Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

Inawezekanaje mtu anayepinga jinai (ushoga) asukumwe ndani mkuu? Kwa maanahiyo unakubali kwamba serikali inanufaika na vitendo vya ushoga?

Ameitwa huko akathibitishe madai yake ya ushoga, ili hatua zichukuliwe dhidi ya jinai hiyo.
 
Mkuu usishangae humu ndani kuna machoko wametumwa na machoko wenzao kuja kutetea uchoko. Hii nchi ina mijutu ya ovyo sana. Eti badala wampongeze Mambaz24, wanataka kumziba mdomo. Nchi imejaa machoko kila kona aisee!

Sasa hata ukilia au kuhemkwa ndio utabadilisha nini? Poleee wee.
😂😂😂😂
 
Watanzania wengi hawaelewi kuwa kuwaandama mashoga ni kitu sawa tu na ubaguzi wa rangi kuwabagua watu weusi.

Zote ni discrimination. Moja ni racial, ngingine ni ya sexual orientation.

Pote unambagua mtu tofauti na wewe tu.

Na ukuondoa sababu za kidini, ambazo ni za kinafiki tu na hazina uzito katika nchi ambayo si ya kidini, hakuna hoja ya msingi ya kumuingilia uhuru wake mtu anayetaka kuwa shoga.

Kwanza hata hizo Dini bado wao hawajui kuichambua, wako bias, wanachukua Yale yanayowafurahisha wao tu.
 
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.

Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha tamaa kwa jitihada zake za kupambana dhidhi ya ushoga? Huenda kuna manufaa ambayo serikali inayapata kupitia vitendo vya kishoga. Kama manufaa hayo yapo, basi yawekwe wazi kwa kila mtu.

Nilitegemea Mambaz aitwe Ikulu akanywe chai na Rais huku akimpongeza na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayoifanya, badala yake ameitwa kihuni aende sentroo akasoteshwe. Huko sentroo hakawii kumbabikwa kesi ya uhaini au ugaidi ili akose dhamana.

MAONI YANGU
Naomba serikali isimnyanyase Mambaz na kumtoa kwenye lengo lake zuri la kutokomeza ushoga na usagaji hapa nchini. Nashauri pia serikali imuandalie tuzo ya pongezi na kumtia moyo. Wanaoumizwa na vitendo hivi ni watoto na wajukuu zetu. Watoto wa watawala na vigogo mara nyingi hawaguswi ndio maana hawana uchungu dhidi ya vitendo hivi vya kishenzi vinavyozidi kushamiri siku hadi siku.

Nawasilisha.
​
Hiyo sio kali, kali ni ile aliyoongea afande sele kusema ushoga sio usanii, nae kapigwa biti siyo la nchi hii.
 
Hawawezi kukuelewa Wabongo walio jaa njaa, stress, depression. Kutokana na umaskini ulio kithiri.
Ni was kuhurumiwa tu.
Tambua kuna vitu kwa ugeneral havipo sawa kwasababu vinaenda nje ya nature hata kama kila mtu ana haki ya kujiamulia mambo...Mf Mwili ni wako lakini ukitembea bila nguo yaani uchi wa mnyama wanaokuzunguka watakushangaa ,ulishawahi kujiuliza kwanini wanashangaa? Umezaliwa Mwanamme upelekee mabinti moto ,diarra katoka golini majita wanazibua mtaro then unataka watu wachukulie ni kawaida ,sperms zinaenda kujaa zinatengeneza backeria unaoza UTUMBO hautaki watu wakataze?

Dr Janabi anatoa elimu ya lishe ili kuwaepusha raia na magonjwa yanayosababishwa na tabia bwete the same na Dudubaya anavyotoa elimu ya YBWYB(Linda mgongo,usipumuliwe)...Kingekuwa hakiendi nje ya natural na bila kuleta madhara hakuna mtu angepinga.....Hata normal sex(Me na ke) bado serikali inatoa ushauri kwamba tumia kinga kujilinda na STDs.
 
Uko irrelevant, mtu kuwa uchi na watu kumshangaa sio shida as if yeye ameamua kukaa uchi, then unaposema kuwa unatoka nje ya nature kivipi? Na aliyekuambia ukifirwa utumbo unaoza nani?

Kwahiyo kila aliyezaliwa mwanaume lazima apeleke moto mabinti? Unajua kuna mahakanithi? Na wengine wenye matatizo ya mfumo was via vya uzazi?

Hoja ya Dr janabi ni kila mtu ana amua afuate au aache, sio lazima, sawa na watu kushauriwa kutumia condoms wakati was unsafe sex, huyo Dudu baya km anataka kutoa Elimu basi aanze kutoa Elimu kuhusu hiyo ushoga kwa madhara au nn, ila yeye ana watuhumu watu ushahidi hana? Ndio maana kaitwa huko akawasilishe dai lake.
 
Basi mnalia wenyeweee? 😂😂😂

Mashoga ndio wana run the World, hivyo Straight uchwara vilio vyenu ni endelevuuu, bado hamjasemaaa, yaan ndio kwanzaa safarii inaanzaa.

Watu weuweeeeeeee!!! 😂😂😂😂😂
Serikali OMBA OMBA ndiyo inalia ,sisi ni Mamba 24 YBWYB(Tunalinda migongo) ,Mu7 serikali yake inapinga USHOGA kwasabu hawahitaji misaada ya WAZUNGU.
 
Sasa sioni km ni Elimu, ila naona ni mihemko isiyo na tija, km kweli aweke mdahalo was hicho anachokipigania.
Mkuu kila mtu ana namna na jinsi ya kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa; usitake kumlazimisha mamba afikishe ujumbe kwa namna unayotaka wewe. Cha muhimu ni kwamba ujumbe unafika kwa watanzania walio wengi. Kama wewe umeamua kuuzibia masiko ushoga, hiyo ni shauri yako mkuu.
Tambua kuna vitu kwa ugeneral havipo sawa kwasababu vinaenda nje ya nature hata kama kila mtu ana haki ya kujiamulia mambo...Mf Mwili ni wako lakini ukitembea bila nguo yaani uchi wa mnyama wanaokuzunguka watakushangaa ,ulishawahi kujiuliza kwanini wanashangaa? Umezaliwa Mwanamme upelekee mabinti moto ,diarra katoka golini majita wanazibua mtaro then unataka watu wachukulie ni kawaida ,sperms zinaenda kujaa zinatengeneza backeria unaoza UTUMBO hautaki watu wakataze?

Dr Janabi anatoa elimu ya lishe ili kuwaepusha raia na magonjwa yanayosababishwa na tabia bwete the same na Dudubaya anavyotoa elimu ya YBWYB(Linda mgongo,usipumuliwe)...Kingekuwa hakiendi nje ya natural na bila kuleta madhara hakuna mtu angepinga.....Hata normal sex(Me na ke) bado serikali inatoa ushauri kwamba tumia kinga kujilinda na STDs.
Mkuu umemaliza kila kitu. Kama kuna mtu atashindwa kukuelewa hapa, basi akapimwe akili.
 
Serikali OMBA OMBA ndiyo inalia ,sisi ni Mamba 24 YBWYB(Tunalinda migongo) ,Mu7 serikali yake inapinga USHOGA kwasabu hawahitaji misaada ya WAZUNGU.

😂😂😂😂 kwani uko kwa m7? Huyo dudubaya yuko central huko, mkamfate mumpe dhamana, mnakazi ya kubwata kwa keyboard .
Ila wabongo bhana, 😂😂😂
 
Uko irrelevant, mtu kuwa uchi na watu kumshangaa sio shida as if yeye ameamua kukaa uchi, then unaposema kuwa unatoka nje ya nature kivipi? Na aliyekuambia ukifirwa utumbo unaoza nani?

Kwahiyo kila aliyezaliwa mwanaume lazima apeleke moto mabinti? Unajua kuna mahakanithi? Na wengine wenye matatizo ya mfumo was via vya uzazi?

Hoja ya Dr janabi ni kila mtu ana amua afuate au aache, sio lazima, sawa na watu kushauriwa kutumia condoms wakati was unsafe sex, huyo Dudu baya km anataka kutoa Elimu basi aanze kutoa Elimu kuhusu hiyo ushoga kwa madhara au nn, ila yeye ana watuhumu watu ushahidi hana? Ndio maana kaitwa huko akawasilishe dai lake.
Mkuu kwa hiyo unashabikia ushoga uendelee watu waamue wenyewe kama kuingia ushogani au kutoingia? Sijakuelewa kwanini unawatetea sana mashoga. Nasita kusema huenda wewe ni mmoja wao usije ukaniita sentroo.
 
Sasa sioni km ni Elimu, ila naona ni mihemko isiyo na tija, km kweli aweke mdahalo was hicho anachokipigania.
Mkuu kila mtu ana namna na jinsi ya kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa; usitake kumlazimisha mamba afikishe ujumbe kwa namna unayotaka wewe. Cha muhimu ni kwamba ujumbe unafika kwa watanzania walio wengi. Kama wewe umeamua kuuzibia masiko ushoga, hiyo ni shauri yako mkuu.
 
Uko irrelevant, mtu kuwa uchi na watu kumshangaa sio shida as if yeye ameamua kukaa uchi, then unaposema kuwa unatoka nje ya nature kivipi? Na aliyekuambia ukifirwa utumbo unaoza nani?

Kwahiyo kila aliyezaliwa mwanaume lazima apeleke moto mabinti? Unajua kuna mahakanithi? Na wengine wenye matatizo ya mfumo was via vya uzazi?

Hoja ya Dr janabi ni kila mtu ana amua afuate au aache, sio lazima, sawa na watu kushauriwa kutumia condoms wakati was unsafe sex, huyo Dudu baya km anataka kutoa Elimu basi aanze kutoa Elimu kuhusu hiyo ushoga kwa madhara au nn, ila yeye ana watuhumu watu ushahidi hana? Ndio maana kaitwa huko akawasilishe dai lake.
Wewe endelea kukaza FUVU ,hoja ni kwamba ukifanya kitu tofauti na cha ugeneral watu watakushangaa.(Tumezoea watu wanavaa nguo ukitembea uchi watu watakushangaa hata kama mwili wako ,wewe mwanaume umegeuka shoga na kupelekewa MOTO watu watakushangaa ,hivyo havibadiliki)

Mbona Samba Mapangala(Mwanamuziki) ni HANITHI na siyo SHOGA? Hakuna uhusiano wa HANITHI na kuwa SHOGA ,mtu kama ANko T au Juma lokole wana watoto inakuwaje huko mbele wakaaga mashidano? Hauwezi kushindana na nature watoto wa kiume wanaharibiwa wakiwa wadogo na si kwamba wana hormone za kike....Singo maza unamlea mtoto wa kiume kikikekike then useme kwamba ana hormone za kike HELL NO.
 
😂😂😂😂 kwani uko kwa m7? Huyo dudubaya yuko central huko, mkamfate mumpe dhamana, mnakazi ya kubwata kwa keyboard .
Ila wabongo bhana, 😂😂😂
Dudubaya mbona alienda SENTRO na kahojiwa katoka hiyo hiyo jana akaenda kukinukisha Uhasibu LIKWIDI.
 
Mkuu kila mtu ana namna na jinsi ya kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa; usitake kumlazimisha mamba afikishe ujumbe kwa namna unayotaka wewe. Cha muhimu ni kwamba ujumbe unafika kwa watanzania walio wengi. Kama wewe umeamua kuuzibia masiko ushoga, hiyo ni shauri yako mkuu.

Basi ndio yuko huko central ameenda kueleweshwa namna ya kuwasilisha hilo dai lake, sijui Elimu.
Na uende ukamuwekee dhamana. Sio unabwata hapa JF, 😂😂😂
 
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.

Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha tamaa kwa jitihada zake za kupambana dhidhi ya ushoga? Huenda kuna manufaa ambayo serikali inayapata kupitia vitendo vya kishoga. Kama manufaa hayo yapo, basi yawekwe wazi kwa kila mtu.

Nilitegemea Mambaz aitwe Ikulu akanywe chai na Rais huku akimpongeza na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayoifanya, badala yake ameitwa kihuni aende sentroo akasoteshwe. Huko sentroo hakawii kumbabikwa kesi ya uhaini au ugaidi ili akose dhamana.

MAONI YANGU
Naomba serikali isimnyanyase Mambaz na kumtoa kwenye lengo lake zuri la kutokomeza ushoga na usagaji hapa nchini. Nashauri pia serikali imuandalie tuzo ya pongezi na kumtia moyo. Wanaoumizwa na vitendo hivi ni watoto na wajukuu zetu. Watoto wa watawala na vigogo mara nyingi hawaguswi ndio maana hawana uchungu dhidi ya vitendo hivi vya kishenzi vinavyozidi kushamiri siku hadi siku.

Nawasilisha.
​
Seeikali inadhani ikibariki ushoga itasamehewa madhambi yake ya tarehe 29 October na kuendelea
 
Unafikiri kupiga kelele mtandaoni kwamba hutaki ushoga ndio unazuia? Hilo jambo ni la kisheria zaidi na mikakati dhabiti
Ndio maana tunasema kwamba serikali haijawahi kupinga ushoga . Hakuna hiyo sheria. Correct me if am wrong.
 
Back
Top Bottom