Umesoma mada mkuu? Jikite kwenye mada tafadhali.Na Chadema ndio wapo na Sapoti ya Wazungu kabisaaa
Sijui Taifa litaponaje kwenye mikono ya Wazungu
Nakumbuka siku ile Ya Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society
Baada kutangazwa Mshindi
ndugu Mwabukusi
Mh Lissu alidondosha Mauno kwenye ule Ukumbi
Nikasema kweli Mungu akunyimi vyote
Twendapo hatukujui Mungu atusimamie tufike Salama tu✍️
Pale kwenye kashimo ndo pa kupalinda zaidi mkuuAmeshatwambia TULINDE MAKALIO YETU NCHI IPO PABAYA SANA
Napinga kwa nguvu zotePale kwenye kashimo ndo pa kupalinda zaidi mkuu
Unataka kusema nini mkuu? Hebu fafanua vizuri hoja yako.Ukweli Ushoga umekuwa kitanzi kikubwa kwa Mataifa mengi machanga kama yetu
WAZUNGU wanasimama na Mashoga
Wazungu wanaichukia CCM na kuipenda Chadema
Malengo yao hatuyajui ni ninj kwenye Chadema🫎🫎❓️❓️❓️❓️