Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala halihusiani na taaluma au ueledi wa hapo bali ni masuala tu ya kimapenzi a.k.a mahaba.

Inasemekana kuna totooz moja ya maana Mr. Thursday Napigwangwala katumia miaka mitatu (3) kuitongoza huku akitoa ofa kadhaa na bado hakuona ndani lakini ni totooz hiyo hiyo Mr. Week Year katongoza kwa saa 72 tu kamaliza kazi.

Hili tukio sasa limenifanya niamini kuwa kumbe 85% ya mabifu ya sisi wanaume huwa ni malavidavi na hizo 15% zilizobaki ni masuala tu ya mshiko.

Naomba mwenye ukweli zaidi kuhusiana na hili la Mr. Thursday Napigwangwala na Mr. Week Year atujuze zaidi tafadhali.
Baada ya Mr Year kubanwa mbavu ..ameona aanze kutunga uzushi....
 
Labda kama walikuwa wanashare lakini kusema katongoza miaka mitatu,huo ulongo bongo hamna demu wa kumkatalia mtu kwa muda huo
 
Nilisema kuna sababu nyingine, maana hakuna mwingine alie kaguliwa zaidi ya Mr. year hata yule mama Rahabu bingwa anajiita hivyo wa vidonda vya tumbo hakuguswa. Kigwa anamuonea wivu year kwa jinsi anavyopata kila aina ya WAGONJWA na matibabu yanahusisha NYUCHIzao wivu wa kipuuzi kweli anafikiri jamaa anapiga zote.
 
Huyo Dr. Tuesday Wako Ni Wa Wapi Tena? Hivi Huwa INAWAGHARIMU Nini Kutulia Tu Kidogo Kuusoma UZI Wote Kiumakini, Uuelewe Na Kisha Uchangie? Anyway Akhsante Kwa Kuchangia.
Huyo Huyo Dr. Alhamis hawezi gombania demu na Tapeli Year.
 
Mwanaume kuwa mmbeya tabu sana utajikuta unaombwa mzigo. Unatunga habar ili upate umaarufu wa jamiiforums faida likes mpumbavu sana ww. Mwanamke wa kumsumbua Waziri tz hii yupo wapeee
 
Fununu zinakuwa tetesi, tetesi zinakuwa stori, stori zinakuwa habari...

Dr.Year mpuuzi sana ametafuta njia za kupoza janga lake ameamua kutumia watu kama wewe kueneza huu uzushi

Umelipwa Tsh. ngapi?
 
Mwanaume kuwa mmbeya tabu sana utajikuta unaombwa mzigo. Unatunga habar ili upate umaarufu wa jamiiforums faida likes mpumbavu sana ww. Mwanamke wa kumsumbua Waziri tz hii yupo wapeee
Judi mambo vipi!
 
Mwanzoni nilikua namchukia sana Genta lakini siku hizi ni tofauti nikisoma majibu yake huwa nachoka.siku ukija TZ niarifu tuonane
 
Mwanzoni nilikua namchukia sana Genta lakini siku hizi ni tofauti nikisoma majibu yake huwa nachoka.siku ukija TZ niarifu tuonane

Usinichukie Mama mkubwa Tena Furahi Kunifahamu Mtu Kama Mimi. Nimekuja Dar Tanzania Tokea Jumamosi Iliyopita Na Kama Unataka Kuonana Na Mimi Fuata Tu Utaratibu Na Utaweza Kuonana Na Mimi ILI Upige Ma Zwanga Photo ( SELFIE ) Nami Hadi URIDHIKE. Ufanye Haraka Kwani Baada Ya Mechi Ya Simba Na Mtibwa Jumamosi Hii Ijayo Nitakuwa Najiandaa Kurudi Kwetu Rwanda Ktk Mkoa Wangu Wa Cyagungu Japo Muda Mwingine Huwa Nakuwa Mkoani Gitarama Na Mji Mkuu Wa Kigali. Ukinichukia Mimi Ni Sawa Na Kuwachukia MALAIKA WA AMANI, UPENDO Na MAFANIKO Wa Mwenyezi Mungu. Urakoze Cyane!
 
Duu usije ukanpiiga mimba kama ulivyonisha! ni kweli ulikua ukiniudhi lkn ss nina amani nawe sana sijui ni kwa nini!

Sijaelewa kidogo Hapo Ulipoandika Nanukuu " Duu Usije Ukanipiga Mimba Kama Ulivyonisha! " Naomba UFAFANUZI Wa Kina Ktk Hili Tafadhali. Kuhusu Wewe Kutokujua Ni Kwanini Huko Nyuma Ulikuwa HUNIPENDI Na UNANICHUKIA Lakini Leo Hii UNANIPENDA KUNAKOTUKUKA Jibu Ni Rahisi Tu Kuwa Nina ZAWADI Ambayo Nimepewa Na Mwenyezi Mungu Ya MVUTO, USHAWISHI, UCHANGAMFU, UTANI Na Mwisho Kabisa Mwili Wangu Una UTAKASO Wa Aina Yake. Lakini Kama Hiyo Haitoshi SIKUFANYA Makosa Hadi Kuamua Kujiita GENTAMYCINE Kwani Huyo Jamaa Unayemwona Hapo Pichani Ktk AVATAR Ni Rapa Namba Moja Wa Bendi Yangu Ninayoipenda KULIKO Hata Ninavyompenda Anayenipenda Ya WENGE MUSICA BCBG Kwani Ni Rapa Ambaye Ziara Zote Ambazo JB MPIANA Na Bendi Yake Hiyo IKIENDA Mashabiki Kwanza Huuliza Je Rapa GENTAMYCINE Yupo? Wakijibiwa Ndiyo Basi TIKETI HUUZWA Na KUISHA Haraka Na Shughuli Yake Akiwa STEJINI Waulize Wafuatiliaji Wa Miziki Hii Ya DRC Watakuambia au Hata Wewe Tafuta Tu " Live " DVD Yoyote Ya WENGE MUSICA BCBG Hasa Ya JB ANNIVESARY Ya Mwaka 2012 au Tour De Belgium Halafu Angalia Sana Wakati Wimbo Wangu Niupendao Wa " LE BARON " Ukipigwa Kisha Subiria Kule Mbele Mziki UKICHANGANYA Halafu Utamwona Le Champion Animateur Du Congo GENTAMYCINE Akiwafanya Watu Washindwe Kukaa VITINI Kwa Rapu Zake Za MBUNDA, BILOKO Na ROTA ROTA. Kwahiyo Naitendea Haki ID Kutoka Kwa Yule Niliyemchukulia. Sijui Una Jingine Bibie?
 
Huyu ndie Gentamycine aka cleverbright story zake anazitoa jikoni kabisa kama anavyo jipambanua ,Mambo ya Sospeter ndie atakaua Raisi wa awamu ya tano mtake msitake ,classified ?? Yaani mtu kufanya uzinzi hiyo habari ni classfied ??? Umesahau ya Malima kukutwa na Smg na haikua classfied ?? Njoo tu na mapovu yako nakusubiri
 
Back
Top Bottom