Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

Namna pekee sio kutafuta mbia - ni kuondoa governmental oversigh!!! Bodi ya Bandari ni jambo la kisiasa na bahati mbaya ndio inapeleka maazimio yake yasiyozingatia taalum na biashara kwa mkurugenzi kwa utekelezaji!!

Bodi ni mkono wa serikali katika jambo la kitaalum! Na sio sahihi coz hata huyo mbia hana mamlaka kuliko Bodi.

Ni wazi hatujui bado tunataka nini!
 
Life cycle ya mashirika yote ya umma Tanzania ni kama inafanana, ndiyo maana mengi hayaendi mbele kwa vile yanapitia mzunguko ule ule

1647625817205.png
 
Tuanze na uwanja wa Chato tutafute mbia mwenye uzoefu
 
Issue kubwa ni hao wanaotafuta wabia ni wapigaji. Wako zaidi kwa maslahi binafsi yao, washkaji na ndugu zao, sio maslahi mapana ya Taifa.

Unaweza kuona kwenye teuzi nyingi. Wanawekwa watu wasiostahili hizo nafasi.

Kwahiyo ni vigumu kupata mikataba yenye tija kwa maslahi ya Tanzania.

Bandari na viwanja vya ndege ndio kila kitu. Silaha, nyara za serikali, madawa, kodi kubwa za kuendesha serikali, exports, imports asilimia kubwa zinapitia hapo.

Ni strategic asset, heart and soul of a country.

Mambo ya haya hayatakiwi kuamuliwa kiholela, wadau muhimu (Wananchi) wanatakiwa kushirikishwa na kuombwa maoni na mapendekezo yao jinsi ya kuongeza ufanisi bandarini bila kuleta athari kubwa huko mbeleni.

Mwisho wa siku watakaoumizwa na kulipa gharama kubwa maamuzi yakiwa ya hovyo ni Raia wa kawaida, Watanzania wote.
 
Naunga mkono ikiwezekana ifanyike mapema.
wakipata mwekezaji mwenye sifa kama DP ya Dubai / Singapore / Netherlands / South Korea / Japan itakuwa bonus

Mtoa mada unasema huko nyuma zoezi la ubia lilishindikana , ni kweli kwasababu wawekezaji wale hawakuwa na sifa walichaguliwa bila sifa Ndio maana walishindwa

Wote hao wanahitaji usimamizi wa hali ya juu sana. Swali tunaweza kuweka watu sahihi kusimamia huu mchakato?

Ukiangalia records ya mwaka mmoja wa hii serikali (awamu ya sita) teuzi, usimamizi wa sekta nyingine muhimu kama umeme, SGR, Bwawa la Nyerere, maji, nk unaona na hii issue inakuwa more or less kama issue ya umeme inavyosimamiwa na kusuasua kwa sasa.

Ndio uwezo wao utakapoishia. Very predictable.
 
Kwa nchi kama yetu hii bandari unatafuta mbia ? Hivi vyombo vya usalama vina shauri wanasiasa kweli?
 
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.

Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?

Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.

Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.

--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.

Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.

Rais wetu ni mtu mwema, ana nia nzuri Nchi yake. Labda aanze na Dubai Port Authority au Antwerp au Boston au Chennai, lakini Bandari ni ule proverbial mfupa mgumu uliomshinda fisi. She will need ushauri mzuri, Uzalendo, both kwa watu wetu, na upande wa wawekezaji - kuna matapeli on both sides. Kilishajaribishwa kila kitu hapo, it is rotten. They know all the answers and most of the questions. Haya nayasema kwa nia njema kabisa and with the utmost due respect.
 
Zumaridi yeye kama yeye hajui kitu,yupo tu hapo watu wanampa maelekezo,hivi rdhwani ni mtu wa kupewa uwaziri au katambi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nimependa hiyo AKA mujarabu kabisa - ZUMARIDI.
 
Wengi majuha hawafahamu kuwa kumiliki nchi sio lazima uwe kila kitu kinaendeshwa na Serikali.

Dunia ya sasa na yenye maendeleo, serikali inabaki kuwa "facilitator" tu na biashara zote zinaendeshwa na watu binafsi.
Ila kuna biashara zingine si nzuri kuwapa watu binafsi kuziendesha, maana hao watu binafsi wakisha zikamata hizo biashara muhimu, wao ndiyo watakua wanaipangia Serekali yako nini cha kufanya,badala ya Serekali kuwapangia wao! Uchumi wa Dunia ya leo umeja Ma Mafia kibao,na wako tayari kufanya lolote lile ili yao yaeende!!
 
Hayo yote ni masharti ya mikopo na Kampuni itakayopewa itatoka nchi zilizotoa hela, IMF na World Bank , unafikiri ni kwa nini Ndugai alifurumushwa ? Aligusa penyewe …
Kudhani Ndugai ana akili timamu pia ni tatizo, amesapoti uozo mwingi sana hivyo kama kuna kitu eti alipigia kelele basi ni kwa kutokuwepo maslahi yake binafsi.
Yule ng'ombe hajawahi kuwa na uchungu na nchi wala wananchi.
 
Watanzania wengi sana wana akili za kitumwa, na mtumwa hata umfanye nini utumwa upo ndani ya damu yake.

Kumiliki kila kitu cha nchi na serikali ndio ikiendeshe ni enzi za utumwa na Ufalme.

Duniani sasa hivi serikali zinabaki kuwa "facilitators", hata ajira zinabaki kuwa kenye private sectors tu kwa wingi. Serikali inabaki na wafanya kazi wachache sana ambao kazi zao zinabaki kuwa acilitators tu na si utendaji wa kina. Feda zinatakiwa mzunguko urudi kwa raia wapate kujiendeleza.

Mama Samia, achana na majuha wenye fikra za kitumwa wachache ambao wanataka kila biashara kubwa iendeshwe na serikali, hao ni wezi na ama wana akilli za kitumwa tu. Bandari zote kubwa duniani sasa hivi haziendeshwi na serikali zao. Sifahamu Tanzania kwanini tumeshelewa sana kwenye hilo?

Mama Samia nakuunga mkono 100% kwenye hili la bandari kupewa mbia aiendeshe.
Je umesha jiuuliza Kama tuna watu wanaojua kuingia Mikataba ya win win na Makampuni binafsi!? Kuingia Ubia siyo kiti kibaya,lakini je hawa Viongozi wetu wanaweza wakasimamia Mikataba vizuri!? Maana Africa tunapigwa sana Mali ghafi zetu kutokana na Mikataba mibovu walioingia hao Waheshimiwa wetu!!?
 
Watu wanapo ona mambo ya kibiashara ayaendi vizuri wanakodisha consultancy firms iliyobobea kwenye area husika of concern kuchunguza na kuwapa mbinu za kusimamia biashara kwa ufanisi.

Sisi tunaleta kampuni iingie ubia wa kuendesha taasisi yenye thamani ya trillion of shillings ambazo zimewekezwa na walipa kodi, huyo mmbia achangii ata cent 5 waje wachote.

Only in Tanzania

Hii comment yako mama aione kwenye faili . Itakuwa kituko karibu kila mwaka tuna injection billion of sh halafu kutoka kwa walipa kodi halafu mbia mwenye zeo contribution aje achukue kwa urahisi . Mama asichukue vitu kwa urahisi aumize kichwa chake
 
Hii comment yako mama aione kwenye faili . Itakuwa kituko karibu kila mwaka tuna injection billion of sh halafu kutoka kwa walipa kodi halafu mbia mwenye zeo contribution aje achukue kwa urahisi . Mama asichukue vitu kwa urahisi aumize kichwa chake
Wanasikia basi wakitaka yao, hakuna business justification ya mtu kuja kuvuna tu.

Unaingia ubia weka hela kwanza, yaani uje upewe sehemu uchote tu, shamba la bibi.
 
Tuwe na raisi Hadi mawaziri waingereza. Ila hawa kina mwigulu na January???? Alafu tunatemea maendeleo
Ndiyo wateule,ndio wanaofaa kumpaisha mama Kama tunavyoona mitandaoni, huko stigraz Hali sijui ikoje? winchi ishafika? Mungu tutetee waja wako.
 
It is not a bad thing to look for a partner or a concessionaire to invest and run the Port.

In 1996, I was in the USA, and witnessed the Port of New York looking for a company to manage it. Do you know who won the tender? It was the Port of Dubai.

However, the US Govt later changed its mind and said it was going to repeat the exercise.
Ok you see! Someone had someone in mind and it happened another person won the tender.
I am not completely opposed to outsourcing but the problem in tanzania and africa as a whole is how objective we can be. Corruption is the main problem. The economic benefits sought would at the end of day not be realised because of graft.
 
This is new controversy.
Its like am Witnessing A Crash in Slow Motion..., but maybe am just a Worrisome Person...

The Future Tanzania that I see is for the Few to have Wealthy which they can not Consume it for generations to Come..., and for the Majority to never even know when their next meal will come from.... Its Scary to Say the Least; I wonder if this was the dream of the Founders of this Once a Great Nation...
 
Back
Top Bottom