Gwajima kaambiwa kazaa nje ya ndoa sawa tumekubali na mtoto tumemwona....atawajibishwa kwa kanuni za Manisa lakeGwajima akimshambulia Makonda mnashangilia, mashambulizi yakijibiwa mnalalamika ?!
Sasa cheti tunataka cheti tukione kama tulivomwona mtoto wa Gwajima.