Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hao watu wakiitwa wataacha ushoga? Sijui kwanini tumezoea kulaumu serikali kila kitu yani wewe ufanye upuuzi wako mwenyewe halafu uje ulaumu serikali? Ushoga kwa tanzania ni kosa na adhabu yake ukikutwa na hatia ni kifungo na kuna watu wamewahi kufungwa. Tatizo vijana kils kitu kulaumu serikali hivi wewe ni mwanaume ushindwe kujisimamia mpaka serikali ikusimamie? Mwanaume kamili hawi shoga kwa njia yoyote ile. Ndio maana nasemaga kila siku mashoga sio wanaume 🤣Ukitaka kujua kwamba serikali yetu haramu inasupport USHOGA kwa 100% angalia Serikali ilivyomruka MAKONDA kipindi alipoanza kuwakamata MASHOGA na pili muangalie Mama Gwajima anavyowaogopa kuwaita MASHOGA ,akiona vidada mtandaoni vinatikisa matako FASTA aviita viende ofisini kwake kisa vimevunja maadili lakini Kina Anko T ,Noel ,Rio Po ,Lokole,Delicious ,Rich Adore wanapaka Mishedo ,wanavaa Mawigi ,wanavaa nguo za kike lakini hawagusi ,akiona clips zao anazipita kama anaaga maiti.