Mbona wanakazwa sana....mondi angekaza kwa DD aliamini asingetoboa,lakini kukaza inawezekana kabisa mkuuSahihi kabisa.. Ukilegea unalegezwa
Mbona wanakazwa sana....mondi angekaza kwa DD aliamini asingetoboa,lakini kukaza inawezekana kabisa mkuuSahihi kabisa.. Ukilegea unalegezwa
Nimeamini mkuu, upo sahihi 💯Hawa watu wanapitia mengi wasiyoyasema
Hizi story nasikia hata wasafi zipo. Kuna watoto wa kike kuingiliwa kinyume na maumbile, watoto wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile. So siwezi kushangaa kama na huko konde gang hiyo habari ikiwepo pia.Hakuna kitu kinatoa utu kama mwanaume mwenzako kukuingilia, Kila ukikutana nae huwezi kua na confidence kabisa... Anakua kama Mungu wako wa pili...
Nilikua nashangaa kisa Cha p Diddy kuwalewesha na kuwaingilia wasanii(allegedly??) Wakati alikua na uwezo wa kula warembo karibia wote tunaowatolea macho huko insta, lakini it's all about power, ndo njia aliyoiona ni rahisi ku wacontrol maisha Yao yote...
Hizi kashfa sio za Bure!!! Kama kuna kashfa mpaka za wachezaji kutaka kuliwa na mabosi zao naamini Hawa wasanii wadogo under big labels hawapo salama Sana!!!
Sijui tunaelekea wapi hata!!! It's sad and pathetic, mtu hawezi tu kusema from nowhere mwanaume alitaka kumla, kwanza ni fedheha hata kama haikutokea!!!
Ukweli katiririka hamna mkato wala nukta hata mshangaolengo lako ni nikose kabisa msada ili nije tena kukuomba pango uniite chumbani kwako kama ulivyo Kaaniita mala ya kwanza na jaribio lako likashindikana mimi sio chakula bro MIMI NI MSELA naendelea kuku tunzia mahovu yako mengine sabubau naamini utabaki kuwa kaka
Acha ujuha. Wewe unadhani kila mtu anafikiri ujinga wa wanasiasa? Hawa wanaotuchangisha kila siku lakini hawatuambii zimetumikaje.Spinning za Tarehe 19.
Huku bwana mrema, huku konde, kule sijui atakuja nani..
Hakuna kiki ya kufukuliwa mtaroNAHISI NI KIKITUU – HAKUNA UKWELI KUHUSU IBRA KUONDOKA KONDE GANG
Baada ya @harmonize_tz kumtaka Ibraah_tz alipie deni lake kabla ya kuondoka lebo, na hata kumchangia 100K – hatimaye Ibraah kamjibu kwa ustaarabu mkubwa:
✍️ “ASANTE BOSS KONDE... NINAIMANI NITAFANIKIWA, MAANA SIKUZALIWA KUSHINDWA.”
Sasa ukiangalia kwa jicho la pili...
Mbona kama kuna ka-mchezo hapa?
Hivi kweli Ibraah anataka kuondoka, au ni kiki ya mpango maalum? Inawezekana harmonize au ibra anataka ku boost mziki wake
Mashabiki wa Konde Gang mpo? Mnadhani ni drama tu au Ibraah kweli anaondoka?
Tuachie maoni hapa cView attachment 3330816hini – YUSKO TV pia usisahau kutufollow
#KondeGang
#Ibraah
#Harmonize
#NahisiNiKikituu
#DramaZaBongo
#BongoFlava
#Burudani2025
#GumzoLaMtaa
#YUSKOTV