Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

TANZANIA INABIDI IFUATE MFANO WA NCHI NDOGO KAMA LESOTHO

UK firm accused of Lesotho bribes
By Martin Plaut
BBC News

A British company has been accused of bribing two senior Lesotho officials linked to a hydroelectric engineering project to supply South Africa.
Two senior officials, Reatile Mochebelele and Letlafuoa Molapo, are accused of receiving payments.

One of the payments included $147,000 (£74,908; 111,412 euros) paid by UK engineering firm Mott MacDonald.

This is the first time a British company has been accused of bribing officials connected to the scheme.

Previously a number of international companies have been convicted of bribing officials linked to the project.

A forensic audit carried out by the auditors PricewaterhouseCoopers provides details of the money allegedly paid by Mott MacDonald to two of the Lesotho government's representatives on the scheme.

Billion dollar contracts

Mott MacDonald is accused of paying the money as part of a consortium led by a German company, Lahmeyer.

Lahmeyer has already been found guilty of corruption and barred from undertaking any projects for the World Bank for the next seven years, unless it co-operates fully with the Bank in disclosing its misconduct.

Lahmeyer has now agreed to help the investigation of the allegations involving Mott MacDonald.

Mott MacDonald have not commented on the allegations.

The Lesotho Highlands project is the world's largest water transfer scheme, involving the construction of five massive dams, hundreds of miles of tarmacked roads, bridges and electricity transfer stations.

Contracts worth billions of dollars were at stake.

The Lesotho chief executive of the scheme has already been found guilty, and sentenced to 15 years in jail.

But the tiny kingdom has been one of the few African states not only willing to prosecute its own officials, but also the Western companies who paid the bribes.

Story from BBC NEWS:
http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/africa/6169543.stm
 
Dua shukran sana, kwani hiyo inf. ilinipita

Hawa Mott MacDonald nimeshuhudia wakipewa contracts, kiajabu ajabu, nikaulizia ulizia, mpaka leo sijapata majibu, kumbe ndio zao.

Procurement procedure za WB kuna kipengele, kinachomtaka Consultant a-declare kuwa si mtoa wala mshiriki kwa aina yeyote ile ya rushwa, hivyo basi hawa jamaa kazi hawana.

nakubaliana na wewe Dua, tuige mifano ya Lesotho
 
Kama ni kweli Richmond wameleta injini za Boeing 707 basi wanachohitaji na jet fuel. Ndiyo maana wanalalamika eti ile petroli ya TANESCO haifai. Na ukizingatia kwamba Boeing 707 was produced in the 1960-70 basi hizi injini ni chakavu na baada ya miezi kadhaa msishangae kama zitakufa na jamaa wameshaondoka na kitita cha milioni 170
 
VIONGOZI WA DP,CUF, CHADEMA, NCCR, TLP, UDP, kwa nini msi - mobilize wanachama wenu wakaandamane kupinga ndoa ya serikali na RDC??
 
wambandwa, finally u getting my drift.. hicho ndicho nilichokiitia leo. Katika nchi ya kidemokrasia wananchi wanaweza kushirika kutaka viongozi wao kufanya jambo fulani kwa kulipigia kura au kwa kujenga hoja zinazosindikizwa na nguvu za wananchi (maandamano). Wakati wa kuendelea kuburuzwa huku tunabingirishwa chini umepita!

Viongozi wa Tanzania wawe wa upinzani, CCM, dini, au vyovyote vile waandae wananchi kuishinikiza serikali kuvunja ndoa hii haramu ya RDC, Tanesco na Serikali!! Huwa tunaandamana kwa vitu ambavyo havina msingi lakini wakati umefika kuonesha kuwa suala hili linatugusa na ni la lazima kushughulikiwa.

Kama Rais Bush alifikiri ana mandate ya kwenda Iraq baada ya kuchaguliwa kwa asilimi 51, je kiongozi aliyechaguliwa kwa zaidi ya asilimi 80 ana mandate nzito kiasi gani? Lazima Kikwete aanze kutenda kazi kama mtu mwenye mandate ya kweli!!
 
Wambandwa na Mwanakijiji,
Halafu tuseme wameshinikiza na wakaweza kuandamana ndio inakuwaje sasa? Halafu mnasahau kuwa rukhsa ya kuandamana inatolewa na polisi ambao ama kwa hakika lazima wawe wameruhusiwa na mabwana zao huko serikalini kutoa kibali cha maandamano, sasa ninyi hapa mnataka maandamano au riot? Tumeshashuhudia maandamano mangapi na hakuna yalichofanikiwa. Juzi CUF wameaandamana kutaka uchaguzi urudiwe Zanzibar ni vipi umesharudiwa au maandalizi yameshaanza?
Maandamano yanayoweza kuleta mabadiliko ni vurugu kwa maneno sahihi ni hicho tu serikali dhalimu zinaweza kusalimu amri kwayo lakini siyo maandamano.
kilichowazi kwanza nikuwa hili suala la Richmond linawahusu Watanzania wachache sana (kwa mtazamo wa Watanzania) Katika nchi ambayo asilimia 80 hawajawahi kutumia umeme leo hii kuwaambia eti umeme ni kero kubwa kiasi hicho ni kufanya utani. Kwao hawa maisha yanaendelea kama kawaida na akina JK wanajua kuwa asilimia 80 zao ziko salama. Kwanini wabunge wanyamazishwe kuongelea kero hii, ni kwa sababu wanajua kuwa wapiga kura wao siyo suala la muhimu hilo na wale wa mjini ambako ndio kero wanahitaji kupewa sh 5000 wakati wa uchaguzi na kusahau kila kitu.
 
Kawaida ya dhambi ilivyo hata ukiificha namna gani lazima ifike mahala ikuumbue. Sasa hii dhambi ya mkataba wa Richmond lazima itafika mahala itaimbua serikali. Lakini swali kubwa, serikali yetu inapovurunda does it matter to the voters? How can we make the voters mind the blunders committed by our government leaders?

Wasiwasi wangu ni kuwa viongozi wetu wapo too complacent kiasi kwamba hawagopi tena kufanya blunder maana wanajua hamna wa kuwajibisha! Kama serikali imefanikiwa kudhibiti hata wabunge ambao ni jukumu lao la msingi la kuhoji utendaji wa serikali, nani tena wa kunyoosha kidole kikaonekana? Hii inanikumbusha hadithi ya mfalme na najiuliza nani tena wa kumwaambia mfalme wetu wapo uchi ili avae nguo? Nina wasiwasi huyu mfalme wetu hatashtuka mpaka atakapokutana na watoto agundue wanamzomea na sio kwamba wanamuimbia ndipo atakapoamuka. Je, sisi wana forum hii tunaweza kusimama badala ya watoto tukamzomea mfalme wetu badala ya kumuimbia wakati amekaa uchi?
 
DrWHO,
Naona mwenzangu umeshakata tamaa. Sasa twende wapi?
 
Soma hii habari tena, kila siku a kila wakati yanaibuka mapya, umeme wapi?

Tanesco, Richmond watafutana uchawi

Na Mwandishi Wetu (Mwananchi)
MGOGORO kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Kampuni ya Richmond Development Corporation (RDC) umeingia hatua mpya na sasa Mkemia Mkuu wa Serikali anahusishwa.

Tanesco ndiyo imechukua hatua ya kuifikisha kampuni hiyo kwa Mkemia Mkuu wa serikali ili kutafuta usahihi wa gesi hiyo inayodaiwa kuwa na mchanga.

Taarifa ya Tanesco kwa vyombo vya habari ilisema jana kuwa imepeleka sampuli ya mabaki ya uchafu unaodaiwa kuwa ulikuwa kwenye gesi na kuupeleka kwa Mkemia Mkuu, ili baada ya uchunguzi, aweze kutoa taarifa sahihi iwapo uchafu huo ulitokana na gesi hiyo ama uchafu ulio ndani ya mabomba au mitambo ya kampuni hiyo.

"Tanesco imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa uchafu unaochujwa kwenye vichujio vya Songas na Aggreko una rangi nyeusi, wakati ule wa Richmond una rangi ya kahawia (brown)," inasema sehemu ya taarifa hiyo.

Pia imedai kwamba Richmond iliagiza vifaa vya kuchujia gesi kutoka Marekani kwa ajili ya mitambo yake ya megawati 20, lakini bado havijafika wanakofunga mtambo wao.

"Uagizaji huo unafuatia makubaliano kati ya Tanesco na kampuni hiyo kuwa lazima Richmond ifunge vifaa hivyo vya kuchuja gesi kabla ya kuzua madai ya gesi chafu. Hivi sasa Richmond inaendelea na utayarishaji wa sehemu vifaa hivyo vitakapofungwa," inasema sehemu ya taarifa hiyo.

Kampuni ya Richmond juzi iliibebesha Tanesco lawama kwamba ndiyo kikwazo cha wao kuanza kuzalisha umeme kama ilivyopanga kutokana na kupewa gesi chafu.

Makamu wa Rais wa Fedha na Utawala wa kampuni hiyo, Zahoor Gire, alinukuliwa akisema kwamba ingawa wamefanikiwa kufunga mitambo yao tayari kwa kuzalisha umeme, juhudi zao zimekwamishwa na Tanesco ambao wanawapa gesi yenye mchanga.

“Wakati wa majaribio ya kawaida ya wahandisi wa Richmond Development Corporation, waligundua kwamba gesi waliyopewa na Tanesco haikufikia viwango vya mtambo,” ilisema sehemu ya taarifa ya Richmond juzi.

Gire alisema kwamba kuwasha jenereta kwa kutumia gesi yenye mchanga iliyotolewa na Tanesco, inaweza kuharibu mitambo na hivyo kuleta hasara ya muda na fedha kwa serikali.

Pia alisema RDC imechukua tahadhari zote kuhakikisha kwamba kunakuwa na usalama na upatikanaji wa umeme wa dharura wa uhakika ili kutatua tatizo la umeme nchini, “lakini sasa mafanikio ya juhudi zetu yanategemea Tanesco kutupa gesi safi.”

Kutokana na hali hiyo, taarifa hiyo ilisema kwamba Richmond sasa inasubiri ratiba kutoka Tanesco itakayoainisha vipi na lini gesi safi na ya kutosha itapatikana.

Katika taarifa ya Tanesco ya jana, imeitaka Richmond kuacha visingizio na kutekeleza wajibu wake wa kuzalisha megawati 20 za umeme.

"Pamoja na ukweli kuwa mkataba ulisainiwa kati ya Richmond na Tanesco, lakini kampuni inayopaswa kuipa Richmond gesi ni Kampuni ya African Energy. Kampuni hiyo ndiyo inayozipa gesi Kampuni za Songas na Aggreko na kampuni hizo hazijawahi kulalamika kuwa gesi wanayopewa ni chafu na inakwamisha kazi ya uzalishaji umeme wao," inasema.

Ilisema kwa kuwa kuwapo mabaki ya uchafu kwenye gesi ni jambo la kawaida, Tanesco iliarifu Richmond kununua vichujio kwa ajili ya kuchuja mabaki hayo kama ilivyoainishwa kwenye mkataba.
 
Kuna neno moja linaloweza kutumika kuelezea kinachoendelea kati ya RDC, Tanesco na Serikali... guess?
 
Wanabodi,

Nini kinaendelea kati ya Tanesco na hawa jamaa wa Richmond ? Na kwa nini waziri ajatoa ufanunuzi wowote kuhusu hili jambo . Mimi nadhani sisi wananchi tuna kila sababu ya kupata fact toka kwa viongozi wetu . Na jee kama ni kweli kuna kutoelewana kati ya Tanesco na hiyo kampuni kwa nini wasikatishe huo mkatababa ? Halafu wanakaa na kutudanganya na ishu ya madawa ya kulevya wakati sio ishu inayotakiwa kupewa kipaumbele kwa sasa ...
 
nani ameuona huo Mkataba, kama umeandikwa kwa Kiswahili labda hauelewiki, kama umeandikwa kwa kiingereza labda ndo hauleweki kabisa!!
 
Kuna neno moja linaloweza kutumika kuelezea kinachoendelea kati ya RDC, Tanesco na Serikali... guess?

Mzee Mwanakijiji,

Mimi naona sio neno moja linaloweza kutumika kuelezea kinachoendelea kati ya RDC, Tanesco na Gvt ya JK ila ni sentnce kama hii "THE LEFT HAND DOES NOT LIKE THE RIGHT HAND TO KNOW WHAT IT'S DOING WHILE BOTH HANDS BELONGS TO THE SAME CONFUSED PERSON"

Kaiba Wambandwa
 
The truth is...........
Power plants zote zinazotumika duniani huwa designed kutumia maji, gas, coal etc Hata hizi gas zimegawanyika kama, natural gas, coal gas (from the coking process), methane etc etc. Unapoaagiza hiyo power plant maker inabidi akuulize wewe mtumiaji utatumia fuel ipi. Kama ni gas, lazima useme ni gas gani, na most of the time inabidi utume samples au test certificate ya gas yako kwa maker halafu ata-design according to your application. Kama ni second hand basi lazima abadilishe au a-fit spair fulani na ku-overhaul according to user fuel. Sasa hapa saga linatokana na hawa jamaa wa Richmond kutozingatia utaalamu, na vilevile wauzaji kwa nini hawakuuliza?
Hapo ndipo inawezekana kabisa kuwa hata Tanesco hawakufocus at this issue, na hawa jamaa wa Richmond kutokuwa na utaalamu basi walikurupuka tu na kuona kuwa it is a gas powered plant. This is a 100% reason mtambo huwa hauwezi kufanya kazi iliyokusudiwa. Na kufanya hivyo lazima tena waufanyie kazi huo mtambo kwa gharama nyingine.

This is a simple issue without argument, utaalamu wa RD ni questionable.
 
Siku kadhaa zilizopita jamaa wa TANESCO walidai wao hawakuhusika kuhusu kupitishwa RDC lakini kadri sakata linavyoendelea inaonekana TANESCO walihusishwa na ndiyo maana baadhi ya viongozi (Ngasongwa et al) wanaanza kudai RDC wanahujumiwa. Hata hivyo, kwa ujumla na kifupi, naona "RDC saga" imejaa mizengwe kutoka kwa pande zote zinazohusika. Taarifa za TANESCO na RDC zote zinaleta maswali mengi na wakati huo huo wao wenyewe wanajijibu.

Mara utasikia "Mkataba unasema unasema TANESCO inabidi watupe filter..."; mara "Tumeagiza filter kutoka Marekani..."; hujakaa vizuri "Tumeshafunga filter..." (hao RDC).

TANESCO nao utawasikia: "Sisi hatukuhusishwa katika huo mkataba wa RDC..."; mara "Japo wamesaini mkataba na sisi lakini gesi wanapewa na Songas..."

Angalia hii habari nayo...

Richmond power saga widens
ABDUEL KENGE
Daily News; Thursday,December 14, 2006 @00:08

THE business gap between US-based Power Company, Richmond Development Corporation (RDC) and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) widened yesterday following a statement by the former that it was being supplied gas with impurities, a charge that was quickly denied by the latter.

Investigations by the ‘Daily News’ in the unfolding sagas revealed that the two institutions were at loggerheads.

Reliable sources told the ‘Daily News’ that when the tendering process was carried out mid this year, RDC’s offer was rejected by Tanesco, though it was the lowest bid, on grounds that it did not have a proven record of generating power.

The sources added that it was only Aggreko and Globeleq which is Songas parent company, that were picked, but a ruling was unilaterally made later in favour of RDC.

"Some government officials forced Tanesco to pick Richmond", the sources insisted. The source further explained that the Ministry of Energy and Natural Resources did not follow experts’ advice, but instead awarded the tender to RDC, a company that would later team-up with another, because it lacked power generation expertise.

"Richmond has partnered with another company from Indonesia, after terminating a contract with the previous partners from the US.", the source said.

RDC’s bid was to supply one kilowatt hour (kWh) for 4.99 US cents while Aggreko tendered 6.76 US cents and Globeleq offered 5.8 US cents.

In total, eight companies had tendered to supply gas generated electricity.

Speaking to the ‘Daily News’ yesterday, the Minister for Energy and Minerals, Mr Nazir Karamagi, said the tender was awarded with due regard to protecting national interests.

Mr Karamagi said the fourth company was Renco of US that wanted 10 US cents per kWh that "was unthinkable as it is too expensive." And RioEnergy proposed 4.94 US cents but they turned out to be promoters.
 
Mwanagenzi said:
"Some government officials forced Tanesco to pick Richmond", the sources insisted. The source further explained that the Ministry of Energy and Natural Resources did not follow experts' advice, but instead awarded the tender to RDC, a company that would later team-up with another, because it lacked power generation expertise.

"Richmond has partnered with another company from Indonesia, after terminating a contract with the previous partners from the US.", the source said.

RDC's bid was to supply one kilowatt hour (kWh) for 4.99 US cents while Aggreko tendered 6.76 US cents and Globeleq offered 5.8 US cents.

(1) Wizara haikufuata mawazo ya wataalamu katika kutoa tenda; walifuata usanii tu. Huwezi kutoa contract kwa kampuni ambayo unajua kabisa kuwa haina utaalamu katika biashara hiyo, kwanza utaaminije makadirio yao wakati unajua kuwa hawana mtaalam wa kufanya makadirio hayo ipasavyo?

(2) Kinachonishangaza ni pale inapoonekana kuwa makampuni yanayowania zabuni za serikali ya Tanzania ni ya kitapeli tu. Globeleq ambayo ni kampuni mama ya Songas tayari walishaonyesha utapeli kwenye mkataba wa songas, lakini ndio hao hoa wanaopata kuwania na kupendekezwa kwenye zabuni hii, Kulikoni?
 
(2) Kinachonishangaza ni pale inapoonekana kuwa makampuni yanayowania zabuni za serikali ya Tanzania ni ya kitapeli tu. Globeleq ambayo ni kampuni mama ya Songas tayari walishaonyesha utapeli kwenye mkataba wa songas, lakini ndio hao hoa wanaopata kuwania na kupendekezwa kwenye zabuni hii, Kulikoni?[/QUOTE]

Ina maana RDC ni sawa na "Zimwi likujualo"?
 
Obviously the president himself is involved in corruption. It is a power crisis, and power is a backbone of our economy, kwa nini Rais asifanye partnership na world reknowned players in power/energy sector kama CAT, GE ambao wana all incentives in long term working with governments worldwide? Huyu president alijua wazi kuwa hawezi kupata commissions kutoka CAT au GE kwa sababu ya transparency akaingia kimgongo mgongo na hawa watu kama Richmond. Hata hizo za songas similar deals ila tu haziku-fault.

Power crisis na kuipa richmond deal kama hii, inatupa nafasi hata bunge kuunda probe team ku-question what happened lakini state ya bunge letu ndiyo hivyo. This is enough to question the ability of the sitting president, and all the cabinet; the parliament included..
 
Back
Top Bottom