Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
 
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
IMG-20230302-WA0016.jpg
tumuulize Binti Kazumali
 
Alafu dogo kabeba mawakili hadi Fatma Karume ndani! Kimbembe na ule mkataba wa Uto wenye matobo ya wazi [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom