evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Hahaha mimi pia,hii habari labda nipewe source..
Mkuu wasumbufu wa hivyo wapo sana... Ila unapokuja kusoma kwamba demu anamkataa Intellectual na ambaye ana wadhifa fulani then anamkubali tapeli na mtu anayeishi kijanja mjini kama huyo Dr. wa mitishamba ndio utata unapokuja... Hii ni story ya kutunga au fitna tu..Fitina!
Hivi bongo hii kuna demu kweli wa kumsumbua mtu miaka mitatu????
Labda kama huna hela!!!!
Acheni kuchafua watu. Watu wanaposimamia kazi vizuri, mnawachafua na kuwasingizia kuwa Wana mabifu ya kukosa mademu. Je mhashimiwa rais anavyotumbua majipu, na yeye alitoswa na mademu waliowakubalia wale waliofukuzwa bandarini, waliotoswa uwaziri, waliotoswa ukatibu mkuu, n.k?
unaandika nini kama kitu huna uhakika nacho peleka umbeya wako kwenuLile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.
Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.
Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.
Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
da namaanisha Maghembe!Huyo Dr. Tuesday Wako Ni Wa Wapi Tena? Hivi Huwa INAWAGHARIMU Nini Kutulia Tu Kidogo Kuusoma UZI Wote Kiumakini, Uuelewe Na Kisha Uchangie? Anyway Akhsante Kwa Kuchangia.
Hahahahaaa kumbe?Hivi hili sakata limeishia wapi?
Ila wanaume hawana maana jamani!Huyo Mr. Thursday si anasifika kwa kuwa na wifey bomba?
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.
Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.
Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.
Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
Shetani mnampa nafasi,..YESU alisema ukitamani mwanamke tayari umezini nae,..shetani anatumia nafasi hiyo kwenda nawatu motoni,..zinaa ni dhambi na hata kama umeoa kama hufati sharia za Mungu lazima utatoka nje ya ndoa sababu shetani anaweka matamanio ndani yako,..we need to change na Kumrudia MUNGU hayo yote ya kufanya dhambi hovyo yataisha,...najua mtapanic bt njia pekee ya kuacha dhambi ni kumrudia MUNGU Iko hivyo
jamaa yangu wewe kwa umbeya na wewe humo anyway hebu toa details za totoz huyo ili na mie nijipime ubavu nione kama ninaweza kung`oa kwa muda gani....
you know what mwanamke akiwa desperate kwa kitu fulani halafu ukamuaminisha kuwa wewe utamsaidia kuondoa tatizo linalomkabili unagonga hata bure
ndio maana kuna wanawake wakali sana ila wamegongwa na ma hr wa ajabu ajabu mjini hapa mpaka unashangaa
HahahahaaaIla Nikikupa Mimba a.k.a Ujauzito Si Ndiyo Utaniamini au?
Huwa simuamini mtoa mada hata kidogo maana kwa kutunga hajambo!
unaandika nini kama kitu huna uhakika nacho peleka umbeya wako kwenu
Mkuu wasumbufu wa hivyo wapo sana... Ila unapokuja kusoma kwamba demu anamkataa Intellectual na ambaye ana wadhifa fulani then anamkubali tapeli na mtu anayeishi kijanja mjini kama huyo Dr. wa mitishamba ndio utata unapokuja... Hii ni story ya kutunga au fitna tu..
ha ha hah kumbe tuko wengi eeehh tusiomuamini bibie mtoa mada!
Ila Ulipokoswakoswa Kutunguliwa Na Waasi Wa M23 Ulipokwenda Kongo Kulinda Amani Ndiyo Uliamini Kuwa Wale Jamaa Walikuwa Kiboko? Halafu Acha Kupenda Kumpiga Mkeo Mara Kwa Mara Kwani Unawatia Mno Aibu WAJEDA Wenzio Na Pia Usipende Sana Kuingia Hiyo Lodge Ya NDAWAVUNGWA Hapo Kawe Jirani Na Mlango Mdogo Wa Kuingia Kambini Kwenu Na Hao MAKAHABA Wa Hapo MLIMA MOTO Stendi Ya Mabasi Ya UKWAMANI. Mheshimu Mkeo masikini qwiiiii mke wa mitishimba akiona hapa atadondoka kuzimia kama pana ukweli
Hiyo tafsida duhLile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.