Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

Wewe endelea kukaza FUVU ,hoja ni kwamba ukifanya kitu tofauti na cha ugeneral watu watakushangaa.(Tumezoea watu wanavaa nguo ukitembea uchi watu watakushangaa hata kama mwili wako ,wewe mwanaume umegeuka shoga na kupelekewa MOTO watu watakushangaa ,hivyo havibadiliki)

Mbona Samba Mapangala(Mwanamuziki) ni HANITHI na siyo SHOGA? Hakuna uhusiano wa HANITHI na kuwa SHOGA ,mtu kama ANko T au Juma lokole wana watoto inakuwaje huko mbele wakaaga mashidano? Hauwezi kushindana na nature watoto wa kiume wanaharibiwa wakiwa wadogo na si kwamba wana hormone za kike....Singo maza unamlea mtoto wa kiume kikikekike then useme kwamba ana hormone za kike HELL NO.

Uzuri ni kwamba huwa mna bwata mitandaoni huko kwa grounds hakuna kitu mnafanya, hao kina Noel, anco T. Lokole wanaendelea na maisha yao km kawaida.
😂😂😂
 
Ndio maana tunasema kwamba serikali haijawahi kupinga ushoga . Hakuna hiyo sheria. Correct me if am wrong.

Serikali haijawahi kupinga ushoga, na hakuna sheria inayozuia ushoga, ila kuna sheria ya mapenzi kinyume na maumbile, haijalishi ni Ke wala Me, ambapo tatizo lipo kwenye uthibitisho, na inakinzana na sheria ya faragha binafsi ya mtu.
Kila mtu ataamua ameze au ateme.
😂😂😂😂
 
Uzuri ni kwamba huwa mna bwata mitandaoni huko kwa grounds hakuna kitu mnafanya, hao kina Noel, anco T. Lokole wanaendelea na maisha yao km kawaida.
😂😂😂
Ni kweli kwasababu serikali ya WAHUNI inafaidika na pesa za WANUKA VIMA(WAZUNGU) ,wazungu wanakupa pesa na masharti ya kusapati UGASHO.
 
Basi km katokaa, yeye aendelee na mishe take, na wenzake awaache na mishe zao.
Au hiyo tour yake malipo hakuna, ko stress na depression nyingi.
😂😂😂
Serikali ndio wanatakiwa wamuache awashughulikie mashoga. Wanamfuatafuata wa nini?
 
Ndio maana tunasema kwamba serikali haijawahi kupinga ushoga . Hakuna hiyo sheria. Correct me if am wrong.
Sheria ipo na ipo wazi na kuna kesi watu waliwahi kutiwa hatiani. Hata isingekuwepo hii sheria Sisi wanaume kamili wote kila mwanaume anachukia ushoga. Ukiona mtu unayemdhani ni mwanaume akawa shoga ujue tu unajidanganya,, huyo hana sifa yakiume na hakuwahi kuwa mwanaume. Kitendo cha kuruhusu kuingiliwa tayari wewe sio mwanaume , mwanaume haruhusu kuingiliwa hata siku moja sisi huwa tunaingilia sio kuingiliwa na hisia zetu tunavutiwa na wanawake kuwala,, sasa ukikuta mtu unayemdhani ni mwanaume karuhusu kuliwa ujue huyo sio mwanaume. Nadhani hata wao hawapendi pia kuitwa wanaume kwasababu wanajua wazi hawana sifa za kiume. Hata mtoto mdogo anajua yeye ni wakiume na anajua anachopaswa kufanya na ikifika umri wa balehe ataanza kupata hisia hata kabla ya hapo na kutamani kuingilia wanawake na sio kuingiliwa. Watu jitambueni sio kila kitu kulaumu serikali ihangaike na mambo ya kijinga
 

Attachments

  • _20260905_194600.JPG
    _20260905_194600.JPG
    221.6 KB · Views: 9
Serikali ndio wanatakiwa wamuache awashughulikie mashoga. Wanamfuatafuata wa nini?
Hawawezi Pinga,wanaume wengi wa chama kile wamejaaliwa mzigo
akiwemo na eye,
Hivyo hili la ushoga ni sera ya sirisiri ya chama kile
 
Wewe endelea kukaza FUVU ,hoja ni kwamba ukifanya kitu tofauti na cha ugeneral watu watakushangaa.(Tumezoea watu wanavaa nguo ukitembea uchi watu watakushangaa hata kama mwili wako ,wewe mwanaume umegeuka shoga na kupelekewa MOTO watu watakushangaa ,hivyo havibadiliki)

Mbona Samba Mapangala(Mwanamuziki) ni HANITHI na siyo SHOGA? Hakuna uhusiano wa HANITHI na kuwa SHOGA ,mtu kama ANko T au Juma lokole wana watoto inakuwaje huko mbele wakaaga mashidano? Hauwezi kushindana na nature watoto wa kiume wanaharibiwa wakiwa wadogo na si kwamba wana hormone za kike....Singo maza unamlea mtoto wa kiume kikikekike then useme kwamba ana hormone za kike HELL NO.
Hawezi kukuelewa huyo, mlango wa nyuma uko wazi huyo.
 
Serikali haijawahi kupinga ushoga, na hakuna sheria inayozuia ushoga, ila kuna sheria ya mapenzi kinyume na maumbile, haijalishi ni Ke wala Me, ambapo tatizo lipo kwenye uthibitisho, na inakinzana na sheria ya faragha binafsi ya mtu.
Kila mtu ataamua ameze au ateme.
😂😂😂😂
Asante kwa kututhibitishia kwamba serikali inaunga mkono ushoga lakini inapiga vita mapenzi kinyume na maumbile. Nikuulize swali: Kwani mtu akiwa shoga anaingizwa kinyume na maumbile au anaingizwa wapi mkuu? Naona sasa mada imeanza kuchangamka.
 
Lini Dudu baya akatoa Elimu juu ya ushoga? Huko kwa umma anachokifanya ni kubwata pasipo na msingi wowote.
Sana naona ni stress na depression zilivyo msonga tu.
Mkuu kama unawaonea huruma mashoga wanavyokabwa na Mambaz24 kwanini usiwashauri waache ushoga?
 
Moderator naomba mpige ban huyu bwana mdogo kwa hiki alichoedit cha kuchafua hadhi ya watu wengine. Kwa kuchukua post yake na kueditia jina langu kama alivyo fanya ushihudi kwenye attachment
Hio ume edit na umeenda kufuta post namba 17 kama inavyoonyesha kwenye origina screenshot.

 
Watu mnafukua makaburi
Huyo ni wali nazi...
Kafuta post namba 17 kwenye huu uzi..

 
Hujaelewa kipi hapo..
Nasema kwamba Dudu Baya yupo sahihi kutukana hao wafirwaji..

Hao kina Uncle T, Juma Lokole n.k wana push agenda zao kupitia social medias... wanafanya ushoga uonekane kawaida ...

Watoto hivi sasa wapo sana mitandaoni.. hivyo ni sawa Dudu Baya kuwatukana na kuwadhalilisha...

Tofauti na hapo utakuwa shoga ama mfiraji kama unapinga anachofanya Dudu Baya..
Mwaijaku, Lokole, Daimond na wenzake wote ni mashoga lakini wanalindwa na serikali ya kishoga
 
Mkuu mbona sasa unatetea ushoga? Je, una maslahi gani na ushoga?😨😳🥺
Mkuu hujaelewa nilicho post hapo?
Huyo mjinga, nimeweka uzi wake wakati anakiri alishawahi kuwa bwabwa.... kwenye post namba 17...
Ameifuta...

Mkuu unanikosea sana...
 
Mkuu hujaelewa nilicho post hapo?
Huyo mjinga, nimeweka uzi wake wakati anakiri alishawahi kuwa bwabwa.... kwenye post namba 17...
Ameifuta...

Mkuu unanikosea sana...
Pole sana mkuu. Niwie radhi. Nimenukuu vibaya. Kumbe tupo pamoja.
 
Na Chadema ndio wapo na Sapoti ya Wazungu kabisaaa

Sijui Taifa litaponaje kwenye mikono ya Wazungu

Nakumbuka siku ile Ya Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society
Baada kutangazwa Mshindi
ndugu Mwabukusi
Mh Lissu alidondosha Mauno kwenye ule Ukumbi
Nikasema kweli Mungu akunyimi vyote
Twendapo hatukujui Mungu atusimamie tufike Salama tu✍️
 
Back
Top Bottom