Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

Gwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Gwajima kaambiwa kazaa nje ya ndoa sawa tumekubali na mtoto tumemwona....atawajibishwa kwa kanuni za Manisa lake

Sasa cheti tunataka cheti tukione kama tulivomwona mtoto wa Gwajima.
 
Hao ndio BAVICHA na Kamisa lao bwana hawaambii ktu ss mtu kama hyu anakuswalishaje jamani kama Elimu ya dini hauna sibora ukakaa tu nyumbani
 
Usiwe mwehu na wewe, Gwajima si mtumishi wa Mungu bali ni tapeli tu anayesingizia kazi ya Mungu huku nyuma anafanya unyama. Gwajima inabidi awe jela, ana maovu mengi sana ayatendayo. Alimbaka Flora Mbasha na huyu dada wa jana, na wengine wengi tu watakuja kulalamika. Aliwadanganya watoto wa kaka yake mwaka jana kuwa atamfufua baba yao (kaka yake), mpaka leo holaaaaa, zile dawa za kufufua misukule yake zimekwisha nguvu mpaka arudi Nigeria kuongeza nguvu za giza.
Kama nguvu za giza ndizo zimemfichua Bashite. Safi sana Mzee Gwajima. Endelea..........
 
Zote ni hoja.
Makonda lete cheti cha form 4
Gwajima lete majibu ya DNA Test
 
Wana jamvi wenzangu
Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya mtumish wa mungu ambae anatakiwa kuongoza waumin waweze kufwata njia sahihi na kuepuka ya ulimwengun lakin kabla ya kuweka jibu la kutaka kumchukia gwajima nimekaa nimefikilia haya ndo nikapata jibu...

-kwanin yule mama ahojiwe kwa crip tu zirushwe mitandaon bila kutafutwa gwajima nae akahojiwa kwa crip pia zikarushwa mitandaon.?

-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?

-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?

-niwajuavyo clouds wana tabia ya kuhoji pand mbili na kuweka hizo video/sauti katika redio yao au tv yao zikinzane..?

-rais yang kipenz kupenda kipind cha ushilawadu si uchiz huu mana mzee wang kijijin kule hawez penda ujinga kama ule..?

-sherehe ya mwaka mmoja wa makonda kuoneshwa tbc pekee na sio tena clouds kwamba alichokwa na hao ndgu au..?

-nijuavyo wachungaj weng wana watto wa nje lakin wako makin kuwalea ili wasiharibu taswira zao iwe kwa gwajima ambae anajua muda wote yupo katika vita..?

Conclusion; mwana sisiem mwenzang unatumia nguvu nying sana katika kitu kidogo mno ambacho mpaka sasa ungekuwa ushamaliza na unaendelea na kazi au kurud mtaan kuungana na sis wenzio hapa lumumba street.
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
chet
 
Ukituhumiwa kufoji Cheti ni Uhalifu. Ukituhumiwa kumiliki Mali zinazozidi kipato chako halali ni uhalifu. Ukituhumiwa magari ya watuhumiwa wa kuuza/kula unga kuwepo nyumba ni kwako ni Uhalifu, kukosa Uadilifu na uaminifu. Nitasema kweli daima Fit in a Na uongo kwangu Mwiko.
 
-yule mama kuenda kuhojiwa uhuru fm na sio clouds fm ambako ndo chanzo cha hizo crip..?

-kwanin makonda ana kashfa ya kuenda na wafuas wake clouds usiku na kuzichukua hizo crip..?

Crip ndio nini?
Mwambie basi Gwajima akapime DNA halafu awashitaki shilawadu kwa kumchafua
 
Waliopata zero miaka ile walikuwa hawapewi vyeti. Labda siku hizi DIVISION FIVE wanapewa.

Ndio maana anazua vituko kila uchwao.....badala kutoa cheti anajua ndio mwisho wake!! Anatapa tapa haswaaaa
Sasa yeye aonyeshe kipi? Cha Paul Christian?
 
Hiyo DNA ikapimiwe wapi?
Gwajima ameshawaibu kuwa yeye mwanaume anazalisha!!! Makonda anaweza kuzalisha??? Anaemtuma ana watoto kila mtaaa hadi ma HG wake alizaa nao!!! Sas Shida kwake asie na uwezo wa kuzalisha mwanamke.....anatoa pofuuu
 
Back
Top Bottom