Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa wezi mbna jeuri hivi
nyerere alikuwa dictator,dunia ishabadilika sasa,inabidi mzoee ,mtoto wa kiume kulialia haipendezi
Watanzania bado tupo nyuma kwenye Capitalism. Hasara tuliyoipata kwa kushtakiwa na DOWANS ni matokeo ya wanasiasa wanaojiona ni wataalamu kwa sababu tu walishaenda semina.
Tutajifunza tu, taratibu.
mahakama corrupt, bunge corrupt IPTL corrupt... tunategemea nini??
Hizi sindimba dawa yake ni kutwangana bakora za m@t@k0ni