Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Yondani anaidai yanga
Lamine moro anaidai yanga
Carlinyo aliondoka anadai
Tambwe aliwapeleka CAS
ali sonso amefariki anaidai yanga
Baadhi ya wachezaji wa kigeni ndio kidogo wana uwezo wa kudai stahiki ila wenyeji wanadhulumiwa sana ukidai haki unageuziwa kibano.
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389

Kwa uelewa wako upo sahihi
 
kunywa soda upunguze makali ya maisha!YANGA inakutesa ukiwa wapi??hahaha
 
CAS haina utaratibu wa kufanya press, ila TFF upo, CAS ikihukumu kesi, majibu yanatumwa TFF na TFF ndio ina share kwa umma hayo majibu.

Swala la Morrison lilianzia TFF ambapo huko kila kitu kilikuwa bayana watu tuliweza kupima hoja regarding sheria za mahakama zinavyo sema

So point yangu haikuwa tu kuitaka TFF ifanye press conference, bali kuweka mchanganuo wa hukumu ilivyofanyika kupitia hata press release tu.
CAS haina utaratibu wa press unasema, kwa nini haina utaratibu wa press wakati kulingana na wewe kutokufanya press unakua unaficha vitu, Je ni sahihi tukisema majibu yote ya CAS yana ukakasi kwa kua hayana press conference?

Unasema CAS wanatuma majibu kwa TFF iyasome kwa umma, umewahi kuona mangapi wameitisha press conference kushare? Maana kesi nyingi tuu zimewahi hamuliwa za ex-players wa Simba na Yanga against them, je TFF iliitisha press conference kushare majibu ya CAS kwa Yanga against Morrison?
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Wamesema kila kitu kitawekwa wazi Jumatatu ya tarehe 6 March 2023.
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
HUna hoja. Umeweka hisia zako badala ya uhalisia
 
CAS haina utaratibu wa kufanya press, ila TFF upo, CAS ikihukumu kesi, majibu yanatumwa TFF na TFF ndio ina share kwa umma hayo majibu.

Swala la Morrison lilianzia TFF ambapo huko kila kitu kilikuwa bayana watu tuliweza kupima hoja regarding sheria za mahakama zinavyo sema

So point yangu haikuwa tu kuitaka TFF ifanye press conference, bali kuweka mchanganuo wa hukumu ilivyofanyika kupitia hata press release tu.
Kwenye kesi ya Msuva Simon Vs Wydad chama cha soka Morroco kilitumiwa majibu na CAS kikashare na public?
 
Sio wafanye navyotaka mimi, bali wafanye fair kiuwazi kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye mashtaka yaliyopita wakitoa fursa kwa watu kuhoji

Ukakasi unakuja kutokana na mwenendo wa shitaka lilivyo wailishwa na namna lilivyokuja kuamuliwa

Shtaka lilidai Feisal amevunja mkataba, maamuzi yanakuja kuwa Feisal ni mchezaji halali wa Yanga (two different things)

Pamoja na hivyo kumkuta mchezaji akiwa na hatia bado hajawajibishwa (maana yake hakuvunja sheria)

Hii controversial ndio iliyopaswa kuwekwa bayana kila mtu ajue ni sheria ya kifungu gani ambayo imeamua, waweke ufafanuzi kama ambavyo walifanya kwenye kesi ya Morrison
Umesikia Fatuma Karume? kama haumuamini na yeye basi kazi ipo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Fri😅😅😅
 
Attachments

  • 1677857038475.jpg
    1677857038475.jpg
    54.7 KB · Views: 4
Kupita YANGA ...unless unataka tu u- star wa simba na YANGA...
Lakini YANGA sio club ya future wa wachezaji wa ndani...
Hii ni darasa tosha kwa players mnaotaka future
 
CAS haina utaratibu wa press unasema, kwa nini haina utaratibu wa press wakati kulingana na wewe kutokufanya press unakua unaficha vitu, Je ni sahihi tukisema majibu yote ya CAS yana ukakasi kwa kua hayana press conference?

Unasema CAS wanatuma majibu kwa TFF iyasome kwa umma, umewahi kuona mangapi wameitisha press conference kushare? Maana kesi nyingi tuu zimewahi hamuliwa za ex-players wa Simba na Yanga against them, je TFF iliitisha press conference kushare majibu ya CAS kwa Yanga against Morrison?
CAS haina utaratibu wa Press lakini TFF inao that's different

CAS inapotoa taarifa ya hukumu inatumwa moja kwa moja kwenye shirikisho, shirikisho ndio wanao share hiyo habari public kwasababu yenyewe ina huo utaratibu.

Sijui kwanini umejifungia kwenye neno "pres conference?"

Hoja ya msingi ni kutaka kuonesha namna swala la ufafanuzi wa hukumu haikupaswa kuwekwa siri

TFF kupitia post zao ambazo wamekuwa wakitupa update kuhusu mwenendo wa kesi basi huko huko ndio walipaswa kutupa mrejesho wa sheria iliyotumika kuhukumu watu wajue.

Ex player gani? Onyango mwenyewe aliuandikia barua TFF na wote tulijua malalamiko yake. Wala haikuwa siri
 
Wamesema kila kitu kitawekwa wazi Jumatatu ya tarehe 6 March 2023.
Hiyo juma tatu, hawajasema kila kitu kitakuwa wazi

Wamesema watatoa ufafanuzi wa sheria iliyotumika katika hukumu, ufafanuzi huo utatumwa kwa pande mbili za wahusika (Yanga na Feisal) maana yake umma hauwezi kujua
 
Yondani anaidai yanga
Lamine moro anaidai yanga
Carlinyo aliondoka anadai
Tambwe aliwapeleka CAS
ali sonso amefariki anaidai yanga
Baadhi ya wachezaji wa kigeni ndio kidogo wana uwezo wa kudai stahiki ila wenyeji wanadhulumiwa sana ukidai haki unageuziwa kibano.
Ni ajabu taasisi kudaiwa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
CAS haina utaratibu wa Press lakini TFF inao that's different

CAS inapotoa taarifa ya hukumu inatumwa moja kwa moja kwenye shirikisho, shirikisho ndio wanao share hiyo habari public kwasababu yenyewe ina huo utaratibu.

Sijui kwanini umejifungia kwenye neno "pres conference?"

Hoja ya msingi ni kutaka kuonesha namna swala la ufafanuzi wa hukumu haikupaswa kuwekwa siri

TFF kupitia post zao ambazo wamekuwa wakitupa update kuhusu mwenendo wa kesi basi huko huko ndio walipaswa kutupa mrejesho wa sheria iliyotumika kuhukumu watu wajue.

Ex player gani? Onyango mwenyewe aliuandikia barua TFF na wote tulijua malalamiko yake. Wala haikuwa siri
wewe jamaa nmekunyooshea mikonono unabishana siku mbili on the row , unaelewshwa na watu zaidi ya 10 hauelewi kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini? nia uonekane umeshinda?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
wapi hapo yanga wamesema wanamhitaji fei
 
wewe jamaa nmekunyooshea mikonono unabishana siku mbili on the row , unaelewshwa na watu zaidi ya 10 hauelewi kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini? nia uonekane umeshinda?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unaona ajabu mtu kubishana na watu 10 ila unaona kawaida watu 10 kubishana na mtu mmoja?

Mimi sibishani, huu ni mdahalo. Mwenye hoja convincing ndiye atayeweza kunishawishi

Sasa walio wengi hata aim ya hoja hawaijui wamekurupukia tu kuwa TFF imesema itatoa majibu j3
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Huna hoja. Hivyo kukaa kimya, pia ni busara.
 
Back
Top Bottom