Akiwa katika siku za hatari, ukichepuka au ukichukua mwanamke Bar huwa unatumia nini??Hivi kuna raia bado mnavaaa ndomu ili muichape?
Kama mwanamke simuelewi sigusi, huwa siokoti mwanamke yeyote, nachofanya mara nyingi nampima UKIMWI tu mengine yanatibika.Akiwa katika siku za hatari, ukichepuka au ukichukua mwanamke Bar huwa unatumia nini??
Acha michezo ya hatari kijana, Tumia ABC.Kama mwanamke simuelewi sigusi, huwa siokoti mwanamke yeyote, nachofanya mara nyingi nampima UKIMWI tu mengine yanatibika.
Nikihitaji kumpima mtu vifaa navipata kwa wakati.Acha michezo ya hatari kijana, Tumia ABC.
Unatembea na vifaa vya kupima UKIMWI?