Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

Huyu ni mpuuzi mmoja mjinga anayejaribu kupinga ujio wa kanisa!! Mbona misikiti inapigia watu kelele za alfajiri na kusumbua watu wakiwa wamepumzika na watu wanavumilia!!

Msipende kuleta vita vya kidini kwa sababu za kijinga!!
Wewe ndio mpuuzi na mjinga sana sheria zipo na zinatakiwa kufuatwa , kuwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili ? Kuna adhana inayozidi dakika tano ? Acha ujinga , andika vitu logic hivi kila mtu akipiga kelele kubwa sana masaa 24 nchi hii itakuwa na amani ? Tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara . Watu tuna wagonjwa weweunashangilia ujinga .
 
Mkuuu nyuzi zako nyingi sana unautukana Ukristo hasa Walokole. Jifunze kuheshimu Imani za Wenzako. Mbona hao unaowaaandama wako kimia dhidi yako.
Anyway Vip bado unaendelea na Biashara yako ya UTAJIRI WA MAJINI NA NGUVU ZA GIZA Mkuu nina mdau nataka akuPM!
Ukiwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili kilichoongolewa kwenye mada husika kinaeleweka na sheria zipo zinazoongoza makanisa na misikiti badala ya kujibu hoja unakimbilia porojo za biashara ya majini ukiambiwa utoe ushahidi huna mradi umeropoka mtandaoni .
 
We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Tofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni, kanisa linaendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu . Mungu hawezi pokea maombi ya wazinzi na wapayukaji ambao badala ya kuokoa na kusaidia watu wao wanawaangamiza kwa kukosa maarifa , jibu hoja , jikite kwenye mada uganga kienyeji ndio unazuia kupiga muziki masaa 24 au Ni sheria za nchi , tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara.
 
We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Tofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni, kanisa linaendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu . Mungu hawezi pokea maombi ya wazinzi na wapayukaji ambao badala ya kuokoa na kusaidia watu wao wanawaangamiza kwa kukosa maarifa , jibu hoja , jikite kwenye mada uganga kienyeji ndio unazuia kupiga muziki masaa 24 au Ni sheria za nchi , tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara
Hawa watu waliotumbuliwa na magu na hawana kaz ya kufanya mjn..watafitie kazi maana ya Uganga imefeli hahaha
Wanakula kwako au wanakutegemea kwa kipi ? Huo ujasilia dini kuibia watu kwa kutumia jina la Yesu ndio mnajiona wajanja sana ?
 
Ukiwa mlokole sio lazima uwe mpumbavu wa akili kilichoongolewa kwenye mada husika kinaeleweka na sheria zipo zinazoongoza makanisa na misikiti badala ya kujibu hoja unakimbilia porojo za biashara ya majini ukiambiwa utoe ushahidi huna mradi umeropoka mtandaoni .
Soma Comment zako humu halafu ulete mrejesho
 
We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha
Wao wenyewe na wewe mmeshindwa kuokoka ni wajasilia dini wajasilia kanisa sasa mtamuokoa nani , mngekuwa walokole kweli msingekuwa mnafanya mambo ya kipuuzi namna hii , mnafikiri hii nchi haina Sheria ?fuateni sheria .
 
We ni mganga wa kienyeji kama matunguli yako hayafanyi kazi, jisalimishe uokoke tu Hahaha

Tena huyu anaweza kuwa tapeli tu, si mganga. Hapa JF anajifanya anatoa utajiri wa nguvu za giza kumbe boya tu. Kila siku mara Rushwa zimezidi Tabora, Mara makanisa ya walokole ni Wizi. Blaa blaaa tu ilimradi kukashifu dini na Imani za Wenzake how come
 
Mtaje huyo kigogo wa wilaya kwa majina yake, aliyehongwa ili tumchukulie hatua
 
Mji wa tabora umeteswa na waganga kwa mda mrefu..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi ili mkose cha kufanya..mmeibia watu mda mrefu mno..
 
Tena huyu anaweza kuwa tapeli tu, si mganga. Hapa JF anajifanya anatoa utajiri wa nguvu za giza kumbe boya tu. Kila siku mara Rushwa zimezidi Tabora, Mara makanisa ya walokole ni Wizi. Blaa blaaa tu ilimradi kukashifu dini na Imani za Wenzake how come
Wapi kuna andiko langu natoa utajiri wa nguvu za giza mmekimbia mada husika mnaanzisha umbea jikiteni kwenye mada .
 
Mji wa tabora umeteswa na waganga kwa mda mrefu..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi ili mkose cha kufanya..mmeibia watu mda mrefu mno..
Hakuna anayekataa makanisa fuateni sheria na taratibu , halafu tunahitaji sana makanisa ya ukweli sio makanisa uchwara , sio wajasilia kanisa au wajasilia dini .
 
Waganga hawana soko tena tabora..waanza kulalamikia makanisa..hahaha..tafuta mashamba mkalime tu matunguli hayana kaz tena..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi na zaidi
 
Kwakweli hapo lazima kuwe na shift
Kwanza hawapo sawa kichwani ,huwezi kuanza kusali saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni ukaanza tena saa moja mpaka saa kumi na mbili za asubuhi , hii inaingia akilini kwelie ? Tena kwa sauti y sana na muziki mkubwa sana hawa wanatamiwa wapimwe akili zao sio bure .
 
Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili , kupiga muziki kwa sauti kubwa sana , mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora . Licha ya malalamiko ya muda mrefu sana ya majirani na wananchi wa mtaa wa Kariakoo eti viongozi wa halmashaurina wilaya ndio wanabaini kanisa hilo kutokuwa na kibali ? Wala usajili ? Kanisa limesajiliwa Kahama linakuja kufanya shughuli zake mkoani Tabora bill kibali cha mamlaka za mkoa na wilaya ? Miaka miwili ? Kama sio rushwa Ni nini ? Tarehe 22 mwezi huu kanisa hilo limepewa notisi ya kuondoa kanisa na kuacha shughuli zake katika mtaa wa Kariakoo, Mchungaji aliyetamba kuwaweka mfukoni viongozi wa Tabora ameenda kumhonga kigogo mmoja wa ofisi ya mkuu wa wilaya Tabora mjini , sasa hivi kigogo huyo anahangaika kweli kutafuta mbinu ya kulifungulia kanisa hilo huku akijua halina kibali , halina usajili , kibali cha ujenzi , kibali cha muda cha kuendesha ibada katika mkoa wa Tabora . Tunaomba mamlaka zake za juu zifuatilie uvunjifu huu wa sheria huku wananchi wa mtaa husika tukiteseka kwa kelele na sauti kubwa sana za muziki na mahubiri ya watu wasio na vibali , usajili na miongozo mingine inayotakiwa , Serikali ya Tabora inalea genge la wahuni ? Hata rushwa zenyewe hebu muogopeni mwenyezi Mungu . Mnaruhusu watu wanajenga mpaka barabarani ?
Utakuwa shehe wewe acha udini mkuu! Kila mtu ana haki ya kuabudu na kumsifu anayemtukuza
 
Waganga hawana soko tena tabora..waanza kulalamikia makanisa..hahaha..tafuta mashamba mkalime tu matunguli hayana kaz tena..tena makanisa yafunguliwe mengi zaidi na zaidi
Yafuate utaratibu mpaka vichaa wanaanzisha makanisa sasa , mtu na akili zako timamu unaweza ukazhinda kutwa kucha unapiga muziki mkubwa kama sio kichaa ni nini ? Sali kistaarabu Mungu atakusikia.
 
Utakuwa shehe wewe acha udini mkuu! Kila mtu ana haki ya kuabudu na kumsifu anayemtukuza
Na sisi tuna haki ya kuishi kwa amani na utulivu , kila dini wakisali namna hiyo patakalika ? Sheria zipo muziki na mahubiri yasizidi desibeli 40 hawatagombana na mtu , vinginenevyo huu ujinga hatuukubali kabisa .
 
Back
Top Bottom