Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

Kwa Mtu wa pombe na bangi hiyo mbona kawaida tu.Hofu yangu ni wale aliowaita wakatoa ushirikiano wasije nao kumwaga mchele.
 
Wasanii wajifunze kuandika ,kuna makosa mengine unaona huyu ni KILAZA na si typo.

Konde mbona wazazi wake wote wapo? Iweje akwambie wewe uue mzazi ili ufanikiwe wakati yeye amefanikiwa bila kuwaua? Unataka kusema kwamba Konde na yeye alichezea mti nyama wa Dayamondi ndiyo maana na yeye anataka kulipiza?
 
Wasani bongo kufyatuana marinda kawaida tu

Ova
 
Uko sahihi,watu hawajui haki ni kitu gani,wao wamekaririshwa tu neno haki bila kujua misingi ya haki ikoje.
 
Na kalivyo kafupi kalitaka kumpididy mtu
 
Duh! Sasa mbona kila msanii ni bunga diamond punga konde nae anatatua marinda alikiba nae nasikia anapenda kufukua mtaro balaa.
Au ili uwe super star lazima ufukue na kufukuliwa mtaro
Ni kama dini au imani fulani mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…