Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

FaizaFoxy umepotea kipindi chote cha utawala JPM naona umerudi unaanzia ulikoishia.
Tulitishwa sana na "bwana yule" wengi wetu tukawa wakimbizi. Jiulize Lissu yuko wapi? Ambae hajatishika wakati ule ujuwe ni sukuma gang tu.
 
Watafute hata CEO wa kigeni aweke mifumo vizuri
 
Tumpe GSM au Dangote aendeshe hii Bandari, hawa jamaa ni akili kubwa sana...!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 

Tutaishia kuwa kama Nigeria au Kenya. Familia chache na wageni kumilki kila kitu.

Migogoro ya ardhi, ukabila, udini, kitabaka. Uhalifu kutamalaki.
 
Umesahau netgroup solutions ya Tanesco. Taasisi nyingi zitabinafsishwa, stand up.
 
Inawezekana. Kumbuka kitu kimoja "You're either with us or you are against us" - George Bush.

Hayo maneno yasome vizurihalafu tazama kilichompata Gaddafi na Saddam Hiussein na kinachoendelea kuwatesa Iran sasa hivi.

Magufuli alijidai kuminya kwenye dhahabu, akabanwa kidogo kidogo mpaka mwenyewe akaachia. Kwa maana hiyo,ukitaka bandari yako ife miaka hii basi jifanye hodari uiendeshe mwenyewe, itaminywa kidogodo mpaka ikate roho huku unaiona. Just go with the wind.


Kabla ya Maagufuli tulijidai kubana wakati wa Nyerere, tulikoma ubishi, mzee yule mpaka anang'atuka nchi ipo hoi bin taabani, masikini wa mwisho duniani. Dah tuliouona hmasikini kabla Nyerere hajang'atuka tunafahamu umasikini kama ule si kitu kizuri hata kidogo na hatutaki utukumbe tena, tusife na tai shingoni. Once was mpore than enough.

Namuunga mkono mama Samia 100% kwenye hili.
 
Umesahau netgroup solutions ya Tanesco. Taasisi nyingi zitabinafsishwa, stand up.
Netgroup walikuwaa wahuni wachache wa hapahapa waliozuga na kuja na wazungu waaliowaajiri. Ule ulikuwa upigaji tu. Uliona ilidumu ilipostukiwa?

Sasa hivi mambo ni tofauti, hakuna kuchinjana kwa visu vyetu wenyewe.
 
Serikali yenye maana hupangiwa na raia zake binafsi nini cha kufanya. Ndiyo maana ya serikali sikivu.
 
Serikali yenye maana hupangiwa na raia zake binafsi nini cha kufanya. Ndiyo maana ya serikali sikivu.
Wenzetu wakibahatika kua na putin, xian wanaenda nae kuleta maendeleo. Sisi tukipata magufuli wetu unasikia serikali sikivu. Huku kwetu unafikiri serikali kama sio sikivu kwa mabwanyenye wakala wa ubeberu wa nje itakua sikivu kwa nani? Hawa raia wanyonge?
Huku kwetu tunahitaji 'Popular authoritarianism' uliberali hautupeleki popote. Tunahitaji kina thomas sankara, kina gaddafi, kina samora machel. Ona south africa ya mandela. Uhuru wa bendera lakini ukaburu bado haujatikiswa.
 
Ndiyo GSM ni akili kubwa sana, enzi za Shopping Centre hukumbuki? Sisi wafanyabiashara kariakoo tulineemeka sana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sio kweli
GSM ni kivuli cha royal family, hivyo ilikua lazima wafanye vile kwa kuwa hawana vikwazo vyovyote.
Ni sawa na kusema bashite ni akili kubwa kisa tu anaweza kufanikisha au kukufanikishia jambo lolote bila shida, bila kujua tu kwa sababu yupo karibu na ofisi kubwa.
 


Kwanini nitetemeke kwa hasira? Hujaoona pesa za Watanzania zimeenda kujenga Uwanja wa ndege wa Kimataifa pasipostahiki?

Nadhani ulishindwa hata kutetemesha makalio.
 
Anataka kuuwa bandari ya dar ijengwe ya bagamoyo JK behind this deal, take my word.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Ushaambiwa wafanyakazi wataopinga kuhamia DP WORLD Watahamishiwa Ukerewe halafu bado unauliza tena !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…