Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kelele kwani wewe ni mahakama? Acha mahakama ifanye kazi yake.
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka shauri Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria juu ya Maazimio yaliyotolewa na Bunge juu ya sakata la ESCROW. Mtakumbuka kuwa IPTL na PAP walitoa taarifa ya kupinga maazimio hayo na kuyaita ni ya kipuuzi.
Inaonekana IPTL na PAP wametafskari vya kutosha na wameona kuwa kuna haja ya Mahakama Kuu kutoa ufafanuzi juu ya maazimio hayo hasa kutokana na kuonekana kuwa yanaingilia mihimili mingine ya dola na yanajichanganya.
Source: TBC1
Usikimbilie kuhukumu. Subiri maamuzi ya mahakama kuu
Acha kelele kwani wewe ni mahakama? Acha mahakama ifanye kazi yake.
Ukweli utazidi kubainika vizuri ndipo hapo tutajua kuwa PAC ni mbugila wa hali ya juu.
Hakuna serikali kuwekwa mkononi au kwasababu muhindi hii Tanzania hatuko Somalia au Afghanistan inaendeshwa kisheria, ni haki yake kikatiba kama ameona hakutendewa haki ana haki ya kulipeleka suala lake mahakamani.Hivi sasa Waziri Mkuu ameahirisha safari yake kwenda nchi za Uarabuni kutafuta wawekezaji watapata picha gani watapoona wafanyabiashara wananyimwa nafasi ya kujitetea mahakamani hata pale wakiona wameonewa.nyerere alikuwa dictator,dunia ishabadilika sasa,inabidi mzoee ,mtoto wa kiume kulialia haipendezi
Mimi binafsi huenda sheria za Tanzania sizifahamu vizuri.
Naomba kuuliza ili kujulishwa kwa mnaojua sheria za "ZUIO LA MAHAKAMA"
>>>>>> Mfano nina mgogoro na jirani yangu kuhusu kiwanja, na ikatolewa "ZUIO LA MAHAKAMA"; nami nikaendelea kuendeleza eneo lile lenye zuio.
Je ni nini sheria au Mahakama watakachofanya wakati mimi naendelea kujenga, na taarifa wamepewa kuwa najenga pamoja na ZUIO walilotoa?????
Je itatolewa ZUIO la pili na ikiwa la kwanza halijatekelezwa<<<<<<<<<
Naomba msaada wenu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Usikimbilie kuhukumu. Subiri maamuzi ya mahakama kuu
Unaweza kujitetea kwa mengi...kwamba unachofanya ni sehemu ya siasa za mtandaoni za Tanzania
Unaweza kuiridhisha nafsi yako na kuufurahia uhuru na uficho wa utambulisho wako humu mtandaoni..
Nimefuatilia post zako nyingi sana
I tell you one thing; HISTORIA NA VIZAZI VYA HII NCHI VITAKULAANI
This is Exactly a Failed State is. Huwezi kuwa na Mpuuzi mmoja anaejiita Sethi anamshitaki kila mtu na Government machineries zinaufyata tuu. Yana Mwisho haya.
amejiuzuru kwasababu muda wake wa kustaafu umeshafika.
Umechanganyikiwa, unasema A failed state eti tu kwa sababu watu wanadai haki zao kwa misingi ya sheria, we ulitaka wadai haki zao kwa mapanga na mtutu wa bunduki! how pathetic! Mabere Marando ndio wakili wa Singa singa sasa, unasemaje!
haaaa! Hivi na wewe unaakili timamu?? Na shule emeenda kweli?? Au ndio darasa la pili lina kusumbua??Umechanganyikiwa, unasema A failed state eti tu kwa sababu watu wanadai haki zao kwa misingi ya sheria, we ulitaka wadai haki zao kwa mapanga na mtutu wa bunduki! how pathetic! Mabere Marando ndio wakili wa Singa singa sasa, unasemaje!