Faisal(Toto) acha Kuwa kama mtoto,jinasue kwenye hayo makucha ya🦁.Umepewa fursa ya kumalizana na mwanchi🤔Aende sasa akakae na timu yake avunje mkataba. Siyo aendelee kujificha kama digidigi. Aachane pia na hao wapuuzi wake wanaompotezea muda na fedha zake.
Mambo ya kusema mimi ni wakili wa Drogba! Sijui nilisimamia mkataba wa Emmanuel Eboue, Simon Msuva, nk. Unaihusu nini klabu ya Yanga na mchezaji wake?
Vile vile anafungua njia kwa kihana kupigania haki yake.Mdogo wetu Feisal anaua kipaji yake
Sawa goja tuone mwisho wakeVile vile anafungua njia kwa kihana kupigania haki yake.
Kabisa. Katika dunia ya mpira kila siku aliyokuwa nje ya uwanja ni siku moja ya upungufu wa uwezo wake kimpira.Mdogo wetu Feisal anaua kipaji yake
Mpira nidhamu, hayo anayofanya ni utovu wa nidhamuKabisa. Katika dunia ya mpira kila siku aliyokuwa nje ya uwanja ni siku moja ya upungufu wa uwezo wake kimpira.
Kufanya mazoezi na kushiriki mechi ni vitu viwili tofauti. Asijidanganye kuwa anafanya mazoezi.
Mwisho wa siku atakapokuja poteza relevance hata hao washauri wake watamkimbia.Mpira nidhamu, hayo anayofanya ni utovu wa nidhamu
Angeoenesha kipaji zaidi na angepewa anachotaka… wanampotosha kumeishakuwa na wachezaji wazuri kuliko yeye walipo anza utovu wa nidhamu wakapotea mazima.. nidhamu muhimu sana mchezoniMwisho wa siku atakapokuja poteza relevance hata hao washauri wake watamkimbia.
Ni haki yake kupigania maslahi yake lakini angeyapigania huku akionyesha na kukuza kipaji chake.
Wa elewa ni wachache na ndio wako nyuma yakeAende sasa akakae na timu yake avunje mkataba. Siyo aendelee kujificha kama digidigi. Aachane pia na hao wapuuzi wake wanaompotezea muda na fedha zake.
Mambo ya kusema mimi ni wakili wa Drogba! Sijui nilisimamia mkataba wa Emmanuel Eboue, Simon Msuva, nk. Unaihusu nini klabu ya Yanga na mchezaji wake?
Anajua alichokifanya ni ujinga na aibu kwani alikuwa na fursa nzuri ya kukaa na viongozi wake wakaja dili mkataba wake ila njia ya kinafiki aliyopitishwa na washauli wake ndio imemfikisha hapo alilpo, anaona haibu kwa kuwa kapita njia ya usaliti...Nataka kuelewa, nini kinamfanya Fei asiende Yanga mwenyewe kuvunja mkataba?
Anajua alichokifanya ni ujinga na aibu kwani alikuwa na fursa nzuri ya kukaa na viongozi wake wakaja dili mkataba wake ila njia ya kinafiki aliyopitishwa na washauli wake ndio imemfikisha hapo alilpo, anaona haibu kwa kuwa kapita njia ya usaliti...