Sakata la Dr. Year na Mhe Thursday: Sasa yametimia baada ya siri kufichuka

Tatizo lako Genta ni msahailifu pia1 mwanzoni ulinitisha utanitungua mimba mara hii umesahau? Basi kwa leo nimenyanyua mikono juu maana we kiumbe ni wa aina yako.
 
Huyu ndie Gentamycine aka cleverbright story zake anazitoa jikoni kabisa kama anavyo jipambanua ,Mambo ya Sospeter ndie atakaua Raisi wa awamu ya tano mtake msitake ,classified ?? Yaani mtu kufanya uzinzi hiyo habari ni classfied ??? Umesahau ya Malima kukutwa na Smg na haikua classfied ?? Njoo tu na mapovu yako nakusubiri

Unadhani Kuwa Labda Kutaja Hizo ID's Mbili Hapo UMENIUA Lakini Nakuambia Ndiyo Kwanza Umenisaidia Kunipa PROMO Ya KUFA MTU Na Nakuomba Zidi Kunipigia PROMO Hivyo Hivyo. Na Kwa Kukusaidia Kuna ID's Zingine Tisa ( 9 ) Umeziacha Kuzitaja Na Zenyewe Ni MACHACHARI Kama Hizo Mbili ( 2 ) Hapo Na Zote Zipo HEWANI Hivi Sasa Na Zinakuwepo Hewani 24/7. Utanitafuta Sana Ila Hutanipata Wala Hutaniweza!
 
Tatizo lako Genta ni msahailifu pia1 mwanzoni ulinitisha utanitungua mimba mara hii umesahau? Basi kwa leo nimenyanyua mikono juu maana we kiumbe ni wa aina yako.

Kwanini Mpendwa Mimi Mbona Ni Wa Kawaida Tu? Mikwara Yangu Ya Humu Isikufanye Labda Unione Mimi JINI au SHETANI Wakati Mimi Ni Kijana Mmoja Mtaratibu Sana, Mnyenyekevu, Mcha Mungu NILIYETUKUKA Na Mwenye Upendo Wa Agape Isipokuwa Ninapokuwa Tu Ktk Keyboard Ndiyo Akili Zangu Huhama Kwa Muda. Kwahiyo Ndiyo Umesusa Hutaki Kuonana Na Mimi Tena au? Nilitaka Nikupe Bahati Ya MTENDE Ya Kuwa Wa Kwanza Kuwa Na Namba Yangu Ili Nikutumie Kwa PM Unitafute Lakini Basi Tena Nimeghairi.
 
Unadhani Kuwa Labda Kutaja Hizo ID's Mbili Hapo UMENIUA Lakini Nakuambia Ndiyo Kwanza Umenisaidia Kunipa PROMO Ya KUFA MTU Na Nakuomba Zidi Kunipigia PROMO Hivyo Hivyo. Na Kwa Kukusaidia Kuna ID's Zingine Tisa ( 9 ) Umeziacha Kuzitaja Na Zenyewe Ni MACHACHARI Kama Hizo Mbili ( 2 ) Hapo Na Zote Zipo HEWANI Hivi Sasa Na Zinakuwepo Hewani 24/7. Utanitafuta Sana Ila Hutanipata Wala Hutaniweza!
Teh teh ! Nlikua nafikiria ungekuja na matusi mzee wa habari za jikoni ,endelea kuwapa habari bana
 
Vipi Bado Hujazijua Hizo ID's Zangu Zingine? Najua Unaumia Mno Kwanini Mimi Mtu Baki Tu Tena Wa Kawaida Huwa Nakuwa Wa Kwanza Kuzipata Hizo Za " Jikoni " Ilhali Wewe POPOMA Upo Humo Humo Lakini Unazipata Tu Kupitia Abiria Wa Ktk Daladala au Unakuwa Wa Mwisho Kuzinyaka. Halafu Kuhusu Suala La Kusema Kuwa Nilimtabiria Professor Muhongo Kuwa Atakuwa Rais Sidhani Kama Lina Ukweli Bali Ninachokumbuka Na Ushahidi Upo Ni Kwamba Nilitaja Majina Matatu Ya Prof. Muhongo, Prof. Mwandosya Na Dr. Magufuli Na Kuonyesha Kuwa NAJIAMINI Niliweka Hadi PERCENTAGE Na Nikasema Kuwa Hao Maprofesa Wawili Niliwapa 20% Each Lakini Dr. Magufuli Nikampa 60% Na Nashukuru Mwenyezi Mungu Ilikuja Kuwa Hivyo Na Ndipo Watu Walipoanza Kunikubali. Narudia Tena USHAHIDI Wa Hiki Kitu Kipo Humu Humu Na Utakipata. Hata Ufanye Vipi Huwezi KUNIKUTA Wala KUNIPATA Kwani Mimi Ni Lionel Messi Wakati Wewe Ni Geofrey Mwashuiya Hivyo Hatuwezi Kulingana ILA Najua Na Nimepata TAARIFA Kuwa Kumbe Kuna Watu Humu Huwa MNACHEZA BETTING Huko Vitaani Kwenu Kuwa Leo Na Log In JF Ili Niweze Kubishana Na GENTAMYCINE Na Kwamba Asiponipiga DONGO Basi Naliwa Lakini Akinipiga Yale MADONGO Yake Mkeka Unakwenda Vizuri Na Kupata PESA. Haya Umeshajitutumua Leo Kujibizana Na Mimi Nenda Basi Kwa Mhindi Wako AKAKUPE HELA Yako Uwapishe Na Wengine Ambao Wana Hamu Kujibizana Na Mimi Humu Ili Na Wao Members Wote Wa JF Hata Na Wengineo WAWAJUE. au Kama Nikumilikishe Tu Hii ID Yangu Ili Uiendeleze Na Mimi Nitafute ID Nyingine Ambayo Najua Na Yenyewe Nitaitengeneza Na Nitaikuza Na Kuwa BRAND Kama Hii.
 
Hivi huu muda wa kuandika pumba zote hizi unautoa wapi ?? Oh nimesahau ndio kazi yenu mmepewa hapo Lumumba ,omba nafasi ya Nape zamani huenda ikakufaa

Ushahidi gani unaosemea ,wewe hukusema Sospeter Muhongo anakua raisi wa awamu ya tano tutake au tusitake ????? ,na habari umezipata Jikoni ,haya maneno yako hayo hapo kwenye picha
Teh teh ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu ndio maana kuna wadau wamechangia hapo juu hawana imani na wewe
ID zote za nini hizo ?? Uongo tu ndio maana hujiamini
 
Attachments

  • 1452768461279.jpg
    1452768461279.jpg
    46 KB · Views: 24
Hivi huu muda wa kuandika pumba zote hizi unautoa wapi ?? Oh nimesahau ndio kazi yenu mmepewa hapo Lumumba ,omba nafasi ya Nape zamani huenda ikakufaa

Ushahidi gani unaosemea ,wewe hukusema Sospeter Muhongo anakua raisi wa awamu ya tano tutake au tusitake ????? ,na habari umezipata Jikoni ,haya maneno yako hayo hapo kwenye picha
Teh teh ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu ndio maana kuna wadau wamechangia hapo juu hawana imani na wewe
ID zote za nini hizo ?? Uongo tu ndio maana hujiamini

Wawekee Pia Na Ule USHAHIDI Wa Picha Wa Nilivyokuwa " Nakubandua " Hapo Lamada Mwaka Jana Hadi Ukaenda Kupigwa Bomba Muhimbili.
 
Hivi huu muda wa kuandika pumba zote hizi unautoa wapi ?? Oh nimesahau ndio kazi yenu mmepewa hapo Lumumba ,omba nafasi ya Nape zamani huenda ikakufaa

Ushahidi gani unaosemea ,wewe hukusema Sospeter Muhongo anakua raisi wa awamu ya tano tutake au tusitake ????? ,na habari umezipata Jikoni ,haya maneno yako hayo hapo kwenye picha
Teh teh ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu ndio maana kuna wadau wamechangia hapo juu hawana imani na wewe
ID zote za nini hizo ?? Uongo tu ndio maana hujiamini

Uncle achana nae huyu unapoteza muda wako kwa mtu asiye na kichwa wala miguu!
 
Unataka Uhakika Wa UZI Wangu Je Wewe Hao Watoto Mkeo Aliokuzalia Una Uhakika 100% Kuwa Ni " Mabao " Yako? Ukiona Mtu Anakuja Na Post Ya JAZBA Namna Hii Kama Wewe Basi Ujue PESA YA MSHAHARA Imeshakwisha Na Miamala Yote Anakotegemea Inasoma " YOU HAVE NO BALANCE " Pole Sana Mkuu Na Ndiyo Kwanza Leo Tarehe 13, January 2016 Na Usipoangalia Utachuma Sana Michicha Kuelekea Mwisho Wa Mwezi.
Hahaha acha ufala
 
MTOA MADA TUPE SOURCE TUMECHOKA NA UZUSHI
 
Hahahahaaa kumbe?Hivi hili sakata limeishia wapi?
Ila wanaume hawana maana jamani!Huyo Mr. Thursday si anasifika kwa kuwa na wifey bomba?
Uzuri wa mwanamke sio sura wala umbo.kuna vitu vingi,malaya wa jolly club kwa sura na umbo hawana mfanowe lakini hawaoleki
 
Hahaha...ngoja tuendelee kuwasubiri wanaowajua waje!!!
 
pole sana mleta mada ya kusikia... umesikia ila hukutaka kushirikisha ubongo wako, asante kwa kulishirikisha jamvi!! Sidhan kama inaweza kuwa fact maybe iwe fiction
 
Back
Top Bottom