Kwa hiyo Waziri Paul Makonda ni tapeli.Salah ni mdogo wake na ghalib na rafiki yake mkubwa na mshirika wa kibiashara na sandaland Muha wa kigoma . Makonda aliwahi kumtapeli ghalib nyumba enzi za Magufuli.
Kwa hiyo Waziri Paul Makonda ni tapeli.Salah ni mdogo wake na ghalib na rafiki yake mkubwa na mshirika wa kibiashara na sandaland Muha wa kigoma . Makonda aliwahi kumtapeli ghalib nyumba enzi za Magufuli.
Bashite haelewi kama GSM walikuwa maboss wa VPHii vita bashite hawezi kushinda kwa ninavowajua Hawa GSM kwa sasa nguvu Yao ni kubwa na Wana ushawishi kwa mama kizimkazi kumzidi Albert bashite.
Hua unatembea kwa miguu kwenda Kariakoo kiongozi?Hata jambo dogo unampa Ai Akufikirie kweli?
Anakurupuka huyu atapotezwa muda siyo mrefu. Mwana FA ni familia ya GSM na mama kizimkazi mbaya zaidi wote wapo chini ya baba lao mzee wa msoga. Na ukumbuke wa msoga na Daudi Albert hazziivi. Hana wa kumtetea mwache avimbe utaona matokeoBashite haelewi kama GSM walikuwa maboss wa VP
Chezea 10B weweHii vita bashite hawezi kushinda kwa ninavowajua Hawa GSM kwa sasa nguvu Yao ni kubwa na Wana ushawishi kwa mama kizimkazi kumzidi Albert bashite.
Hawa wakina Salah ni mafia kwel,kama unakumbuka enz za kikwete wakat wakiwa na HOME SHOPPING CENTER jinsi walivyokua wana terrorize kariakoo nzima,lawiti sana vijana,walikua na kesi nying zakupoteza watu,alipoingia Magu wakabadil biashara na haikupita muda huyu Salah akamwagiwa tindikal pale kwenye mall yao opp na police obey...Anakurupuka huyu atapotezwa muda siyo mrefu. Mwana FA ni familia ya GSM na mama kizimkazi mbaya zaidi wote wapo chini ya baba lao mzee wa msoga. Na ukumbuke wa msoga na Daudi Albert hazziivi. Hana wa kumtetea mwache avimbe utaona matokeo
Tindikali alimwagiwwa kaka Yao mkubwa wa nasikia yupo Dubai au nadhani bongo hapa wamemficha Hana maisha Tena kisa haya haya mambo ya dhuluma na kuonea watu.Hawa wakina Salah ni mafia kwel,kama unakumbuka enz za kikwete wakat wakiwa na HOME SHOPPING CENTER jinsi walivyokua wana terrorize kariakoo nzima,lawiti sana vijana,walikua na kesi nying zakupoteza watu,alipoingia Magu wakabadil biashara na haikupita muda huyu Salah akamwagiwa tindikal pale kwenye mall yao opp na police obey...
Kwani wanagombea niniHii vita bashite hawezi kushinda kwa ninavowajua Hawa GSM kwa sasa nguvu Yao ni kubwa na Wana ushawishi kwa mama kizimkazi kumzidi Albert bashite.
Hii ya kutapeli nyumba niliisikiaSalah ni mdogo wake na ghalib na rafiki yake mkubwa na mshirika wa kibiashara na sandaland Muha wa kigoma . Makonda aliwahi kumtapeli ghalib nyumba enzi za Magufuli.
jamaa anaibukie kwingine, asidunguliwe, ati kanisa limuombee bi mkubwa sio kumkemea. Kwa tujuao hii keteTatizo ni maslahi mkuu. Mkuu wa wizara kazidiwa kete