Mwanasiasa,
Kabla ya kuamua nijiunge an CCM some years back, niliviangalia sana vyama vya upinzani. Siku hizo NCCR was my favourite. Napenda kukuhakikishia kuwa mapinduzi ya kweli yatapatikana ndani ya CCM, kwa ufupi labda niseme kuwa CCM ikimeguka basi ujue watanzania wamepata suluhisho, kama hakitameguka basi ndugu zangu tutawatawala kwa maisha yenu yoote.
Wengi upinzani ni waganga njaa (wengi). Halafu wengi wana uchu wa madaraka. Angalia jinsi mnavyoshindwa kuungana ili kumsimamisha mgombea mmoja.
Kuhusu uana siasa, sio kila mmoja wetu anaweza kuwa mwanasiasa mzuri, labda aigize. Mfano BWM, JK, Mwapachu, RA etc sio wana siasa. Wanasiasa ni kama akina JKN, Malechela, Seif sharif Hamad, Freeman Mbowe, Makamba, etc.
Samahani nimetoka kidogo kwenye hii topic.
FD