Dean
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 636
- 245
Hapa dawa ni moja tu: Kuifutilia CCM mbali kwa njia ya sanduku la kura!
kwan kuna binadamu ambae hapendi hela...........nauza kura yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa dawa ni moja tu: Kuifutilia CCM mbali kwa njia ya sanduku la kura!
Mimi binafsi huenda sheria za Tanzania sizifahamu vizuri.
Naomba kuuliza ili kujulishwa kwa mnaojua sheria za "ZUIO LA MAHAKAMA"
>>>>>> Mfano nina mgogoro na jirani yangu kuhusu kiwanja, na ikatolewa "ZUIO LA MAHAKAMA"; nami nikaendelea kuendeleza eneo lile lenye zuio.
Je ni nini sheria au Mahakama watakachofanya wakati mimi naendelea kujenga, na taarifa wamepewa kuwa najenga pamoja na ZUIO walilotoa?????
Je itatolewa ZUIO la pili na ikiwa la kwanza halijatekelezwa<<<<<<<<<
Naomba msaada wenu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
maamuzi yepi tena. muulize AG kwanini alijiuzuru jana.
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka shauri Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria juu ya Maazimio yaliyotolewa na Bunge juu ya sakata la ESCROW. Mtakumbuka kuwa IPTL na PAP walitoa taarifa ya kupinga maazimio hayo na kuyaita ni ya kipuuzi.
Inaonekana IPTL na PAP wametafskari vya kutosha na wameona kuwa kuna haja ya Mahakama Kuu kutoa ufafanuzi juu ya maazimio hayo hasa kutokana na kuonekana kuwa yanaingilia mihimili mingine ya dola na yanajichanganya.
Source: TBC1
Acha kelele kwani wewe ni mahakama? Acha mahakama ifanye kazi yake.
Naona uchokokwa magazetini was iptl na pap kwenda mahakamani kuzuia raisi asifanye ,maamuzi yoyote...je mahakama INA uwezo wa kumwambia rais to a waziri huyu..yule usitoe??
Muhongo na Tibaijuka wanahangaika sana mwisho wake watashindwa kama shetani alivyoshindwa uwongo na wizi una mwisho wakeNaona uchokokwa magazetini was iptl na pap kwenda mahakamani kuzuia raisi asifanye ,maamuzi yoyote...je mahakama INA uwezo wa kumwambia rais to a waziri huyu..yule usitoe??
N
Now nimejua kwa nini prof Anna alikuwa na kiburi jana cha kutongoka madarakani...alikuwa anajua hii kesi inakuja
inakuuma nini? Tulia sindano ikuingie
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka shauri Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria juu ya Maazimio yaliyotolewa na Bunge juu ya sakata la ESCROW. Mtakumbuka kuwa IPTL na PAP walitoa taarifa ya kupinga maazimio hayo na kuyaita ni ya kipuuzi.
Inaonekana IPTL na PAP wametafskari vya kutosha na wameona kuwa kuna haja ya Mahakama Kuu kutoa ufafanuzi juu ya maazimio hayo hasa kutokana na kuonekana kuwa yanaingilia mihimili mingine ya dola na yanajichanganya.
Source: TBC1
Hao majaji wenyewe wamepokea pesa za ESCROW, unategemea ni haki gani itatendeka?