Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Umetokea milembe nini
 
Kwa hiyo sheria za FIFA ndio zimeandikwa kwamba mchezaji anaweza akavunja mkataba wake na klabu mida wowote?
Ndio tena pasipo na sababu ila ajiandae kwa faini au adhabu ya kufungiwa
 
Wengi tunashindwa kuelewa kuwa soko la michezo duniani linatawaliwa kitumwa. Na soko kubwa zaidi la michezo ni hili la mpira wa miguu aka soka.

Kila mchezaji ni mtumwa mambo leo. Anaetaka kujitowa kumilikiwa kwa mmiliki wake mmoja kwenda kwa mwengine ni lazima faida ipatikane na kanuni na sheria zilizowekwa, za utumwa mambo leo, lazima zifatwe na faida kubwa ioatikane kwa mmiliki wake wa sasa hivi, hawezi kuondoka kiholela, hata kesi ifike FIFA, ni hayo hayo tu.

Asiyeelewa hilo atalalamika sana.

Anaedhani utumwa umeondoka duniani huyo ni poyoyo, utumwa upo na sasa upo "regulated" kwa kanuni na sheria.
Wenye akili wamekulewa
 
Ndio tena pasipo na sababu ila ajiandae kwa faini au adhabu ya kufungiwa

Kwa sheria za kimkataba za FIFA mchezaji hawezi tu vunja mkataba pasipo mutual agreement...

The clear starting point in FIFA’s RSTP is that the contract must be respected. The contract can only be terminated if there is just cause, or if an established player has sporting just cause. The principle that the contract must be respected is supported by the commentary edition of the FIFA's transfer regulations, which states:

“Respect of contract:

The Regulations aim to ensure that in the event of a club and a player choosing to enter into a contractual relationship, this contract will be honoured by both parties. A contract between a player and a club may therefore only be terminated on expiry of the contract or by mutual agreement. Unilateral termination of a contract without just cause, especially during the so-called protected period, is to be vehemently discouraged.
 
Kasome tena
 
Unilateral termination of the contract
If a player terminates his contract with just cause, due to the club’s unilateral decision to truncate or not pay salaries, the player will be in liberty to sign for another club and his former club will be liable to pay him emolument. In such a situation, the club is liable to pay emolument and will also be at the risk of sporting sanctions.

However, if the player terminates his contract without just cause or the club terminates the contract with just cause, the player is liable to pay emolument to the club, and with risk sporting sanctions. There must be a protected period of two or three years (also depending upon the age of the player) for sporting sanctions to be imposed. In reality, the player can be suspended from the football matches whereas the club may be restricted from one or more transfer windows.
 
Ndo maana dogo anaogopa kwenda CAS maana kule hawarembi
 
Fei and his Zanzibari lawyers have shown the world that Zanzibar education requires massive overhaul. His lawyers’ arguments left so many questions and maybe the reason why Fatuma had her permit to work in the mainland revoked.
How did she become a lawyer leaves so many unanswered questions.
Giant of a fool.
 
Back
Top Bottom