Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
Ameomba wabunge waafiki mapendekezo ya Kamati
Na sasa anatoa mapendekezo kutokana na michango
Anaanza na Maelezo ya Dk Msabaha,aliyelalalmika kuhusu suala la maneno ya kiburi ambayo waliyatumia,neno lilimkwaza Dk. Msabaha aliyesema tabia ya kibri ni tabia ya mwenyezi Mungu.anahoji je wangetumia maneno gani kuelezea mambo waliyokuwa wakiyafanya viongozi wa wizara.kama walileta urasimu katika kutoa taaarifa
Kuhusu Bwana Kubenea
Waliamua kumpongeza Kubenea sababu ya Hatua yake ya kiungwana aliyoichukua,kutokana na kuwa mmoja ya watu walihojiwa na kamati kwa hiari yake.na baada ya wiki moja baadey akamwagiwa tindikali hivyo waliona ni vyema kumpa pole..
wamemshauri dr. Msabaha asome tena taarifa ya kamti teule.