Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kesi haikupelekwa CAS? Sasa inakuwa wanakata rufaa kwenye TFF hiyo hiyo?Zile mbwembwe tu hakuna wa kwenda CAS kupeleka kesi ya kushindwa
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
Kuna kuvunjika mguu, nk.Hata wafanyeje Fei hashuki kiwango
Hawajakata rufaa ila wameomba review yaani kusikilizwa upya kwa kesiKesi haikupelekwa CAS? Sasa inakuwa wanakata rufaa kwenye TFF hiyo hiyo?
So kesi imeondolewa CAS?Hawajakata rufaa ila wameomba review yaani kusikilizwa upya kwa kesi
Alokwambia wameenda CAS nani?So kesi imeondolewa CAS?
Taarifa zilikuwepo vyombo vya habariAlokwambia wameenda CAS nani?
Ilipelekwa CAS?Kesi haikupelekwa CAS? Sasa inakuwa wanakata rufaa kwenye TFF hiyo hiyo?
Sio za kweliTaarifa zilikuwepo vyombo vya habari
Kwani hapo kuna wakili ama picha ya wakiliAlafu dogo kabeba mawakili hadi Fatma Karume ndani! Kimbembe na ule mkataba wa Uto wenye matobo ya wazi [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wakili wake alisema wanaenda CAS baada ya hukumu ya TFFIlipelekwa CAS?
Fatuma kazi yake ni kushindwa kesi tuAlafu dogo kabeba mawakili hadi Fatma Karume ndani! Kimbembe na ule mkataba wa Uto wenye matobo ya wazi [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Makanjanja waleWakili wake alisema wanaenda CAS baada ya hukumu ya TFF
Sio za kweli
OkeyWakili wake alisema wanaenda CAS baada ya hukumu ya TFF