King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
- Thread starter
-
- #21
Wewe ndio mpuuzi na mjinga sana sheria zipo na zinatakiwa kufuatwa , kuwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili ? Kuna adhana inayozidi dakika tano ? Acha ujinga , andika vitu logic hivi kila mtu akipiga kelele kubwa sana masaa 24 nchi hii itakuwa na amani ? Tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara . Watu tuna wagonjwa weweunashangilia ujinga .Huyu ni mpuuzi mmoja mjinga anayejaribu kupinga ujio wa kanisa!! Mbona misikiti inapigia watu kelele za alfajiri na kusumbua watu wakiwa wamepumzika na watu wanavumilia!!
Msipende kuleta vita vya kidini kwa sababu za kijinga!!
Ukiwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili kilichoongolewa kwenye mada husika kinaeleweka na sheria zipo zinazoongoza makanisa na misikiti badala ya kujibu hoja unakimbilia porojo za biashara ya majini ukiambiwa utoe ushahidi huna mradi umeropoka mtandaoni .Mkuuu nyuzi zako nyingi sana unautukana Ukristo hasa Walokole. Jifunze kuheshimu Imani za Wenzako. Mbona hao unaowaaandama wako kimia dhidi yako.
Anyway Vip bado unaendelea na Biashara yako ya UTAJIRI WA MAJINI NA NGUVU ZA GIZA Mkuu nina mdau nataka akuPM!
Tofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni, kanisa linaendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu . Mungu hawezi pokea maombi ya wazinzi na wapayukaji ambao badala ya kuokoa na kusaidia watu wao wanawaangamiza kwa kukosa maarifa , jibu hoja , jikite kwenye mada uganga kienyeji ndio unazuia kupiga muziki masaa 24 au Ni sheria za nchi , tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara.We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Tofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni, kanisa linaendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu . Mungu hawezi pokea maombi ya wazinzi na wapayukaji ambao badala ya kuokoa na kusaidia watu wao wanawaangamiza kwa kukosa maarifa , jibu hoja , jikite kwenye mada uganga kienyeji ndio unazuia kupiga muziki masaa 24 au Ni sheria za nchi , tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabaraWe ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Wanakula kwako au wanakutegemea kwa kipi ? Huo ujasilia dini kuibia watu kwa kutumia jina la Yesu ndio mnajiona wajanja sana ?Hawa watu waliotumbuliwa na magu na hawana kaz ya kufanya mjn..watafitie kazi maana ya Uganga imefeli hahaha
Soma Comment zako humu halafu ulete mrejeshoUkiwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili kilichoongolewa kwenye mada husika kinaeleweka na sheria zipo zinazoongoza makanisa na misikiti badala ya kujibu hoja unakimbilia porojo za biashara ya majini ukiambiwa utoe ushahidi huna mradi umeropoka mtandaoni .
Wao wenyewe na wewe mmeshindwa kuokoka ni wajasilia dini wajasilia kanisa sasa mtamuokoa nani , mngekuwa walokole kweli msingekuwa mnafanya mambo ya kipuuzi namna hii , mnafikiri hii nchi haina Sheria ?fuateni sheria .We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Ni genge la wahuni wanakwenda na shifti .Hizo Kelele za usiku na mchana ina maana hata wenye kanisa huwa hawalali?
Ni genge la wahuni wanakwenda na shifti .
Wapi kuna andiko langu natoa utajiri wa nguvu za giza mmekimbia mada husika mnaanzisha umbea jikiteni kwenye mada .Tena huyu anaweza kuwa tapeli tu, si mganga. Hapa JF anajifanya anatoa utajiri wa nguvu za giza kumbe boya tu. Kila siku mara Rushwa zimezidi Tabora, Mara makanisa ya walokole ni Wizi. Blaa blaaa tu ilimradi kukashifu dini na Imani za Wenzake how come
Hakuna anayekataa makanisa fuateni sheria na taratibu , halafu tunahitaji sana makanisa ya ukweli sio makanisa uchwara , sio wajasilia kanisa au wajasilia dini .Mji wa tabora umeteswa na waganga kwa mda mrefu..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi ili mkose cha kufanya..mmeibia watu mda mrefu mno..
Kwanza hawapo sawa kichwani ,huwezi kuanza kusali saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni ukaanza tena saa moja mpaka saa kumi na mbili za asubuhi , hii inaingia akilini kwelie ? Tena kwa sauti y sana na muziki mkubwa sana hawa wanatamiwa wapimwe akili zao sio bure .Kwakweli hapo lazima kuwe na shift
Utakuwa shehe wewe acha udini mkuu! Kila mtu ana haki ya kuabudu na kumsifu anayemtukuzaKatika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili , kupiga muziki kwa sauti kubwa sana , mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora . Licha ya malalamiko ya muda mrefu sana ya majirani na wananchi wa mtaa wa Kariakoo eti viongozi wa halmashaurina wilaya ndio wanabaini kanisa hilo kutokuwa na kibali ? Wala usajili ? Kanisa limesajiliwa Kahama linakuja kufanya shughuli zake mkoani Tabora bill kibali cha mamlaka za mkoa na wilaya ? Miaka miwili ? Kama sio rushwa Ni nini ? Tarehe 22 mwezi huu kanisa hilo limepewa notisi ya kuondoa kanisa na kuacha shughuli zake katika mtaa wa Kariakoo, Mchungaji aliyetamba kuwaweka mfukoni viongozi wa Tabora ameenda kumhonga kigogo mmoja wa ofisi ya mkuu wa wilaya Tabora mjini , sasa hivi kigogo huyo anahangaika kweli kutafuta mbinu ya kulifungulia kanisa hilo huku akijua halina kibali , halina usajili , kibali cha ujenzi , kibali cha muda cha kuendesha ibada katika mkoa wa Tabora . Tunaomba mamlaka zake za juu zifuatilie uvunjifu huu wa sheria huku wananchi wa mtaa husika tukiteseka kwa kelele na sauti kubwa sana za muziki na mahubiri ya watu wasio na vibali , usajili na miongozo mingine inayotakiwa , Serikali ya Tabora inalea genge la wahuni ? Hata rushwa zenyewe hebu muogopeni mwenyezi Mungu . Mnaruhusu watu wanajenga mpaka barabarani ?
Yafuate utaratibu mpaka vichaa wanaanzisha makanisa sasa , mtu na akili zako timamu unaweza ukazhinda kutwa kucha unapiga muziki mkubwa kama sio kichaa ni nini ? Sali kistaarabu Mungu atakusikia.Waganga hawana soko tena tabora..waanza kulalamikia makanisa..hahaha..tafuta mashamba mkalime tu matunguli hayana kaz tena..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi na zaidi
Na sisi tuna haki ya kuishi kwa amani na utulivu , kila dini wakisali namna hiyo patakalika ? Sheria zipo muziki na mahubiri yasizidi desibeli 40 hawatagombana na mtu , vinginenevyo huu ujinga hatuukubali kabisa .Utakuwa shehe wewe acha udini mkuu! Kila mtu ana haki ya kuabudu na kumsifu anayemtukuza