolLikonde Seminary Secondary SchoolCSEE
1990 - 1990Primary SchoolLiganga Seminary
 
Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?
mikononi mwetu.”

Source: The Chanzo
Siku mtakapoielewa falsafa ya Reform and Rebuilding ndipo mtakapoelewa kwanini sasa bunge lina nguvu ya kuhoji mswada unaoletwa bungeni. Miaka miwili tu nyuma, waikuwa hawawezi hata kujamba.

Mimi nimefurahi sana kuona bunge letu sasa linaweza kuihoji serikali.

Mbadiliko ya sheria tuyategemee mengi sana katika ku Reform na Rebuilding.


Hongera sana mama Samia.
 
Hon. Abdullah Ali Mwinyi (Mb) - mjumbe

YearLevelSchoolAwards
1993 - 1996Bachelor DegreeUniversity of Wales, CardiffLLB
1998 - 1999Masters DegreeUniversity of Wales, CardiffLLM
1981 - 1986Primary SchoolMuhimbili Primary SchoolCPEE
1986 - 1990Secondary SchoolUpper Tooting Hing School - LondonCSEE
1990 - 1992Secondary SchoolDubai College
 
Hon. Edward Olelekaita Kisau (Mb) - mjumbe

YearLevelSchoolAwards
2008 - 2009Postgraduate DiplomaLaw School of Tanzania (UDSM)PGD
2004 - 2007Bachelor DegreeTumaini University - IringaLLB Hons
2001 - 2003Secondary SchoolAgape Lutheran Junior SeminaryACSEE
1999 - 2000Secondary SchoolEkenywa Secondary SchoolCSEE
1987 - 1993Primary SchoolNdendo Primary SchoolPCEE
2009 - 2010Masters DegreeStellenbosch University - South AfricaLLM
2012 - 0Professional CertificateLaw School of TanzaniaAdmitted as Advocate - No. 3278
 
Yaani huyu Mwarabu amekuja kutubadilishia sheria zetu kwa faida yake.
 
Hon. Abeid Ighondo Ramadhani (Mb) - mjumbe


YearLevelSchoolAwards
2017 - 2021Masters DegreeOpen University of TanzaniaMasters Degree
2003 - 2006Bachelor DegreeUniversity of Dar es SalaamDegree
2000 - 2002Secondary SchoolAl-farauq Islamic SeminaryCertificate
1988 - 1994Primary SchoolMrama Primary SchoolCertificate
1995 - 1998Secondary SchoolMwenge Secondary School
 
Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?

Kwa nini yeye kama muwekezaji asi-blend in na sheria za nchi yetu?
Kalaghabao....
 
Kamati ya Bunge imesheheni wajumbe makini kutoka sehemu zote za Jamhuri ya Muungano ambao wanaleta mchanganyiko wa mawazo kutoka kila tabaka (class) ya jamii yetu.
 
Haya mambo ni aibu sana kwa hili taifa, hatuwezi kuacha nchi iendeshwe kienyeji namna hii, tumegeuza watumwa kabisa ndani ya nchi yetu, hii ni dharau kubwa sana kwetu.
 
Hivi si ni Bunge hili hili ndio lilipitisha hii sheria huku likimsifu sana sana Rais Magufuli kwa kulinda rasilimali za nchi?

Aibu ndio kitu tulikosa kama taifa.
 
Watu walishakula fungu ukianza na kikwete, wanang'ang'ana kubadili sheria walizotunga wenyewe kulinda rasilimali Ili ziendane na huyu mwizi Dp word....



Sheria waliyoitunga wenyewe 2017 juzi tu hapa... Wanaenda kuibadili!? Kuna harufu kubwa sana ya ufisadi kwenye hili sakata zaidi hata ya Richmond_Epa

Eti tuna Bunge!? Bunge la aina Gani hili.... ingekuwa nchi nyingine, Spika hizo takataka zake zinazojiita wawakilishi.... walipaswa wajiuzuru ndani ya masaa 24...

Na... Believe me.... wameweka pamba masikioni...

Na hili linaenda kupita bila kupingwa... tuna Bunge la hovyo sana... Wanatetea matumbo yao tu!...

Bunge la The late Samwel Sitta, ndilo lilikuwa Bunge
 
TISS ndio wajinga sana tena sana hawafai. Huyu Rais alitakiwa kufanyia kitu kigumu sana hatuwezi kuacha maliasili zetu zichululiwe OUT CCM
Sawa kabisa Rufiji dam..TISS ndio chanzo cha matatizo yote haya! na sababu kubwa ni mfumo uliopo wa namna wanavyopatikana na kazi wanazofanya haufai, viongozi wastaafu wa ccm wametumia ubovu wa mfumo huu kujaza watu wao kwenye hii taasisi kiasi kwamba Rais aliyepo madarakani anatumikia maslahi ya wastaafu kadri wanavyotaka..watanzania tusipoteze nguvu nyingi kulaumu Rais, tuungane tushughulike na hii taasisi, kwa kuanzia ni kuivunja yote na kuwaondoa wote waliopo sasa ili kupata wengine wapya kabisa..hii ni kazi kama kazi zingine, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza kufanya kazi ya usalama..tuanzie hapo, tuache malalamiko!
 
Sawa kabisa Rufiji dam..TISS ndio chanzo cha matatizo yote haya! na sababu kubwa ni mfumo uliopo wa namna wanavyopatikana na kazi wanazofanya haufai, viongozi wastaafu wa ccm wametumia ubovu wa mfumo huu kujaza watu wao kwenye hii taasisi kiasi kwamba Rais aliyepo madarakani anatumikia maslahi ya wastaafu kadri wanavyotaka..watanzania tusipoteze nguvu nyingi kulaumu Rais, tuungane tushughulike na hii taasisi, kwa kuanzia ni kuivunja yote na kuwaondoa wote waliopo sasa ili kupata wengine wapya kabisa..hii ni kazi kama kazi zingine, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza kufanya kazi ya usalama..tuanzie hapo, tuache malalamiko!
Umeaongea points sn, ubovu unaanza hapa kwanza
 
Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu?

Ina maana akija muwekezaji mwingine ambaye sheria itakuwa inambana kwenye masharti anayoyataka pia tutairudisha tena bungeni kuvichomoa hivyo vipengele?

Huyu muwekezaji ana nini hasa cha zaidi mpaka anafanya sheria za nchi zinanyumbulishwa ili tu yeye a-fit in?

Kwa nini yeye kama muwekezaji asi-blend in na sheria za nchi yetu?

Kimsingi yeye ndiyo anapaswa ajinyumbue ili kuendana na sheria halali za nchi zilizowekwa.

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria imeahirisha kusikiliza maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mhagama, ameiambia The Chanzo Alhamisi hii kwamba wameomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Serikali kuhusu mabadiliko hayo ambayo yameibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo nchini.

Sheria hizo ni miongoni mwa sheria zilizojumuishwa katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 2 wa Mwaka 2023, uliokusudia kurekebisha, pamoja na sheria nyingine, sheria hizo mbili ili zisitumike katika uendeshaji wa miradi ya uendeshaji, uendelezaji na bandari.

Huku wadau wengi wakihusisha sheria hii na mkataba unaotegemea kuipa kampuni ya DP World ya Dubai, kazi ya kuendesha, kuboresha na kuendeleza bandari Tanzania.

Muswada huo uliosomwa bungeni kwa mara ya kwanza Juni 28, 2023, na Kamati ya Bunge ya Katiba na Masuala ya Kisheria ilialika maoni ya wadau kuhusu marekebisho yaliyotazamiwa kabla ya muswada huo kurejeshwa bungeni baadaye Agosti. Kamati ilisikiliza maoni ya wadau hao mnamo Agosti 16, 2023.

Sehemu ya IV na V ya muswada wa marekebisho zinapendekeza marekebisho ya sheria tajwa ili kuhakikisha kuwa utekelezaji wa sheria hizo hauathiri uwekezaji utakaokuja kufanywa katika uendelezaji na uendeshaji wa bandari.

Serikali inasema marekebisho hayo yanalenga kuwezesha bandari za Tanzania “kufanya kazi katika viwango vya kimataifa na kuvutia meli nyingi za mizigo mikubwa kuhudumiwa na bandari” za Tanzania.

Sheria hizi mbili ambazo zilipitishwa mwaka 2017 ziliwekwa kwa madhumuni ya kuhakikisha Tanzania inanufaika na maliasili zake, lakini pia inatoa nafasi ya kurekebisha mikataba mibovu.

Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake ilipokea maoni kuhusu sehemu nne za sheria ambazo Serikali inataka kuzifanyia marekebisho, na kuacha sehemu mbili zilizoundwa ili kuipa Tanzania mamlaka juu ya maliasili zake.

“Muswada huo una sehemu sita, kamati iliona ifanyie kazi vipengele vinne tu, na kuviacha vingine viwili ili kutengeneza njia ya mashauriano na Serikali kwa lengo la kupata ufafanuzi wa maudhui ya sheria hizo mbili,” Mhagama, ambaye ni mbunge wa Madaba (Chama cha Mapinduzi – CCM), anasema.

Anasema kuwa wadau wataalikwa kuwasilisha maoni yao mara baada ya kupata ufafanuzi na Serikali pindi ikiamua kuendelea na marekebisho yaliyopendekezwa na kuongeza kuwa kamati hiyo inatakiwa “kujiridhisha” na yaliyomo kwenye muswada huo kabla ya kuamua kuendelea nao.

Dk Mhagama ameiambia The Chanzo kwamba kamati yake iliomba maelezo kutoka kwa Serikali kuhusu marekebisho ya sheria hizo mbili, huku akishindwa kueleza ni lini hasa anatarajia mamlaka kujibu hoja zilizoibuliwa.

“Serikali itakuwa hapa milele; wakati wowote watakapoona inafaa kujibu hoja tulizoibua watakuja kwenye kamati na mapendekezo yao,” Dk Mhagama anafafanua. “Si lazima iwe leo, kesho au mwakani.”

Mapendekezo ya marekebisho ya sheria hizo yanakuja wakati mjadala mkubwa wa kitaifa ukiendelea kuhusu makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai ili kuiruhusu DP World kuiendesha bandari ya Dar es Salaam.

Mnamo Juni 10, 2023, wabunge waliridhia kwa kauli moja mkataba huo tata ambao unaendelea kuleta mgawanyiko wa taifa, huku mgawanyiko wa maoni kati ya wafuasi wake na wakosoaji ukionekana wazi kila siku.

Serikali na chama tawala wanauelezea mkataba huo kuwa “mkataba bora zaidi kuwahi kutokea,” huku wanaharakati na vyama vya upinzani wakiuelezea kuwa “mkataba mbaya zaidi.”

Miongoni mwa waliokataa mpango huo ni Maaskofu wa Kanisa Katoliki, ambao kwenye taarifa yao ya pamoja ya Agosti 18, 2023, waliitaka Serikali kusikiliza matakwa ya wananachi ya kufuta mpango huo, wakisema, “Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.”

“Ni lazima miradi kama hii [ya maendeleo ya bandari] iendeshwe na kusimamiwa na Watanzania wenyewe, huku wakikaribisha ushirikiano ambao wao wenyewe wataudhibiti,” Maaskofu hao 37 walisema katika taarifa yao hiyo ya pamoja.

“Hili ndilo ambalo wananchi wamekuwa wakililia ili tuweze kuboresha uwezo wetu wa kusimamia uwekezaji muhimu,” waliendelea kueleza. “Kwa sababu tayari tumeshachambua mapungufu ya jinsi tunavyoendesha bandari zetu, tunaweza kuyafanyia kazi huku njia za uchumi zikisalia mikononi mwetu.”

Source: The Chanzo
Bado wanunuzi wa serenget wakija tutabadl sheria?
Sheria ya muli asil llpitishwa kama ushindi bunge na wananchi wakashangilia pamoja.
Leo vigogo na wabunge wamehongwa bila aibu wanalisaliti taifa. Aibu kubwa
Zoezi hilo la aibu lisitishwe kabisa
 
IGA is just a framework aina lolote la maana, mziki upo kwenye ‘concession agreements/project agreements.

Kama serikali ingekuwa imepeleka watu sahihi kusoma maswala ya business contracts. Wenye background ya finance, business management au accountancy: IGA si lolote si chochote zaidi ya watanzania kujazana ujinga tu.

Ukisoma mambo ya mikataba ya kimataifa na kuelewa historia yake (to get the background/perspective) ya kuanzishwa kwa taratibu za BIT na aina ya tabia za watu walio influence hiyo mikataba.

Inabidi tu rudi kuanzia na watu kans hakina ‘John Rockefeller’ senior na biashara yake ya utapeli wa ‘snake oil’ marekani, kuelewa history ya biashara ya mafuta from Texas first rigs, people who funded first explorations, finding early usages of the commodity, msingi wa capitalism ya US (trust me it’s unique to date compare to many other western nations), how ‘John Rockefeller Jr’ adopted his father’s canny business skills as well as his own ruthless approach to capitalism ya awali US (which is still somewhat the predominantly thinking in US), kuanzishwa kwa ‘standard oil’, it’s ill practices to be a monopoly in US market.

Overall immoral practices of other investors on the era which are beyond today acceptable today, fraudulent activities of the so called money men businesses models in sifting government coffers, baadae makampuni ya mabeberu kutafuta new source za mafuta global nje ya US hadi kuundwa kwa (seven sisters), ushindani hayo makampuni kupata new source za mafuta duniani, investment agreement walizoingia nazo na waarabu, uelewa wa matumizi ya mafuta kwa sababu mbali mbali za uchumi duniani, uelewa wa umuhimu wa kumiliki mafuta duniani, waarabu na wengineo wenye mafuta kutaka kufaidika na resources zao, kasheshe ya wenye nchi kupambana kuchukua maliasili zao walizogawa karibu bure kwa kuingia mikataba mibovu, sababu za mabeberu kuja na ideology za divide and rule, sababu za UN kutoa definition ya nani mmiliki wa maliasili za nchi, sababu za kutunga aina ya mikataba ya kimataifa PSA/concession agreements (etc), wawekezaji wa nje kutaka kuona stabilisation clause zinakuwa sehemu ya framework za negotiations (that’s pretty much BITS and IGA) kuwa sehemu ya contract terms na kuheshimika.

Ukielewa mambo yote hayo na kujua msingi wa stabilisation clauses IGA sio lolote si chochote that’s just a norm today in investment protection. Nitty Gritty zipo kwenye ‘concession agreements’ ndio maana hiyo mikataba wanataka iwe siri popote duniani.

Hizo sheria za 2017 hazibadilishwi kwa sababu ya IGA (ni viazi tu kama hakina Mwabukusi wenye uelewa mdogo kudhani ile ni big deal) hiko cha mtoto tu if anything waarabu wana good intentions.

Kama umeelewa strategically kwa kusoma phase I & II DPW wanalenga nini impact yake it’s a game changer kwa uchumi wa bandari. Issue labda ni quality ya negotiators tutakaopeleka kujadili ‘concession agreements’ make no mistake that’s where unahitaji wataalamu wa finance, MBA au accountancy or else utaumia sana; sasa hiyo aitakuwa sababu ya IGA ni framework mbaya ila ni upuuzi wetu wenyewe kwenye kupeleka watu wasio na uelewa mdogo wa maswala ya finance.

Sababu hasa za kubadili hizo sheria za 2017 ni LNG plant ambapo mkataba inabidi uende bungeni. Ni hivi $42 billion LNG plant hiyo itakuwa the second most expensive plant in the world. Maana yake nini jamaa wana data ambazo sisi hatuna.

Tanzania ina 500,000 sq km ya potential area of ‘oil and gas’ reserves mpaka sasa only 100,000 km sq has been explored; from that there is enough reserve to recoup $42 billion investment. However utaminywa kweli in the period hili hiyo hela irudi.

Trust me wasingeweka hela hiyo for 50 cubic million of gas, faida yao ingekuwa ndogo sana. Wameshaona potential za mbele kubwa mno katika maeneo ambayo hayajaguswa so they can justify that investment na malipo ya mbeleni. Vinginevyo $42 billion investment ni gharama za plant ambazo hazilipi kabisa kwetu unless kama unasikiliza uthenge wa Zitto na Makamba na hiyo ndio sababu kuu ya kubadili hiyo sheria ili mkataba wa PSA tulioingia usiende bungeni; kuna madudu wazungu ambayo wataki public ujue that’s to say the nation is fu*cked.
Maelezo mengi ya nini badisheni uo mkataba au la muachane nao
 
Back
Top Bottom