💯CCM WAMETUFIKISHA HAPA
Wewe ni mshenzi na mpumbavu mkubwa, sidhani kama unayo hiyo Ph.D, eti unaitwa doctor? Mmeua watu maelfu kwa maelfu na mnaendelea kuua watu wasio na hatia.
Nilifikiri hili povu linanihusu kumbe ni la Dr. Nchimbi. Dah! 😔Wewe ni mshenzi na mpumbavu mkubwa, sidhani kama unayo hiyo Ph.D, eti unaitwa doctor? Mmeua watu maelfu kwa maelfu na mnaendelea kuua watu wasio na hatia. Hii haitaisha hata siku moja. Tanzania siyo police state, watu wameuawa wengi, kila mahali ni kilio, watoto wadogo hawataishi kuwaona baba au mama zao, wazazi hawatawaona tena watoto wao waliowazaa na kuwatunza kwa shida. Unaongelea mambo ya Samia, hatuwataki mtu anayewaua watanganyika maskini. Mikono yenu imejaa damu za watanganyika. Nafuu msingezaliwa, mnakuja kuua watanganyika maskini.
Yote haya yanatokea ili Samia awe Rais wa Tanganyika. Mzee Kikwete uliyeasisi mpango wa kulazimisha Samia aendelee kuwa Rais wa Tanganyika damu hizi zinaenda kuwa laana kwako na uzao wako vizazi hadi vizazi .Inasikitisha sana, hivi watu kama Paskali na Mwashambwa bado mnatetea serikali hii dhalimu. Raia wanauawa bila kosa. Sasa hao wamekosa nini? Mnawaua ili mpate faida gani? Hivi hawa polisi/TISS wanazo tena hizo dhamira, wamebaki nazo? Au ndiyo hizo zimeshaondoka, na wameendelea kuwa "Trigger happy"?
Watu wana mvurugikoNilifikiri hili povu linanihusu kumbe ni la Dr. Nchimbi. Dah! 😔
Hakuna aliye salama kwa hao mbwa wa kizanzibari waliokuwa wakiua watu kwa hasira, halafu jeshi letu halioni hilo, hii dhambi haitafutika.Yote haya yanatokea ili Samia awe Rais wa Tanganyika. Mzee Kikwete uliyeasisi mpango wa kulazimisha Samia aendelee kuwa Rais wa Tanganyika damu hizi zinaenda kuwa laana kwako na uzao wako vizazi hadi vizazi .
Hakuna aliye salama kwa hao mbwa wa kizanzibari waliokuwa wakiua watu kwa hasira, halafu jeshi letu halioni hilo, hii dhambi haitafutika. Haya kuna polisi wastaafu wawili wameuawa, askari magereza ameuawa, polisi wengine wameuawa na polisi wenzao, wana-CCM wameuawa na polisi, hivi kuna mtu anaelewa nini kinaendelea, hivi si kwamba watanganyika ndiyo target? Mnaendelea kusapoti CCM huku wanatumaliza, Tumewindwa kama swala, na tutaendelea kuwindwa kama swala tukiwa waoga.
Hapana siyo wewe Mr. Pure Gentleman, wameniudhi sana huyu Kigalula (Chura binti Kiziwi), na huyu jamaa aliyekaa kama mwizi Nchimbi, daktari feki . Anajifanya Ph.d holder kumbe fala tu.Nilifikiri hili povu linanihusu kumbe ni la Dr. Nchimbi. Dah! 😔
Hili halijaisha hadi liishe lazima kulipa kisasi. CCM wameiuza Tanganyika utumwani Zanzibar, yaani wametoa kafara ya damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika yetu,hili halikubaliki hata kidogo. Tuanze na wanaccm wa huku bara madiwani, wabunge, viongozi wa serikali za mitaa hawa wote ni adui namba moja wa Tanganyika huru.Hakuna aliye salama kwa hao mbwa wa kizanzibari waliokuwa wakiua watu kwa hasira, halafu jeshi letu halioni hilo, hii dhambi haitafutika. Haya kuna polisi wastaafu wawili wameuawa, askari magereza ameuawa, polisi wengine wameuawa na polisi wenzao, wana-CCM wameuawa na polisi, hivi kuna mtu anaelewa nini kinaendelea, hivi si kwamba watanganyika ndiyo target? Mnaendelea kusapoti CCM huku wanatumaliza, Tumewindwa kama swala, na tutaendelea kuwindwa kama swala tukiwa waoga.
Halafu hatuna hata grief counselors. Watu wana mvurugiko wa kihisia na huzuni kubwa lakini hawana mahali pa kusemea. Tutegemee mental issues kuongezeka.Watu wana mvurugiko
Wamemuua Mwakabana afisa mstaafu wa polisi. Dah!!! Inauma sana huyo mzee kutangulia kwa risasiWakuu,
Mnakumbuka ile stori iliyokuwa inatrendi siku kadhaa nyuma kuhusu afisa wa polisi mstaafu aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Tabata.
Sasa mkasa mzima huu hapa. Kilichofanyika ni kitendo cha kinyama sana. Stori nzima iko hapo n=chini
--------------------------
Mpaka sasa kunguru na nzi wamezuka eneo ambapo majirani nane wa mtaa wa Kanga-Kariakoo, Kinyerezi, jijini hapa, walipouwawa. Kabla ya mvua kunyesha Novemba 4, 2025, harufu ya kifo ilikua ndiyo alama ya eneo hilo. Mvua iliweza kusafisha baadhi ya mabaki ya viungo vya binadamu yaliyokuwa yamebaki, ikiwemo damu nzito.
Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Novemba 3, 2025, majira ya saa tisa. Majirani hao waliuwawa zamu kwa zamu kwa kupigwa risasi. Hii ni baada ya kuambiwa wajilaze nyuso zao zikiangalia ardhi, na kuamrishwa kusali sala ya mwisho.
Majirani hao ambao nyumba zao zimefuatana katika mstari mmoja, walikuwa ni afisa polisi mstaafu, walimu wawili, dereva, wauza duka wawili, afisa wa benki na mfanyabiashara ndogondogo.
“Hapa kulikua hakufai kabla ya hii mvua kunyesha, wao walikuja wakamwagia mchanga, lakini kulikua hakufai, mvua imesafisha safisha, kidogo,” moja ya majirani alitueleza hali baada ya mauaji hayo.
Tukio hili lilianza baada ya duka la jumla lililopo katika mtaa huo kusikika kuwa limevamiwa na vibaka. Polisi mstaafu aliwaongoza majirani wenzake kwenda kuimarisha ulinzi katika eneo hilo, ambapo pia aliamua kupiga simu na kuita polisi.
Polisi wenye silaha walivyofika kwenye eneo hilo waliwaamrisha wote kulala chini. Licha ya kujitetea, hoja zao hazikuweza kufua dafu. Waligawanywa makundi mawili, wakitenganishwa na barabara ambayo imegawanya makazi yao, upande wa kulia na kushoto, wengine wakawekwa karibu na duka hilo la jumla, na wengine wakawekwa upande wa pili, pembeni ya nguzo ya umeme.
Afisa wa benki, ambaye duka la jumla limetazamana na nyumba yake, alikuwa wa mwisho kufika katika eneo hilo. Hii ni baada ya kuona polisi wamefika, akajitokeza kuungana na majirani zake. “Kuna usalama?” aliuliza afisa huyo, ambapo alihakikishiwa na polisi hao kwamba “usalama upo.”
Hata hivyo, tukio hilo liliwabadilikia na kuwa ndiyo safari yao ya mwisho. Mmoja wa marehemu aliyepewa pia jina la utani mtaani kama Ostaadh, ambaye kazi yake ni udereva, akawasihi watu hao kuwa tayari mke wake ameshafariki, na ana mtoto mdogo wa miezi sita, hivyo wasimuue, kilio ambacho hakikusikika.
View attachment 3499643
View attachment 3499642View attachment 3499641
View attachment 3499640
View attachment 3499639