Sakata la Kinyerezi: Hivi ndivyo majirani 8 walivyouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi

Sakata la Kinyerezi: Hivi ndivyo majirani 8 walivyouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi

Mtaa umetajwa, it's easy to go there to get the firsthand information.
Hiyo habari ishakua distorted,uwongo mwingi, palikua na habari kinyerezi mwaka Jana kijana bodaboda kulawitiwa na mzungu akapiga mayowe,ukienda gongo la mboto nako walidai ilitokea gongo la mboto,chanika hivyohivyo
 
"pale siasa inapolipa kuliko ueledi haya ndio matokeo yake"

Unafikiri siasa ingelioa pesa ya kawaida Kuna mtu angetoa uhai wa mtu kisa siasa!!?
 
Mimi nawaambia kama kuna jasiri amguse Kwete panapouma! Mzee amekuwa mpumbavu sana!
FB_IMG_1759635955078.jpg
FB_IMG_1758911940479.jpg
 
Hakuna aliye salama kwa hao mbwa wa kizanzibari waliokuwa wakiua watu kwa hasira, halafu jeshi letu halioni hilo, hii dhambi haitafutika.

Haya kuna polisi wastaafu wawili wameuawa, askari magereza ameuawa, polisi wengine wameuawa na polisi wenzao, wana-CCM wameuawa na polisi, hivi kuna mtu anaelewa nini kinaendelea, hivi si kwamba watanganyika ndiyo target?

Mnaendelea kusapoti CCM huku wanatumaliza, Tumewindwa kama swala, na tutaendelea kuwindwa kama swala tukiwa waoga.
Mimi binafsi naamini viongozi wa vyombo vya usalama wa Tanganyika ni wapumbavu kuliko viongozi wengi wote wa usalama waliopo hapa Afrika.

Wamemruhusu mzanzibar samia kuingiza mamluki kutoka nje na kisha kuua maelfu ya vijana wao ambao ndio taifa la leo na kesho, na kisha baada ya mauaji hayo huyo huyo samia akawatuma wafute kila aina ya ushaidi wa mauaji hayo...

....na wenyewe bila aibu kabisa wakatekeleza agizo hilo na mpaka sasa wanaangaika kufuta kila ushaidi wenye nguvu ya mauji hayo hili kumsafisha shetani samia wamuepusha na rungu la ICC.

Kiukweli hakuna sehemu nyingine utapata viongozi wa sekta ya usalama aina ya Mkunda au Wambura, ni Tanganyika pekee tu wanapatikana.... hawa jamaa wawili wako tayari kumruhusu samia aue watanganyika hata milioni moja halafu baada ya hapo watafanya cover up kwa kusema waliokufa wote walikuwa ni wahalifu, hili tu kulinda vyeo vyao.
 
Siku hizi nikimuona tu askari napata hasira hata sijui zinatoka wapi. Nimetokea kuwachukia sana hawa watu.

Ndio, yawezekana waliofanya yote hayo ni askari kutoka Zanzibar lakini ni upumbavu usiomithilika kukubali kuingiliwa katika majukumu

Ajabu ni kwamba bado kuna watu bila hata aibu wanatetea hiki kilichotokea.

Eee Mungu tuondolee hawa watu duniani, Tanzania hatuwezi kuhimili hivi vishindo
Kaka uaskari ni kazi ya laana kwa hizi nchi za dunia ya tatu, hususani hii nchi yetu..

..kwetu hapa hili uonekane askari mchapa kazi upande na cheo ni lazima uwe na roho mbaya,ulazimishe chuki na raia na uwe kma mjinga fulani usiyetumia akili hata kidogo.

Imagine wale majeruhi wote waliokuwa wanaenda hospital za serikali kutibiwa, mapolisi walikuwa wanawachukua kwa nguvu na kuwapeleka kusikojulikana, yaan ilikuwa ukoipelekwa tu pale na jeraha la risasi, basi wewe haurudi.. mpaka ikabidi madaktari wenye roho ya ubinadamu waanze kuwakataa majeruhi na kuwashauri wakatibiwe private hospitals, maana kutibiwa government ilikuwa ni kujipeleka kwenye kifo baada ya kuponea chupu chupu mitaani.

Sasa polisi waliokuwa wanafanya hivi ni binadamu wa kawaida kweli?

Watu kutetea haya mauaji tena watanganyika wala hata isikushangaze kabisa, kuna binadamu wengi sana akili zao ziko tumboni na wameamua kuwa loyalists wa samia hata afanye ushetani gani.

Kwa nchi za watu waliostaarabika na kuthamini uhai wa watu, kwa haya mauaji ya halaiki, hata teuzi za samia watu wangezipotezea na wengi sana wangejiuzulu kwenye hii serikali yake.
 
Polisi hawawezi kufanya tu hilo jambo bila jambo.
Huo ulikuwa mchezo ulioandaliwa kutaka kuangamiza polisi, polisi wamechana mkeka.
Yawezekana kati ya waliouwawa wengine ni innocent lakini huo ni mchezo.
Sijajuaga watu wa aina yako huwa mnalipwa bilioni ngapi kutetea kila aina ya ushetani unaofanywa na serikali ya samia...


Huwa natamani sana nijue, maana mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuwa na mahaba ya kipumbav hivi kiasi cha kutetea mpaka mauaji tena kwa assumptions za kiseng.e eti "huo ulikuwa mchezo unaandaliwa" tukikuuliza ni mchezo gani ulikuwa unaandaliwa na kwa maslahi ya nani huwezi kuwa na jibu zaidi ya kuandika upumbav tu.
 
Ni ushetani wa kutisha ulifanyika hapa.
Kama kweli nchi hii ina jeshi la wananchi, basi liungane na wananchi kukomboa nchi.
Sahau hicho kitu, hatuna jeshi hapa la kutulinda wanainchi, tuna uchafu tu wa kuitwa JWTZ

Kuna mama mjamzito alipigwa chuma pale Tabata relini na hao jwtz wakiwa wanashuudia lakin hawakufanya kitu chochote kile, wauaji wakaondoka zao... kwa baadae ndio hao JWTZ wakaja kuukotoa ule mwili na kuupakia kwenye ligari lao wakaupeleka sijui wapi.

Sasa hapo utajiita una jeshi au una waseng.e tu wanaotafuna kodi zetu bila faida yoyote.
 
Back
Top Bottom