Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Maisha yana fumbo kubwa sanaaaaa wakati Ibra anaamini Harmo anal anamkubali sanaaaaa kumbe mwenzake anamtamani ,anammezea mate, usiku halali anawaza kalio lake, anataka amkate ushuzi , anataka ampumulie kisogo , aisee nafsi ya mtu ni fumbo
 
Kumbe huyu dogo nae ni mmakonde eeenh. Eti kama ulivyo kaniita chumbani......

All in all huu ni ushenzi wa kijinga sana. Kama kweli Harmonize alijaribu kutaka kumuingilia huyu dogo basi ni mshenzi tu nae na a anastahili kunyanyapaliwa na Ulimwengu mzima
Alitaka kumshindilia guu la ng'ombe kwenye honi!?
 
Hutaki Kumtangazia Mtu Mabaya Alafu Unakuja Kwenye Sosho Midia Platifomu Unaandika Na Mabaya Unayaelezea,,,Sasa Hapo Si Amekwisha Mtangaza,,,Maigizo Ya Kipuuzi Tuachane Na Mambo Ya Msingi Tufatilie Zaidi Maigizo Ya Kipuuzi Ya Wasanii Wetu
 
C awekwe tu ndani km p didy...sisiem si wanaupinga ushoga?
 
Wacha wafir@nee tu ndio michezo yao hao wasanii wa bongo si wanajifanya Wamerekani wanaume wanavaa hereni,wanavaa milegezo wacha wafir@nee tu hadi mafi yao yakaukie huko ndani ya kyunduu zao.
 
Ntoto anatia huruma sana, yani ntu unaemwona kama righthand man wako kumbe anataka akupumulie kisogoni
 
Kwa mantiki hii inawezekana dogo harmo wapenzi wake kama poshy, kajala na wengine ameruka ukuta
 
Hakuna kitu kinatoa utu kama mwanaume mwenzako kukuingilia, Kila ukikutana nae huwezi kua na confidence kabisa... Anakua kama Mungu wako wa pili...

Nilikua nashangaa kisa Cha p Diddy kuwalewesha na kuwaingilia wasanii(allegedly??) Wakati alikua na uwezo wa kula warembo karibia wote tunaowatolea macho huko insta, lakini it's all about power, ndo njia aliyoiona ni rahisi ku wacontrol maisha Yao yote...


Hizi kashfa sio za Bure!!! Kama kuna kashfa mpaka za wachezaji kutaka kuliwa na mabosi zao naamini Hawa wasanii wadogo under big labels hawapo salama Sana!!!

Sijui tunaelekea wapi hata!!! It's sad and pathetic, mtu hawezi tu kusema from nowhere mwanaume alitaka kumla, kwanza ni fedheha hata kama haikutokea!!!
Kuna Mtu nilimuambia Kuwa inawezekana Kabisa Pdidy wasn't a gay ila anafanya Ivo ili kupanda Influence kwa hao wasanii hata Majina yao yawe makubwa vipi ila kama aliwahi kuwatafuna basi anakuwa na Power nao no matter how big they grow.

Ni kama Leo ukimuingilia Mwanamke Back ujue basi kuna Space Ina reserve kwake kama sio malaya basi ujue kuwa Kuna Superiority fulani utafeel tu
 
Kwa mantiki hii inawezekana dogo harmo wapenzi wake kama poshy, kajala na wengine ameruka ukuta
Harmo anal ni mtu wa hovyo sana ila anabahati na public sympathy. anaweza kukorofisha jambo halafu akaingia studio kujitetea na mashairi yake, pumbavu yule
 
Kumbe huyu dogo nae ni mmakonde eeenh. Eti kama ulivyo kaniita chumbani......

All in all huu ni ushenzi wa kijinga sana. Kama kweli Harmonize alijaribu kutaka kumuingilia huyu dogo basi ni mshenzi tu nae na a anastahili kunyanyapaliwa na Ulimwengu mzima
Vanessa mdee alisema kwenye music industry kuna ushenzi na ushirikina mwingi sana, sasa unaanzia wapi kutamani mwanaume mwenzako kama siyo ushirikina
 
Back
Top Bottom