Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naisikia hata ile mahakama ya Marekani iliyoipa ushindi VIP nayo imekula Escrow.
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka shauri Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria juu ya Maazimio yaliyotolewa na Bunge juu ya sakata la ESCROW. Mtakumbuka kuwa IPTL na PAP walitoa taarifa ya kupinga maazimio hayo na kuyaita ni ya kipuuzi.
Inaonekana IPTL na PAP wametafskari vya kutosha na wameona kuwa kuna haja ya Mahakama Kuu kutoa ufafanuzi juu ya maazimio hayo hasa kutokana na kuonekana kuwa yanaingilia mihimili mingine ya dola na yanajichanganya.
Source: TBC1
Nonsense!Obama nae alipata mgao wa Escrow kupitia Stanbic Bank

View attachment 212053Pole sana umefika hapo ulipo kwa ajili ya ccm leo umeota vindevu kila sehemu ya mwili unatukana hovyo bila hata kukitambua.ccm ndiyo mdudu gani? Umesikia kuwa mwizi kajiuzulu? Sema kalelewa na wezi utaeleweka usipindishe.
Subiri tupigwe tena. Bongo ndio sehemu ya madili.Watanzania bado tupo nyuma kwenye Capitalism. Hasara tuliyoipata kwa kushtakiwa na DOWANS ni matokeo ya wanasiasa wanaojiona ni wataalamu kwa sababu tu walishaenda semina.
Tutajifunza tu, taratibu.
Hiyo jeuri iptl na pap wanaitoa wapi hasa.
Unaweza kujitetea kwa mengi...kwamba unachofanya ni sehemu ya siasa za mtandaoni za Tanzania
Unaweza kuiridhisha nafsi yako na kuufurahia uhuru na uficho wa utambulisho wako humu mtandaoni..
Nimefuatilia post zako nyingi sana
I tell you one thing; HISTORIA NA VIZAZI VYA HII NCHI VITAKULAANI