Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hao watu wakiitwa wataacha ushoga? Sijui kwanini tumezoea kulaumu serikali kila kitu yani wewe ufanye upuuzi wako mwenyewe halafu uje ulaumu serikali? Ushoga kwa tanzania ni kosa na adhabu yake ukikutwa na hatia ni kifungo na kuna watu wamewahi kufungwa. Tatizo vijana kils kitu kulaumu serikali hivi wewe ni mwanaume ushindwe kujisimamia mpaka serikali ikusimamie? Mwanaume kamili hawi shoga kwa njia yoyote ile. Ndio maana nasemaga kila siku mashoga sio wanaume π€£Ukitaka kujua kwamba serikali yetu haramu inasupport USHOGA kwa 100% angalia Serikali ilivyomruka MAKONDA kipindi alipoanza kuwakamata MASHOGA na pili muangalie Mama Gwajima anavyowaogopa kuwaita MASHOGA ,akiona vidada mtandaoni vinatikisa matako FASTA aviita viende ofisini kwake kisa vimevunja maadili lakini Kina Anko T ,Noel ,Rio Po ,Lokole,Delicious ,Rich Adore wanapaka Mishedo ,wanavaa Mawigi ,wanavaa nguo za kike lakini hawagusi ,akiona clips zao anazipita kama anaaga maiti.
Kwa hiyo kuandika mtandaoni kukemea ushoga sio njia ya kupambana dhidi ya ushoga mkuu? Je, ingekuwa, kwa mfano, wewe unapinga ushoga ungetumia njia gani rahisi kufanikisha mapambano?Mwanaume kamili nilazima awe anachukia ushoga na kutokubaliana nao. Lakini hiyo haitoshi nilazima kuwe na sheria za udhibiti wa hilo jambo na utekelezaji wake. Kuandika mtandaoni unadhani kuna shoga anaweza kuacha ushoga kwakuwa amesikia mtu ana pinga mtandaoni?
Ndio maana Dudubaya alikataa kwenda kwa kuogopa kukutana na mashoga. Kwa ufupi ule mkutano uliitishwa na mashoga wakakutane na mashoga. Kwa hiyo, Mambaz aling'amua mapema na kuingia mitini.Kama ndivyo kwa Dudu baya why amekutanishwa na baadhi ya Mashoga,?
Mkuu salute kwako....umemaliza kila kitu. Siongezi neno hata moja. Ushoga na usagaji ni janga la kitaifa.Ukitaka kujua kwamba serikali yetu haramu inasupport USHOGA kwa 100% angalia Serikali ilivyomruka MAKONDA kipindi alipoanza kuwakamata MASHOGA na pili muangalie Mama Gwajima anavyowaogopa kuwaita MASHOGA ,akiona vidada mtandaoni vinatikisa matako FASTA aviita viende ofisini kwake kisa vimevunja maadili lakini Kina Anko T ,Noel ,Rio Po ,Lokole,Delicious ,Rich Adore wanapaka Mishedo ,wanavaa Mawigi ,wanavaa nguo za kike lakini hawagusi ,akiona clips zao anazipita kama anaaga maiti.
Kama serikali haiwatumi watu kufanya ushoga na usagaji, kwanini sasa wanamuandama mpinga ushoga (Mambaz24) ikiwa hawana maslahi na ushoga?Hao watu wakiitwa wataacha ushoga? Sijui kwanini tumezoea kulaumu serikali kila kitu yani wewe ufanye upuuzi wako mwenyewe halafu uje ulaumu serikali? Ushoga kwa tanzania ni kosa na adhabu yake ukikutwa na hatia ni kifungo na kuna watu wamewahi kufungwa. Tatizo vijana kils kitu kulaumu serikali hivi wewe ni mwanaume ushindwe kujisimamia mpaka serikali ikusimamie? Mwanaume kamili hawi shoga kwa njia yoyote ile. Ndio maana nasemaga kila siku mashoga sio wanaume π€£
Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu? Je, kukaa kimya ndiyo njia nzuri ya kupambana dhidi ya ushoga?Mkuu kwa heshima yako.
"Ushoga Ukiupiga sana vita kwa Maneno ni sawa na ku upromote, Yani kuutangaza zaidi"
Dudubaya bila kumkosea heshima anautangaza Ushoga kuliko kuupiga vita.
Kuna njia za Kupromote.
Na kuna njia za Kudestruct.
Du! Kumbe Dudubaya amegusa kwenyewe ndio maana wamiliki wa ushoga wanakuwa wakali. Hili ni tatizo kubwa sana katika nchi hii.Serikali hii haramu inaunga mkono ushogaView attachment 3663748
Serikali hii haramu inaunga mkono ushogaView attachment 3663748
Unafikiri kupiga kelele mtandaoni kwamba hutaki ushoga ndio unazuia? Hilo jambo ni la kisheria zaidi na mikakati dhabiti
Kwa hiyo mtu anayepinga ushoga unataka afanyeje kama sio kupiga kelele mkuu? Unataka atembee uchi barabarani au afanyeje?
Mwanaume kamili nilazima awe anachukia ushoga na kutokubaliana nao. Lakini hiyo haitoshi nilazima kuwe na sheria za udhibiti wa hilo jambo na utekelezaji wake. Kuandika mtandaoni unadhani kuna shoga anaweza kuacha ushoga kwakuwa amesikia mtu ana pinga mtandaoni?
Mbona makonda bado yupo na huyu DGIS hajapita Naye sasa ? Mokonda Alisha sema hataki watu wa upindeDGIS atapita nae huyu Jamaa wa Crocodile 24...nipo pale Mwaka kabla haujaisha huu tutamfukia
Ukitaka kujua kwamba serikali yetu haramu inasupport USHOGA kwa 100% angalia Serikali ilivyomruka MAKONDA kipindi alipoanza kuwakamata MASHOGA na pili muangalie Mama Gwajima anavyowaogopa kuwaita MASHOGA ,akiona vidada mtandaoni vinatikisa matako FASTA aviita viende ofisini kwake kisa vimevunja maadili lakini Kina Anko T ,Noel ,Rio Po ,Lokole,Delicious ,Rich Adore wanapaka Mishedo ,wanavaa Mawigi ,wanavaa nguo za kike lakini hawagusi ,akiona clips zao anazipita kama anaaga maiti.
Hao watu wakiitwa wataacha ushoga? Sijui kwanini tumezoea kulaumu serikali kila kitu yani wewe ufanye upuuzi wako mwenyewe halafu uje ulaumu serikali? Ushoga kwa tanzania ni kosa na adhabu yake ukikutwa na hatia ni kifungo na kuna watu wamewahi kufungwa. Tatizo vijana kils kitu kulaumu serikali hivi wewe ni mwanaume ushindwe kujisimamia mpaka serikali ikusimamie? Mwanaume kamili hawi shoga kwa njia yoyote ile. Ndio maana nasemaga kila siku mashoga sio wanaume π€£
Mkuu kwa heshima yako.
"Ushoga Ukiupiga sana vita kwa Maneno ni sawa na ku upromote, Yani kuutangaza zaidi"
Dudubaya bila kumkosea heshima anautangaza Ushoga kuliko kuupiga vita.
Kuna njia za Kupromote.
Na kuna njia za Kudestruct.