Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Hpao konde village kumbe wqtu wana mix by yas, basi hata usalama wa wasafi village ni mdogo sana
 
Baraka da prince au? Kwahiyo issue ya kuhusu mgogoro wa kimkataba ni geresha tu
Nafikiri ndiyo yeye, uwaga siwatiliagi maanani hawa watu kama nimekosea jina naomba mnisamehe ila Kiba alikuwa anataka kula kale katoto na katoto kakashitukia huo mchezo akawa anamkwepa Kiba kuhofia kutolewa malinda.
 
Ukute kuna mtu kampanga ili kumchafua Konde
 
Afu inaonyesha Ibraah sio mara moja kutobolewa na konde, Ni vile tu this time dogo kaamua enough is enough! Baada ya kufeli kwenye "Negotiation" au wivu wa kumuona konde anatoboa na mwengine best ake!
Inawezekana yote uyasemayo yakawa kweli, hawa vijana wa bongo fleva si wa kuwatilia maanani. Wengi wao wanafilana wenyewe kwa wenyewe, wakirudi mitaani wananukia shombo ya mimavi huku wakitongoza mademu ili tu waonekana na wao wanaume kumbe 'mchicha mwiba,' hawa machoko ndiyo waliojaa kwenye soko la bongo fleva. Wanaume wengi sana wa Dar wanaliwa, mtu akiwa nyumbani anaitwa baba, akitoka nyumbani tu na kwenda kwa jirani anapakatwa na kuvalishwa shanga kiunoni na wenzake.
 
Naona wamekuja kwenye mambo yako kabisa, hapa unaweza ukayaeleza hata siku nne mfululizo
 
Angesubiri siku inayofuata mtandao ukae sawa ili afanye kwa muamala, au alikua ana haraka sana hiyo siku? Lol
😂😂😂😂😂
Labda wanatumia mix by yas app, na konde ndo ana wi-fi chumbani kwake, ili pesa ifike lazima dogo awe karibu ili wi fi iconnect.
 
Hicho kidole,anamwambia,asisemee!
 
Pesa halali ni taabu sana kuzipata, pia huu ndio uhalisia, watu wenye hela kufika mbinguni ni kazi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…