gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hiyo habari ishakua distorted,uwongo mwingi, palikua na habari kinyerezi mwaka Jana kijana bodaboda kulawitiwa na mzungu akapiga mayowe,ukienda gongo la mboto nako walidai ilitokea gongo la mboto,chanika hivyohivyoMtaa umetajwa, it's easy to go there to get the firsthand information.
Ngoja sensible strategists tuwape mwanga kuhusu huu uvumbuzi, such a brilliant idea.Ndicho kilichobaki! Salma hata ukimwacha, ni huyo mwingine tu unakuwa umemaliza mchezo!
Mimi nawaambia kama kuna jasiri amguse Kwete panapouma! Mzee amekuwa mpumbavu sana!
Hii ikitokea Gen-z wazuie mazishi ya kitaifa azikwe Kama mbwa!
Mimi binafsi naamini viongozi wa vyombo vya usalama wa Tanganyika ni wapumbavu kuliko viongozi wengi wote wa usalama waliopo hapa Afrika.Hakuna aliye salama kwa hao mbwa wa kizanzibari waliokuwa wakiua watu kwa hasira, halafu jeshi letu halioni hilo, hii dhambi haitafutika.
Haya kuna polisi wastaafu wawili wameuawa, askari magereza ameuawa, polisi wengine wameuawa na polisi wenzao, wana-CCM wameuawa na polisi, hivi kuna mtu anaelewa nini kinaendelea, hivi si kwamba watanganyika ndiyo target?
Mnaendelea kusapoti CCM huku wanatumaliza, Tumewindwa kama swala, na tutaendelea kuwindwa kama swala tukiwa waoga.
....watoto wadogo hawataishi kuwaona baba au mama zao, wazazi hawatawaona tena watoto wao waliowazaa na kuwatunza kwa shida.
Kaka uaskari ni kazi ya laana kwa hizi nchi za dunia ya tatu, hususani hii nchi yetu..Siku hizi nikimuona tu askari napata hasira hata sijui zinatoka wapi. Nimetokea kuwachukia sana hawa watu.
Ndio, yawezekana waliofanya yote hayo ni askari kutoka Zanzibar lakini ni upumbavu usiomithilika kukubali kuingiliwa katika majukumu
Ajabu ni kwamba bado kuna watu bila hata aibu wanatetea hiki kilichotokea.
Eee Mungu tuondolee hawa watu duniani, Tanzania hatuwezi kuhimili hivi vishindo
Sijajuaga watu wa aina yako huwa mnalipwa bilioni ngapi kutetea kila aina ya ushetani unaofanywa na serikali ya samia...Polisi hawawezi kufanya tu hilo jambo bila jambo.
Huo ulikuwa mchezo ulioandaliwa kutaka kuangamiza polisi, polisi wamechana mkeka.
Yawezekana kati ya waliouwawa wengine ni innocent lakini huo ni mchezo.
Sahau hicho kitu, hatuna jeshi hapa la kutulinda wanainchi, tuna uchafu tu wa kuitwa JWTZNi ushetani wa kutisha ulifanyika hapa.
Kama kweli nchi hii ina jeshi la wananchi, basi liungane na wananchi kukomboa nchi.