tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Ndio sio kweli sasa kama ingekua hivo wangekua wapo CAS sasaWakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo. “Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...www.jamiiforums.com