Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Yule jamaa wa March 17 aliwahi sana kusafiri, asingewachekea hawa ndugu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vile Unga ni shida huko...Tena sio chai ya rangi na mihogo ya sumu kama wewe. [emoji41]
Mbona ruhusa imetolewa tena in less than 24hrs?Waeleze wenzako hadi waelewe mleta mada. KQ bab kubwa jombaa. 🇰🇪 Yaani wanadhani kupata 'route' zote hizi na vibali vya kutua kwenye miji yote hii, kote duniani ni rahisi kama kudensi dombolo au kwasakwasa?Proudly Kenyan! 🇰🇪![]()
Sasa ya nini tusubiri hiyo tarehe wakati ruhusa tuliyotaka imekuwa granted?Mlimwagaje Ugali jombaa, wakati sie tulikiuwa tushamaliza kula(...na bado tunaendelea kula hadi sasa hivi)? Marufuku yenu ya kimagumashi ilikuwa ianze tarehe 22. Jana tarehe 16, na tayari mlikuwa mmeachia, hata kabla masaa 24 hayajapita tangia mtangaze maamuzi yenu.
YAni ni mjinga kabisa hana hata analojuaMleta mada huna akili.
Tunajadili za KQ na biashara ya usafiri wa anga sista, sio kuringishiana kuhusu vitu vya kawaida. Kiamsha kinywa na vyakula, kwetu sisi ambao tunajaza tumbo na mahitaji mengine yote ya watu zaidi ya 5 kila siku ya wiki, mwaka nenda mwaka rudi, sio masuala ya kuzungumzia.Na vile Unga ni shida huko...
Nakuelewa[emoji1]
Sasa kama ulikuwa mjadala wa KQ habari za Mihogo ya sumu umeleta za nini?Tunajadili za KQ na biashara ya usafiri wa anga sista, sio kuringishiana kuhusu vitu vya kawaida. Kiamsha kinywa na vyakula, kwetu sisi ambao tunajaza tumbo(na mahitaji mengine yote) za watu zaidi ya 5 kila siku ya wiki, mwaka nenda mwaka rudi, sio masuala ya kuzungumzia.
🤣🤣🤣 Ila Wana wwnabalaa zitoUSA ni balaa lingine ana meli za kivita zinazurula tu huko baharini akiamua anaenda mpaka Taiwani huko...sasa hivi wanahangaika na Red Sea kama vile ipo USA haki zote wamejipa wao...
Sasa Hilo swala Kenya hawafikirii wanazani sisi tu ndio tunanufaika wakati wao ndio wanaonufaika zaidi,yani tukisema Kila mtu abaki kwake nakuhakikishia wao ndio watapoteza zaidiHuu uzi una utoto mwingi na tambo za kipuuzi. Sio rahisi kama mnavyoongea masuala ya Diplomasia hayako kama mnavyofikiri. Wote tunahitajiana so ukinizuia nami nikakuzia wote tunapata hasara sio one way hii hakuna cha mkubwa wala mdogo hapa kila nchi inachakupoteza katika maslahi hivyo kutafuta suluhu ndio busara ya juu hakuna mshindi katika kutunishiana misuli kama baadhi ya mashabiki wanavotaka
Routes nyingi lakini bado shirika la Kenya Airways linaendeshwa kwa hasara kama la Air TanzaniaWaeleze wenzako hadi waelewe mleta mada. KQ bab kubwa jombaa. 🇰🇪 Yaani wanadhani kupata 'route' zote hizi na vibali vya kutua kwenye miji yote hii, kote duniani ni rahisi kama kudensi dombolo au kwasakwasa?Proudly Kenyan! 🇰🇪![]()
Unaelewa umuhimu wa kuwa na 'National Carrier' inayoeleweka kwenye usafiri wa anga?Routes nyingi lakini bado shirika la Kenya Airways linaendeshwa kwa hasara kama la Air Tanzania
Jirani unaandika pumba tupu, huwa mnapenda sifa za kijinga
Hoja yangu ipo kwenye profit margin ya KQUnaelewa umuhimu wa kuwa na 'National Carrier' inayoeleweka kwenye usafiri wa anga?
You're as dumb as a donut.
Little did you know ....
Makamba na huyo Magufuli wote CCM uchaguzi ingefika wangesimama upande mmoja, ni sawa na kushadadia majibizano ya ndugu wa familia moja, unayejitia uchizi ni wewe wezako wanalumbana ila bado watazikanaila nimefurahishwa na makamba “anavyopigania” ndege ya cargo iliyonunuliwa na Magufuli waswahili tunasema mbaniani mbaya kiatu chake ni dawa, sasa leo hii makamba anajipa ujiko kaenda kuipigania ndege ambayo ilinunuliwa na mtu wanayemsimanga kila siku huku wakichukua sifa kwa mgongo wake …
NakaziaMleta mada huna akili.
Fit for the job.ila nimefurahishwa na makamba “anavyopigania” ndege ya cargo iliyonunuliwa na Magufuli waswahili tunasema mbaniani mbaya kiatu chake ni dawa, sasa leo hii makamba anajipa ujiko kaenda kuipigania ndege ambayo ilinunuliwa na mtu wanayemsimanga kila siku huku wakichukua sifa kwa mgongo wake …