Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

Hahaha kuna mengi sana labda hauyajui, by the way makamba kaenda kukomboa ndege ya cargo aliyonunua “adui” Magufuli? Magufuli asingenunua ndege ya cargo makamba angekomboa nini leo na kujipa sifa ya udiplomasia ?

You're as dumb as a brick.
 
Hahaha kuna mengi sana labda hauyajui, by the way makamba kaenda kukomboa ndege ya cargo aliyonunua “adui” Magufuli? Magufuli asingenunua ndege ya cargo makamba angekomboa nini leo na kujipa sifa ya udiplomasia ?
Makamba na Magufuli wote watanzania, kutofautiana ni sehemu ya maisha.
Wametofautiana kwa sababu ya kujenga Tanzania siyo vinginevyo.
Hivyo Makamba hawezi kutelekeza biashara ya nchi ati kwakuwa imenzishwa na mtu aliyetofatiana naye kisiasa.
 
kwali kabisa nakuunga mkono, sasa ndege yetu inaweza piga kazi …
 
Mkuu hawa ndio wanaoishi maisha ya kukalili,Dunia inabadilika,kwa tulipofikia Kenya hawezi akamwendesha Tanzania kama anavyotaka,Tz sio wanyonge la miaka hiyo,yani ni kama USA na China tu
Na wewe huna akili pia? Au
 
unaugulia ukiwa wapi kwa sasa wewe kijakazi usiyependa nchi yako.
 
Mtoa mada huna akili au unajitoa akili....

Kama Kenya wangekuwa na hiyo advantage, wangekaza.
 
Kiazi kweli, Hukusikia kilichotokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…