Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Faisal(Toto) acha Kuwa kama mtoto,jinasue kwenye hayo makucha ya🦁.Umepewa fursa ya kumalizana na mwanchi🤔Aende sasa akakae na timu yake avunje mkataba. Siyo aendelee kujificha kama digidigi. Aachane pia na hao wapuuzi wake wanaompotezea muda na fedha zake.
Mambo ya kusema mimi ni wakili wa Drogba! Sijui nilisimamia mkataba wa Emmanuel Eboue, Simon Msuva, nk. Unaihusu nini klabu ya Yanga na mchezaji wake?