Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

mainstreamers i see, maana ukiwa hapo shurti ukubaliane nao !

ni vizuri kujiengua maana hautokuwa huru !

binfasi nimekuelewa YNIM !
 
mainstreamers i see, maana ukiwa hapo shurti ukubaliane nao !

ni vizuri kujiengua maana hautokuwa huru !

binfasi nimekuelewa YNIM !

Proud of you brother.....nashukuru sana pia kwa misimamo yako madhubuti isiyoyumbishwa na hawa "vibushuti wa kisiasa." Watoto wadogo lao ni doli, wataendelea vivyo hivyo kubweka kwa mbali kama jibwa liso meno, huku watu wanakoboa na kusaga, ilhali mambo yanakwenda yakiongezeka.Wewe bibie sera hizo za kuziba midomo ya watu usokubaliana nao ni kutokuitendea haki kambi yako!!!!.
 
Huyo demu kazidi, mie na mind business zangu lakini yeye anajifanya kupangia watu jinsi gani ya kuongea hapa!!!!!. Mie sijali nini memba yeyote hapa anafikiria juu yangu, i really dont give a damn about that!!!. Nipo huru kusema lolote bila kuvunja rules za forum hii, ukini-attack lazima ujue nita-fight back!!! so bring it on!. Ukiniona chizi thats fine too, vyovyote watu hapa wanavyotaka kufikiria juu yangu, wao waendelee tu.........sio lazima niwe miongoni mwa "mainstreamers" wa JF, bali ni proud member and i will alwayz be me!!.

Nani kakulazimisha cha kusema hapa?

Ulianza kampeni yako na makada wenzako ya kupondea JF na membaz wake na mnashangaa watu wakipeta zaidi ndio vikorosho vimewakaa.

Ukiamua kukaa na kuendea kuwa ndio vyema zaidi kwako maaana utakuwa umeanza flip flopin ya mara unaondoka na mara unarudi.

Mmeshachemsha na JF is here to stay.... ukiwa na hasira zaidi kula nyembe but elewa kuwa nipo ku-stay na nitawapa vidonge vyenu everytime mnalilia maziwa na makopo hapa jamvini!
 
ANALYSIS: As the Richmond scandal goes on

Adam Lusekelo
Dar es Salaam
THIS DAY

REALLY the people of Tanzania are beyond outrage. We have been fed with so much bullcrap that we have stopped reacting. We must be masochists really people who enjoy to be given pain.

I didn't know that the Richmond con-men have been in the game for quite awhile. Back in 1995 they were given a contract to build a Dar-Mwanza pipeline, they goofed sensationally.

It seems some elements within the government were very impressed by this failure on the part of Richmond. Those elements in government decided to reward Richmond with another contract. This time it was a 100KW plant. The deal was to cost 172.9bn/-.

Most of Tanzania was being plunged in darkness. This did not bother some elements. They have their private generators anyway. So they awarded the power deal to Richmond. Again!

Richmond did not disappoint anyone. They failed hugely to deliver. Again! The company should go into publishing. Write a book entitled 'How to goof in Tanzania and literary get away with murder.' That definitely will be a best seller.

You wonder what next? Anything! Some elements in government might give Richmond a contract to teach lions of Ngorongoro how to fly helicopters. It could be worth a couple of billions of shillings.

Don't laugh! We already have experts from Thailand who are in the Usangu Valley in Mbeya Region, teaching natives how to make rain. The present rains might be the work of the Thai rain-makers.

The most irksome thing is seeing the media slavishly parroting any trash being yelled from different hill tops by the biggies. We are eagerly waiting for the parliamentary select committee to check-out the scandal.

One would sincerely hope that there would be some punishment after we really know what happened. But then this is a lavish pipe dream. Punishment in Bongo is for the weak and poor! You might hear the culprits have been rewarded with heavy promotions.

mbwene2@yahoo.com
 
Government to buy Richmond plant?

-Minister subjected to parliamentary grilling about the possibility

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A SERIOUS proposal is now in the wind that the government could very well end up ultimately buying the 100-megawatt, gas-to-electricity power plant from Richmond/Dowans after the expiry of the hugely controversial two-year lease contract entered into mid-last year.

Apart from raising serious queries about the manner in which the 172.9bn/- contract was awarded to Richmond Development Company, the state-run Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has also highlighted the possibility of the government itself purchasing the plant in the near future.

The US-registered Richmond company, whose contract with the government and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) was last December taken over by Dowans Holdings S.A of the United Arab Emirates, has installed and operational gas-powered turbines stationed at Ubungo in Dar es Salaam.

’’There are proposals now that the (Richmond/Dowans) power plants be sold to the government after the two-year lease period,’’ the PPRA stated in its August report on the Richmond power deal.

Speaking in parliament this week, the Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi, said it could be more cost-effective for the government to buy its own power generators, compared to leasing the plant from Richmond as is the case currently.

According to Karamagi who was responding to queries from MPs in the House, it would be cheaper for the government to have its own power plants during ’’crisis situations.’’

Although the minister made no mention of the government’s intention or otherwise to buy the plant from Richmond after the expiry of the lease agreement, various sources within government circles have strongly hinted at the possibility of the turbines being eventually handed over to TANESCO.

This is despite the government being so far unsuccessful in its attempts to buy the $123m, also 100MW Independent Power Tanzania Limited (IPTL) thermal power generating plant at Salasala on the outskirts of Dar es Salaam from its Malaysian owners.

Amongst MPs whose comments in the House led to Karamagi’s somewhat guarded response, was Mohamed Juma Mnyaa of Mkanyageni Constituency, representing the opposition Civil United Front (CUF).

Mnyaa, the current shadow minister for energy and minerals, demanded an explanation as to why the government did not purchase its own power turbines as a possibly cheaper option than leasing the plants from Richmond.

The opposition legislator raised the query hardly a day before being named by House Speaker Samuel Sitta in the new parliamentary probe committee on the Richmond deal

He asserted that the government could have spent just $36m to buy its own 100MW capacity turbines, instead of entering into the expensive $175m contract with Richmond.

The five-member Bunge probe team has been given until December 15 this year to conclude its work under a set of six terms of reference issued by the Speaker to serve as a guideline.

According to committee chairman Dr Harrison Mwakyembe, the work has already started and the first order of business would be to examine all documentation related to the lease agreement, before summoning relevant people for questioning.
 
Hivi Lusekelo siku hizi yupo "THIS DAY" ,maanake ndo kwamba keshaiacha "DAILY NEWS" au?
 
Jamani Kamati tuele imetoa mwanya wananchi tupeleke ushahidi kuhusu Richmond. Hapa JF tulikuwa tunapiga kelele sana, je tutapeleka ushahidi? Upi? Nani atapeleka? Kama hakuna mimi nipo tayari kujitolea kwenda mkinipa ushahidi wote wa kweli. Manake nasikia kule unaapishwa kama mahakamani tofauti na kamati ya Kikwete ya madini

Asha
 
Asha hapo sasa ndio unakuwa mzalendo wa kweli.. Uzalendo sii kuandika tuu inahitaji sometimes kujitolea kama hivyo.. Raia wema wa Tanzania wenye kujua ukweli kuhusu Richmond nawasihi waweke mambo hadharani ili ukweli upatikane... najua kamati imepewa muda mfupi kwa hiyo michango yetu itatoa changamoto kubwa sana.. ila tuwe makini.. isije ikawa huyo tutakaempa hizo nondo akaenda kuwa kinyume na sisi..
 
Tutatoa ushahidi gani wakati nyie mkisaini mikataba hiyo mnasaini mkiwa katika siri kubwa sana mkitupatia mkataba wa Rich-M-on D tusome tukagundua mapungufu tutatoa ushahidi. Lugha hii nakumbuka enzi za Ukweli na Utupu (Uwazi) ambapo kuna tuhuma fulani zilizungumzwa na kiongozi yule mkuu alitamka kama kuna mwenye tuhuma za rushwa atoe ushahidi tamko hilo likawa ni kauli ya kuwanyamazisha wananchi, sas tamko kama hili toka kwa viongozi wetu limekuwa ni dili au mbinu ya kuwanyamazisha wananchi. Kama wananchi walishatoa malalamiko yao kuhusu huduma duni ya Rich-M-on-D basi huo ni ushahidi namba moja.
 
Jamani Kamati tuele imetoa mwanya wananchi tupeleke ushahidi kuhusu Richmond. Hapa JF tulikuwa tunapiga kelele sana, je tutapeleka ushahidi? Upi? Nani atapeleka? Kama hakuna mimi nipo tayari kujitolea kwenda mkinipa ushahidi wote wa kweli. Manake nasikia kule unaapishwa kama mahakamani tofauti na kamati ya Kikwete ya madini

Asha

WHERE TO SEND IT PLEASE, E MAIL, FAX? TELEPHONE, MAILING ADDRESS?
 
same old stupid shit,ni mizaha tuu na kupotezeana muda,its obvious hawa jamaa wameshindwa kudeliver & tendering process haikufutwa na ushahidi upo maana board ya Tanesco walishasema walikuwa cut off kwenye deal baada ya kuikataa na price ni wazi ilikuwa inflated(sio siri price zipo all over kwa vitu kama hivyo na tuliingizwa mjini)...leo wanafiki hawa eti mwenye ushahidi atuletee,ndio price ya kuwa na watu incompetent kama JK & Karamagi kuongoza nchi yako na wabunge vilaza
 
Asha Abdalah nenda kwenye hiyo kamati waambie unaamini bei ya hiyo mitambo imekuwa overpriced kutokana na research uliyofanya ulipojifanya mnunuzi na ushahidi upo na nimeangalia site tofauti(just search google) price for complete operating gas turbine power plant ya 100MW na zaidi nyingi hazizidi 40mUSD lakin i jamaa took more almost 150m$...ni aibu tupu,na kama wanataka tutawapa site na simu za hao wauzaji waongee nao.
 
Mimi pia nadhani yule mwarabu wa Buguruni (Niem Gire) kama sijakosea anatakiwa pia aitwe na kuhojiwa maana yeye alikuwa mwakilishi wa Richmond Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nasikia huko buguruni anauza maji, juice na soda, LoL!!!!!!!!!!!!!!
 
you know what hiyo kazi niachie mimi,nachofanya sasa nafanya research nakusanya data zangu of the same capacity ya hiyo power plant ya Richmond kuanzia cost of purchase,transportation,erection & commissioning cost and TAX na nitafanya based on new & used plant then sababu niko mbali nitawatumia report lakini najua ni kupoteza muda na hakuna kitu watafanya ila nataka wajue tuu kilichofanyika ni wizi wa mchana...hii ni kazi ndogo sana ya kutumia simu na internet tuu!
 
Richmond means Richard Lowasa Of Monduli Arusha.

Richard =Rich
Monduli = Mond

EEh
 
MI nadhani kama unataka ushahidi na uko kwenye kamati, basi fanya kazi ya kuanza kuangalia threads zinazohusu skendo hii. Utapata data kibao. Hata mimi nimedownload mpaka tuakwana na data za hao wahindi wa Richmond internet na wengine na address ya internet cafe zao n.k. Acha uvivu, hapa kuna evidence kibao, you just have to take off time and search on Jambo Forums.
Mi nadhani kama wanakamati wakiwa serious watapata mambo mengi ya kufuatilia.
 
Asha Abdalah nenda kwenye hiyo kamati waambie unaamini bei ya hiyo mitambo imekuwa overpriced kutokana na research uliyofanya ulipojifanya mnunuzi na ushahidi upo na nimeangalia site tofauti(just search google) price for complete operating gas turbine power plant ya 100MW na zaidi nyingi hazizidi 40mUSD lakin i jamaa took more almost 150m$...ni aibu tupu,na kama wanataka tutawapa site na simu za hao wauzaji waongee nao.

Koba

Asante sana. Ukikamilisha nitumie kwenye email pia. Wallah nitakwenda kwenye kamati liwalo na liwe

Asha
 
Haya maswala ya ushahidi hata sielewi wanachokitaka hasa. Ushahidi kuwa Richmond walipewa tender kinyemela au deal la Richmond halikuwa halali na kwa manufaa ya nchi yetu ama ushahidi kuwa baadhi ya viongozi wetu walishirki ktk kuhakikisha Richmond inapewa mkataba nje ya mapendekezo ya wataalam. Kitu gani hasa wanachotaka hawa jamaa maanake Bongo unaweza ulizwa ushahidi ukisema Lowassa ana mke. Mkandara hapa nitaupata wapi huo ushahidi wa ndoa yake!
 
Dua,

kazi nzuri, ni vizuri kungalia nature ya mtu and/or integrity yake kutokna na mchango wake hapa JF..........ndio watu waamue kunyoa au kusuka

Asha,
Soma ile ripoti aliyotuwekea Invisible.................kuna mengi mule ndani ya ripoti............
 
Back
Top Bottom