Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Wewe uliliona wapi?Nikifikiria lile dudu la harmo lizame kwa ibra nachoka
Yaan bottom anuogope Top? Inategemea na B yupi? Mbna hao matop ndo wanakua wanyonge na waoga, kuogopa Aibu Lol.Hakuna kitu kinatoa utu kama mwanaume mwenzako kukuingilia, Kila ukikutana nae huwezi kua na confidence kabisa... Anakua kama Mungu wako wa pili...
Nilikua nashangaa kisa Cha p Diddy kuwalewesha na kuwaingilia wasanii(allegedly??) Wakati alikua na uwezo wa kula warembo karibia wote tunaowatolea macho huko insta, lakini it's all about power, ndo njia aliyoiona ni rahisi ku wacontrol maisha Yao yote...
Hizi kashfa sio za Bure!!! Kama kuna kashfa mpaka za wachezaji kutaka kuliwa na mabosi zao naamini Hawa wasanii wadogo under big labels hawapo salama Sana!!!
Sijui tunaelekea wapi hata!!! It's sad and pathetic, mtu hawezi tu kusema from nowhere mwanaume alitaka kumla, kwanza ni fedheha hata kama haikutokea!!!
Harmonize amuita ibra chumbani achukue kodi 😀😀😀Yapii hayoo? Ukorofiii huu. Lol.
😂😂😂😂😂
Em acheni kuwakuza hao ma basha, yaan kutaka kusema wana power ipi? Sasa mtu sio GAY, anawezaje kuwa kimapenzi na jinsia yake? Alright ni BISEXUAL. yuko ndani ya tasnia.Kuna Mtu nilimuambia Kuwa inawezekana Kabisa Pdidy wasn't a gay ila anafanya Ivo ili kupanda Influence kwa hao wasanii hata Majina yao yawe makubwa vipi ila kama aliwahi kuwatafuna basi anakuwa na Power nao no matter how big they grow.
Ni kama Leo ukimuingilia Mwanamke Back ujue basi kuna Space Ina reserve kwake kama sio malaya basi ujue kuwa Kuna Superiority fulani utafeel tu
Uliliona wapi?Nikifikiria lile dudu la harmo lizame kwa ibra nachoka
Khaaah, 😂😂😂😂😂Nikifikiria lile dudu la harmo lizame kwa ibra nachoka
Wee em sema kweli?! Kwani ibra hana lipa namba?Harmonize amuita ibra chumbani achukue kodi 😀😀😀
Na ndio uhalisia, hii kiki ruSpinning za Tarehe 19.
Huku bwana mrema, huku konde, kule sijui atakuja nani..
Anayo ila mtandao labda ulikua na shidaWee em sema kweli?! Kwani ibra hana lipa namba?
😂😂😂😂😂
Angesubiri siku inayofuata mtandao ukae sawa ili afanye kwa muamala, au alikua ana haraka sana hiyo siku? LolAnayo ila mtandao labda ulikua na shida
Allegedly Harmonize kipindi anafukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na yule mwanamke Mzungu baada ya wawili hao kuachana kulikutwa tubes za kibao za KY, P Funk ndiye aliyemfundisha Ray C mambo ya 👌🏾👁️ na probably na Kajala alizoeshwa na ndiyo kinachomdatisha Harmo. Hiyo ni pattern inayoonyesha kunauwezekano mkubwa alimuomba Ibra 👁️. Just trying to join the dots.✍️ #Ibraah “Sito kusifu roho mbaya na wala sito kutangazia mabaya yako na ndio mana hata waandishi wa habari na wakwepa mana sitamani kuona unaandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii wewe ni
Kiyoo ila chenye ukungu lakini pia ninacho amini msaada wako katika maisha yangu ni mkubwa umeni saidia sana kakakonde pia nikiendelea kujibizana na wewe mtu ambae hata mamaangu alie nizaa unataka nimuuwe kikatili wakati nguvu zakumpambania ninazo kaka konde nabado unakaa kuni tangazia baya sema nini kakaangu sante mana hata nikiongea mimi masikini kauri yangu haifanani na yakwako tajiri na najuwa lengo lako ni nikose kabisa msada ili nije tena kukuomba pango uniite chumbani kwako kama ulivyo Kaaniita mala ya kwanza na jaribio lako likashindikana mimi sio chakula bro MIMI NI MSELA naendelea kuku tunzia mahovu yako mengine sabubau naamini utabaki kuwa kaka @harmonize_tzView attachment 3330794
Kila siku nasema kiwanda cha mziki sahv kimejaa wsng na wanawaungq mkono wsngDuh! Sasa mbona kila msanii ni bunga diamond punga konde nae anatatua marinda alikiba nae nasikia anapenda kufukua mtaro balaa.
Au ili uwe super star lazima ufukue na kufukuliwa mtaro
kwenye episode ya ZIMA TAAAA!!!!Uliliona wapi?
Nicole berry aliwai kumshutumu harmo kua ni mfirajiAllegedly Harmonize kipindi anafukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na yule mwanamke Mzungu baada ya wawili hao kuachana kulikutwa tubes za kibao za KY, P Funk ndiye aliyemfundisha Ray C mambo ya 👌🏾👁️ na probably na Kajala alizoeshwa na ndiyo kinachomdatisha Harmo. Hiyo ni pattern inayoonyesha kunauwezekano mkubwa alimuomba Ibra 👁️. Just trying to join the dots.