Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo. “Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...