Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Jamaa anaonekana mtaalam wa fake fake!! Ame forge hata kile card ya mtoto.mwandiko wake alijisahau kwa pressure akakurupukayani hapo hata cha kuzaliwa nacho kitakuwa fake sizani kama kina jina la Daud Albert Bashite