Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 589
- 376
Baada ya Mr Year kubanwa mbavu ..ameona aanze kutunga uzushi....Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.
Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.
Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.
Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
Mtoa mada ni muongo sana tena sana na kwenye habari yake anaonekana hana hakika...Huwa simuamini mtoa mada hata kidogo maana kwa kutunga hajambo!
Hapo ndio utajua jamaa ni muongo ..mHabari ulete wewe alafu details utuulize sisi???? aisee ukisikia unafiki ~aga ndio kama huu
Huyo Huyo Dr. Alhamis hawezi gombania demu na Tapeli Year.Huyo Dr. Tuesday Wako Ni Wa Wapi Tena? Hivi Huwa INAWAGHARIMU Nini Kutulia Tu Kidogo Kuusoma UZI Wote Kiumakini, Uuelewe Na Kisha Uchangie? Anyway Akhsante Kwa Kuchangia.
Kali sanaUmeikubali au?
Huoni Hata AIBU Mkuu? Watu Wote 12 Hapo WAMESHAUELEWA UZI WANGU NA KUUCHANGIA Isipokuwa Wewe Tu " PANZI BRAIN " Ndiyo Hujauelewa Na Unapayuka Tu Sasa.
Judi mambo vipi!Mwanaume kuwa mmbeya tabu sana utajikuta unaombwa mzigo. Unatunga habar ili upate umaarufu wa jamiiforums faida likes mpumbavu sana ww. Mwanamke wa kumsumbua Waziri tz hii yupo wapeee
Mwanzoni nilikua namchukia sana Genta lakini siku hizi ni tofauti nikisoma majibu yake huwa nachoka.siku ukija TZ niarifu tuonane
Mwanzoni nilikua namchukia sana Genta lakini siku hizi ni tofauti nikisoma majibu yake huwa nachoka.siku ukija TZ niarifu tuonane
Mmh! zali la mentali hili, si wengine tuna bahati ya punda.
Duu usije ukanpiiga mimba kama ulivyonisha! ni kweli ulikua ukiniudhi lkn ss nina amani nawe sana sijui ni kwa nini!