Sakata la Kinyerezi: Hivi ndivyo majirani 8 walivyouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi

Polisi hawawezi kufanya tu hilo jambo bila jambo.
Huo ulikuwa mchezo ulioandaliwa kutaka kuangamiza polisi, polisi wamechana mkeka.
Yawezekana kati ya waliouwawa wengine ni innocent lakini huo ni mchezo.
 
Wewe uko pamoja na wajuaji endelea.
 
Polisi hawawezi kufanya tu hilo jambo bila jambo.
Huo ulikuwa mchezo ulioandaliwa kutaka kuangamiza polisi, polisi wamechana mkeka.
Yawezekana kati ya waliouwawa wengine ni innocent lakini huo ni mchezo.
Ficha upumbav wako, sheria zipo na taratibu zipo
Huwez ua raia tena walio kuita kuomba msahada

Hiyo ni genocide na waliotekeleza hayo lazima wawajibike
 
Mi naona badala ya 9 december kuandamana kwanini tusiende kuwasalimia policcmi majumbani mwao na kwenye biashara zao,ili na wao walie kama sisi

Maana tukiandamana ndo kuna waharifu watapata chance ya kufanya maovu na internet itazimwa maisha yatasimama
 
Polisi hawawezi kufanya tu hilo jambo bila jambo.
Huo ulikuwa mchezo ulioandaliwa kutaka kuangamiza polisi, polisi wamechana mkeka.
Yawezekana kati ya waliouwawa wengine ni innocent lakini huo ni mchezo.
Polisi hawahawa ambao hata pesa zao za kufa na kuzikana wanaibiana.Alafu bila aibu wanatangaza kumtafuta mwizi ambaye ni Boss wao.
 
Very sad. Mungu ni wetu sote. Kila jambo huwa na mwanzo na mwisho.
 
Ni ushetani wa kutisha ulifanyika hapa.
Kama kweli nchi hii ina jeshi la wananchi, basi liungane na wananchi kukomboa nchi.
 
hawa watu huwenda walikua na matatizo ya akili
 
Tip tippu alikuwa mwarabu aliyeuza watu weusi sehemu mbalimbali wakati wa biashara ya utumwa, naona na hawa wanakuja kivyao vyao.
 
Uhsauri wangu tufunge CCTV Camera kwenye nyumba zetu.
 
Maandamano yanayokuja kila Mzanzibari na biashara zenu mtakuwa targets regardless mnanufaika na mfumo au la, what Samia and her clicks are doing in Tanganyika is too much.
TISS and Police department are part and parcel ya huu unyama unaofanywa kwa Watanganyika na Tanganyika kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…