Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Sasa alikuwa na uchaguzi gani mwingine..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandugu wa JF
najua ni vigumu kutambua nani ataweka mada gani hapa JF..............wachache tuliokuwepo tangu bcs, TEF then JF tumeweza kuiweka hii forum yetu ktk hali ilipo hivi sasa...........hivyo basi tusikubali kuona watu wachache wakishusha hadhi ya JF................hapa nafikiria ni jinsi ganiya kupambana na MAFISADI wa JF............nilipenda the way Mwafrika wa Kike alivyopambana na waliokuwa wanajitahidi kuipondea JF...................tujifunze toka kwa Mwafrika wa kike tupambane na MAFISADI wa JF
Huyo Mwafrika wa kike ni fisadi "mwandamizi" hapa JF. Usipo kubaliana nae, ukimchimba mwanakijiji "kihalali" kabisa ili kupata hili au lile toka kwa bwana huyo ktk harakati za kutaka kujua zaidi au ukikosoa jambo ambalo mtu kwa mawazo yako unaona linafaa kukosolewa......basi wewe ni adui yake na utapachikwa jina la "JF na Mwanakijiji Hater."
Sidhani kama kuna mtu ambaye ni member hapa anaitakia mabaya JF, na kama yupo basi mie simjui!!!.
MKJJ ni mtu poa sana, na nina amini kwamba mara nyingi kama si zote mie binafsi huwa ana nielewa nikimpa-vipush vya hapa na pale. Lakini msemaji wake(mwafrika wa kike) ni "roporopo" apendae kwenda personal na kuchora mistari kwenye mchanga bila sababu........mie binafsi nimeitwa JF hater, why would I hate JF??. Its for me to know,and you guyz to find out.....nasubiri jibu!!. Mwkjj ni sniper in the open au unaweza kusema ni stationary target, nothing personal.......kuna story ya "best student" ktk darasa, je unajua maprofesa na wanafunzi wenzake watamfanya nini?? kaa ukijua kwamba alwayz xpectations huwa zinakuwa juu!!!. Nasubiri kushambuliwa na "Binti Majongo", make my weekend!!.
Weekend njema, jioni hii tunatoa kibano (celtics hao) na jumapili tunasubiri Buffalo Bills, tuna version ya "Stockton to Malone" ktk football ambayo ni "Tom brady to Randy Moss".. hail mary,touchdown, Randy Moss.....watu wamesha-win superbowl in the middle of the season!!.
tujifunze toka kwa Mwafrika wa kike tupambane na MAFISADI wa JF
Mkuu Ogah,
Heshima mbele mkuu, siku zote ninakuweka kwenye wachangiaji wa hali ya juu katika hii forum, this is not you maana if it was ungesema hayo majina ya mafisadi wa JF, maana siku zote wewe Spad huiita Spade, sasa vipi kwenye hili la wafisadi wa JF? Hivi wapo? Na ni kina nani hao?
Wazee tukateni ishu, tuache hizi nywepesi nywepesi!
nchi hii ni usani mtupupanaanza kuboa..!
Huyo Mwafrika wa kike ni fisadi "mwandamizi" hapa JF. Usipo kubaliana nae, ukimchimba mwanakijiji "kihalali" kabisa ili kupata hili au lile toka kwa bwana huyo ktk harakati za kutaka kujua zaidi au ukikosoa jambo ambalo mtu kwa mawazo yako unaona linafaa kukosolewa......basi wewe ni adui yake na utapachikwa jina la "JF na Mwanakijiji Hater."
Sidhani kama kuna mtu ambaye ni member hapa anaitakia mabaya JF, na kama yupo basi mie simjui!!!.
MKJJ ni mtu poa sana, na nina amini kwamba mara nyingi kama si zote mie binafsi huwa ana nielewa nikimpa-vipush vya hapa na pale. Lakini msemaji wake(mwafrika wa kike) ni "roporopo" apendae kwenda personal na kuchora mistari kwenye mchanga bila sababu........mie binafsi nimeitwa JF hater, why would I hate JF??.
Its for me to know,and you guyz to find out.....nasubiri jibu!!. Mwkjj ni sniper in the open au unaweza kusema ni stationary target, nothing personal.......kuna story ya "best student" ktk darasa, je unajua maprofesa na wanafunzi wenzake watamfanya nini?? kaa ukijua kwamba alwayz xpectations huwa zinakuwa juu!!!. Nasubiri kushambuliwa na "Binti Majongo", make my weekend!!.
Weekend njema, jioni hii tunatoa kibano (celtics hao) na jumapili tunasubiri Buffalo Bills, tuna version ya "Stockton to Malone" ktk football ambayo ni "Tom brady to Randy Moss".. hail mary,touchdown, Randy Moss.....watu wamesha-win superbowl in the middle of the season!!.
Utaacha lini kulialia kama mtoto? kama kitu umeambiwa unajenga hoja kujibu au unatafuta the way kujieleza. Maelezo yako hapa JF sometimes in the past ulisema kuwa ndio maana hata hujajiunga na vyama vya wabongo maana mambo yao yanaboa.
Kila mara unajisifia hapa kuwa una argument za kisomi za Havard na wengine hawana, mara JF imekuwa so and so! nilikuambia kuwa utashindwa na kweli umethibitisha kuwa umeshidwa maana JF bado ipo na inatesa na wewe kuanzia uage kuwa una the best things to do bado unarudi hapa every other minute.
Ungejiuliza hili swali wakati ule kabla wewe na makada wenzako mulivyoanzisha kampeni ya kupondea JF. Wengine wakafikia hatua hadi kutangaza forum sijui tanzanet, na mwingine juzi ameanza kuweka clips za youngafricans lakini wote mmeshindwa. Hii kitu inapitisha mambo kibao sana hapa toka serikalini kwenda kwenye papers nyumbani moja kwa moja au underground, hata MUNGU naye atailinda hii forum na membaz wake
wanaoipenda.
wakati mwingine msomi wetu wa muhimbili na "havard" hata unatia huruma, yaani Dean wa Havard akisoma hii argument yako itabidi tu wafute "jina lako" maana unaaibisha chuo.
Unajiandaa kuwa defensive kuwa unategemea kushambuliwa ... yup hapa hakopeshwi mtu. Na sasa hivi kwa vile umethibitisha kuwa kumbe huna hayo mambo muhimu ya kufanya na utakuwa hapa JF 24 hrs basi tegemea kushambuliwa mpaka siku ukiacha kupondea hii forum na membaz wake kwa nia yako mbaya hiyo.
Mwanzoni nilikuwa na-fall kwa hizi sport stories zako ila kwa sasa hakuna break hapa. I guarantee you kuwa utachoka hapa na JF itaendelea kuwepo regardless of what happens in new england!
As usual same b.s!!! Harvard, unajifanya msomi, unapondea JF na bla bla bla, same ol' same yaani kwa kifupi unaboa............si quit ng'ooo!!!!.
As usual same b.s!!! Harvard, unajifanya msomi, unapondea JF na bla bla bla, same ol' same yaani kwa kifupi unaboa............si quit ng'ooo!!!!.
Nilijua tu kuwa kuaga kwako ni daganya toto...
karibu na endelea kuwa memba wa JF bila kuipondea
Sasa kelele za nini? shut the f@&k up and enjoy the ride, unadhani mie nitajipendekeza kwako?? nasema na nitasema chochote nitakacho, kwanza upinzani bongo sucks!!!!. Sipo hapa ku-rubber stamp hizo copy and paste zako, alaaaaaaa hao mashoga zako wanavyokusifia kwa udomo kaya basi likichwa lako "kipara" linavimba na kujiona wewe ndio kifimbo cheza wa JF. Acha ufitinishi, acha kupakazia watu, kama mtu akubaliani na wewe basi usimfanya adui. Huyo mwanakijiji unayesema unamtetea, mara nyingine huwa anakushangaa unapo volunteer u-human shield kwa ajili yake........shut up unadili na watu wa premier si viligi vya mchangani ulivyozoea!!!!!! Chukua topaz aaaight!